Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limeanza mchakato wa ujenzi wa bomba la gesi kutoka Ntorya hadi Madimba lenye urefu wa kilomita 35.
Mchakato huo umeanza kwa kufanya mkutano wa uhamasishaji kwa wananchi wa kata ya Madimba, Moma, Mbawala na Nanguruwe kuhusu ujenzi wa mradi huo...
-Teuzi zimejaa Wakwe, mashemeji was Mitala kina Mchengerwa ambao hata waboronge vipi hawatatumbuliwa.
- Teuzi za watoto was vigogo kina Nape, Makamba, ambao kiuhalisia hawanq jipya tRNA zaidi ya kutafuna nchi na kuumiza watu.
- Mwugulu akili hana kabisa na hajawahi kuwa na jambo lolote LA...
Awamu ya SITA imejikita kwenye kuliponya na kuliunganisha taifa dhidi ya Yale yasiyofaa ya awamu ya Tano.
Kuna waliomizwa na kuteswa sana na hata kupotea wengine. Jeshi la polisi Lina jukumu la kulinda usalama wa raia na Mali zao. Afande Sirro alikuwa mkuu wa chombo cha kulinda usalama wa raia...
Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM, mzee Makamba ameishukuru Serikali ya Awamu ya 6 kwa kuwaletea maji ya bomba Bumbuli.
Mzee Makambà amesema katika umri wake wa miaka 84 sasa amekuwa akishuhudia akina mama wa Bumbuli wakiteka maji visimani na kubeba ndoo kichwani.
Source: ITV
Prof G Kahyarara akiojiwa na East Africa Redio amesema, katika kipindi cha mwaka mmoja na miezi kadhaa ya awamu ya sita, economic diplomacy imeweza kuingiza Katika mfumo wetu wa uchumi dola bilioni 21 ambazo huwezi kuzipata popote katika mfumo mwingine!
My take:
Kwa hiyo Tanzania ndio...
Rais Samia Suluhu Hassan anazindua Ugawaji wa Vitendea kazi kwa Maafisa Ugani nchini ikiwemo Pikipiki 2,000, Vifaa vya Kupima afya ya Udongo (Soil agro scanner) 143, simu janja 384 na visanduku vya ufundi vya Maafisa Ugani 3,400.
#TunaImaninaSamia
#Hakunakinachosimama
#KaziInaendelea.
------...
Hili neno limekuwa maarufu sana kipindi hiki cha awamu ya 6, lini litafika mwisho na lini gharama za maisha kwa wananchi wa kawaida zitapungua! Mafuta ya kula juu, petroli ndo balaa, mbolea, yaani necessary items zote hazishikiki na bado upatikanaji wa hela umekuwa mgumu sana.
Na wakati huo huo...
Nimecheka sanaa kusikia Makundi yafuatayo ya wahalifu hapa nchini mwetu yamepata ahueni ktk kipindi Chako cha uongozi na kukusifu mitandaoni Na kwenye vijiwe mitaani. Si hivyo tu bali mpaka kwenye baadhi ya watumishi wachache.
Vyeti feki
Madawa ya kulevya
Majambazi
Wahujumu uchumi
wezi wa...
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Kuelekea kuadhimisha mwaka mmoja wa Rais Samia S. Hassan, nimekutana na hii habari iliyonikosha sana.
Kwamba Serikali ya mama itaanza kutoa motisha na mitaji ya fedha na vifaa kwa wafungwa wanaomaliza vifungo vyao.
Kwa kuanzia wataanza na gereza kuu la mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.