Angalieni yaliyomkuta Ndugai baada ya kupishana na Samia. Tena akiwa kwenye mhimili unaoisimamia serikali. Samia asingeweza kufurukuta mbele ya kiongozi wa malaika. Angejaribu si ajabu leo tungekua tunahesabu mengine kwa jeuri ya yule bwana. Tumpongeze kwa kuvuta subra hadi mwamuzi wa haki...
Siasa ni msingi wa mambo mengi hapa diniani. Siasa iko kila sehemu, kanisani, makazini, na hata kwenye kumbi za starehe.
Siasa ni Imani, mtu akiishi kwenye mlengo furani wa siasa na akakolea ni ngumu sana kumuondoa huko.
Awamu ya Tano ilikuwa na Aina yake ya Siasa, mlengo wake wa siasa, na hii...
NHIF iliwalipia wanaume wengi kujifungua uja uzito kwa upasuaji au njia za kawaida.....
==========================
A male with a big belly. PHOTO | COURTESY
Dodoma. The National Health Insurance Fund (NHIF) reportedly paid hospital bills for male patients to either undergo caesarian or...
Waziri Jenister Mhagama wa awamu ya tano alikuwa ana amini watumishi wa umma hawapaswi kuongezewa mishahara Wala kupandishwa madaraja kwa kuwa nchi ilikuwa inachengwa kwanza nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja vyote vilikuwa Kwenye miundo mbinu kama barabara, eli nk
Ni waziri ambaye...
Hakika vijana walitukosea sana, waliongoza taasisi ama nafasi zao kwa mihemuko bila kufuata taratibu. Hii siyo kwamba vijana hawafai kupewa madaraka la hasha Bali vijana wengi walioaminiwa na Magufuli ama walikuwa hawakuandaliwa kuwa viongozi ama Magufuli alikuwa anawapa maelekezo ya namna ya...
Bila shaka wakati Mh. Raisi Samiah Suluhu Hassan akipokea ripoti ya TAKUKURU na CAG na ulipofika wakati wa yeye kuzichambua ripoti zile nimemsikia kwa masikio yangu mawili ya kwamba “Mradi wa ufuaji umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere” utakamilika mnamo mwaka 2024 ama zaidi ya hapo.
Nikirudi...
Akiteuliwa Waziri wa Mambo ya ndani lazima apambane na wakuu wa idara aliowakutwa,akiuliwa Waziri wa ardhi naye Kila anayemkuta ofisni Hana sifa, akiteuliwa Waziri wa sheria naye ana watu wake, kilimo Kila sehemu anataka yeye atawale nk
Je, wanapata wapi nguvu yakufika ofisini na kuanza...
Kama ungependa kufahamu namna awamu ya 5 ilivyosigina HAKI ZA BINADAMU nchini Tanzania, basi hutakiwi kukosa nakala ya kitabu kilichotungwa na Mhanga namba 5 wa Utawala ule aitwaye Mdude Nyagali, ndani ya kitabu hicho mmefunuliwa kila unyama na uchafu wote uliofanywa katika kusigina katiba ya...
Jambo lakimaskini na kifukara la wanasiasa hafifu kifikra nikufikia hatua yakusifia lugha.
Nilichukizwa na Kiswahili kutumika kisiasa awamu ya Tano na watu wenye madaraka kuacha kushughulika na matatizo ya wananchi nakufungua mjadala wa kiswahili.Wasiojua kiswahili wakatuamunisha kutumia...
Awamu ya Tano haikuwa awamu ya Sayansi, Sheria na Demokrasia. Ilikuwa ni awamu ya mambo yaende yatake yasitake, utake usitake. Awamu ya Tano iliamini kuwa sayansi, sheria na demokrasia ni nyenzo za kuchelewesha mambo kwa kuongeza ukiritimba.
Awamu ya Tano iliendesha nchi kama vile dereva...
Kama mtakumbuka mwaka jana DPP alianza kufuta kesi zote walizofunguliwa watu wakubwa nchini wakiwemo wanachama wa chama Cha mapinduzi. Hadi Sasa pamoja na ubadhirifu wote uliofanyika hakuna hukumu iliyotolewa Kwa Kiongozi yeyote wa chama Cha mapinduzi inayomfanya akae kifungoni. Wakitenda...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imebaini kuwa Shirika la Ndege (ATCL) lilipata hasara ya Sh60.24 bilioni kwa mwaka wa fedha 2019 /2020.
Mwenyekiti wa PAC, Naghenjwa Kaboyoka ameyasema hayo leo Alhamis Februari 17, 2022 wakati akiwasilisha taarifa ya shughuli za kamati kwa kipindi...
Mmnetangaza wenyewe kuwa mmehitimisha ukarabati wa miundo mbinu ili umeme upatikane vizuri. Tunataka tusisikie habari ya mgao na umeme kukatika katika hovyo imeisha kama enzi za awamu ya tano.
Rais Samia Suluhu akiwa mkoani Mara kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji ameongelea suala la miradi ya Serikali. Ameuongelea mradi huo ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya tano lakini ukakwamishwa na mkandarasi na kuamua kumbadilisha ili kumalizia mradi. Pia Rais Samia ameongelea spidi ya...
Aina ya uongozi kama ule wa Awamu ya Tano ulikuwa balaa kwa mustakabali wa umoja wa nchi yetu.
Sina haja ya kurudia madhambi mabaya ya Awamu ya Tano maana kila mtu yalimgusa.
Kiini cha hayo matatizo ni kinyang'anyiro cha urais wa 2015 ambapo walijitokeza wagombea zaidi ya 40.
Naona hili...
Tangu mwaka jana nimekuwa nikimsikiliza mfanyabiashara Ramadhani Ntunzwe anavyosumbuliwa bila kupata ufumbuzi.
Nina imani kabisa rais wa wakati huo kama kweli alikuwa na nia ya kumaliza jambo hilo lisingechukua muda mrefu kiasi hiki.
Pia nadiriki kusema mateso aliyoyapata huyu mfanyabiashara...
Kwanza natoa pongezi kwa uongozi wote wa awamu ya sita kwa jitihada kubwa inayofanywa hasa ya kuondoa ujinga kwa watoto wetu kwa kuwekeza nguvu kubwa kwenye kujenga shule na hospitali kila mahali kwa speed ya hali ya juu na kuendana na mahitaji na muda unaotakiwa, jambo ambalo limelazimika hadi...
David Kafulila bila Shaka ni mtaalamu mkubwa wa hujuma. Alikuwa Chadema huko alishirikiana na kundi lake kulihujumu hicho chama. Baadaye alihamia NCCR Mageusi huko nako alihujumu kabla ya kutimkia CCCM. Akiwa CCM ametumika sana. Na katika hawamu ya 5 amepiga kila haina ya hujuma. Kwa sasa...
Sikuona sababu yoyote kumuachia malaika wa watu na vijana waende shule hadi kidato cha nne Bure.
Nchi yetu tangu uhuru tunaijenga. Wazee wetu walijenga nchi kwa nguvu nyingi wakiendelea kutangukia mbele ya haki. Sisi tusome Bure Bure bila hata senti kwa keki ipi tuliyohangaika nanyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.