awamu ya tatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mpango wa Trump kuwa Rais kwa awamu ya tatu wazidi kusukwa na MAGA

    Mmojawapo wa wanamkakati wakubwa na wa kwanza wa MAGA , Steve Bananon ambaye pia amewahi kuwa mshauri na katibu mkuu kiongozi katika utawala wa Trump anasema kwa namna yoyote ile Trump lazima awe Rais katika kipinde kingine cha tatu kuanzia 2028. Steve Banon ansema kuna njia na fursa nyingi za...
  2. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio taasisi zilizoanzishwa na Hayati Benjamin Mkapa. Umejifunza nini?

    Hizi ni baadhi tu ya Taasisi zilizoanzishwa na Rais Mkapa; 1. TAA 2. TCRA 3. PPRA 4. BRELA 5. EWURA 6. TACAIDS 7. SUMATRA 8. TANROADS 9. TAKUKURU 10. TRA. 11. MKUKUTA. 12.MKURABITA. Awamu ya sita ni 👇🏾 1. Samia Legal Aid 2. Goli la Mama 3. Samia App 3. Kazi Iendelee 4...
  3. Heavy Heritage

    JamiiForums Tanzania Orodha ya matukio, vimbwaga na maamuzi yalioyotolewa wakati wa awamu ya Tatu ya Benjamini Mkapa

    Tiririka hapa tuyakumbuke maana ni muda wa watu kiongoza na watatuongoza milele Ungependeza ungekuwa utawala wa awamu ya kwanza - Sikuwepo (Nilisimuliwa) Ungependeza ungekuwa utawala wa awamu ya Pili - Nilikuwa Mdogo (Nikasimuliwa) Ukweli na Uwazi!
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kipindi cha Mkapa ndio ujambazi mkubwa ulitamalaki

    Nadhani IGP alikuwa Omary Mahita aliyekuwa na kashfa nyingi za kushirikiana na na baadhi ya Majambazi Kuna lile tukio la 2006 la uvamizi wa gari la NMB lililokuwa limebeba pesa.. Hili si la Mkapa lakini ni mabaki yake Tukio lile la CRDB Nyerere road wale wandava waliingia saa mbili asubuhi na...
Back
Top Bottom