Nadhani IGP alikuwa Omary Mahita aliyekuwa na kashfa nyingi za kushirikiana na na baadhi ya Majambazi
Kuna lile tukio la 2006 la uvamizi wa gari la NMB lililokuwa limebeba pesa.. Hili si la Mkapa lakini ni mabaki yake
Tukio lile la CRDB Nyerere road wale wandava waliingia saa mbili asubuhi na...