Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Mmojawapo wa wanamkakati wakubwa na wa kwanza wa MAGA , Steve Bananon ambaye pia amewahi kuwa mshauri na katibu mkuu kiongozi katika utawala wa Trump anasema kwa namna yoyote ile Trump lazima awe Rais katika kipinde kingine cha tatu kuanzia 2028. Steve Banon ansema kuna njia na fursa nyingi za kumfanya Trump kutawala kwa kipindi cha tatu ikiwemo matakwa ya raia walio wengi kuamua hivyo na pia njia nyingine ambazo zitawekwa wazi muda ukifika.