Uelekeo wa awamu ya sita unaonesha upo Kwa ajili ya kurekebisha yaliyofanyika awamu ya tano.
Inavyoonekana kulikuwa na "makosa" mengi sana yaliyokwisha fanyika awamu ya tano ambapo jukumu la kwanza kwa awamu ya sita ni kurekebisha makosa ya awamu iliyopita.
Ukitazama safu ya uongozi katika...
Kila zama na wakati wake.
Tukianza awamu ya Nne teuzi zake zilitegemea sana watu walio ndani ya chama na watu walio kuwa nje ya nchi (Wenye exposure zao).
Awamu ya Tano: Watu wenye PhD zao na Profs walilamba Teuzi.
Awamu ya Sita tunaona watu wanaoteuliwa ni watu wa social media. Mdau mmoja...
Hizi wizara mawaziri mnazibumunda sana na kuzichechemesha. Kama umekaa na jopo lako la kitaalamu la kikodi na ukaja na uteuzi wa samatta, kumwembe sijui na mobeto kuwa waelimishaji rika wa kodi unapoteza kani na sijui hii itakusaidia vipi kuongeza wigo na mapato ya kodi.
Kama ni matakwa yako...
Lile genge maarufu lililoibukia tokea tarehe 09/03 baada ya fudenge kupiga kapu teke bado lingali lina nguvu.
Ni jana tu wametoka kufanya kikao cha siri, hawa ni watu hatari sana kwa taifa letu hawa wanataka kutuletea ukabila na ukanda na kutaka utukuzwe maana kuna mbegu ilikua ishapandwa na...
Nchi nyingi duniani zinakabiliwa na janga la ukosefu wa ajira kwa vijana,mfano nchi ya Nigeria ambayo nusu ya watu wake ni vijana wenye umri kati ya miaka 15-35 inakabiliwa na ukosefu wa ajira ya zaidi ya vijana 11.1 milioni. Halikadhalika nchi za Afrika ya Kusini, Kenya, Uganda na zingine...
Awamu ya Tano ililaumiwa sana kuhusu kuminya Uhuru, Haki na Demokrasia. Katika kurejesha imani kuhusu "Haki", Rais wa Awamu ya Sita, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akikemea watendaji wa Taasisi za kusimamia haki ili kuleta ufanisi. Matokeo yake kumekuwa na mabadiliko ya viongozi kwenye Taasisi...
Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu na wakuu wa taasisi mbalimbali za serikali.
=======
Baadhi ya mabadiliko
- Alphayo Kidata ameteuliwa kuwa kamishna wa mamlaka ya mapato Tanzania, nafasi aliyowahi kuitumikia kabla na uteuzi wake kutenguliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.