Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Songwe Mkoani Mbeya tarehe 07 Agosti, 2023.
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akikabidhiwa maua ya pongezi na watumishi wa Wizara hiyo alipowasili katika Ofisi za Wizara, Mtumba Dodoma, Julai 18, 2023, baada ya kuapishwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waziri wa Viwanda na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika, leo Julai 11, 2023 jijini Arusha.
===
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema moja ya vikwazo vikubwa vya maendeleo barani Afrika ni...
5 July 2023
Lilongwe, Malawi
RAIS SAMIA HASSAN AWASILI NCHINI MALAWI KWA ZIARA YA SIKU 3
Alipowasili amepokelewa uwanja wa ndege wa Kamuzu International Airport (KIA) na mwenyeji wake Rais Lazarus Chakwera wa Malawi na viongozi wengine wa juu wa serikali ya Malawi.
Rais Samia anatazamiwa...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo leo tarehe 15 Mei, 2023 amewasili wilayani Bukombe mkoa wa Geita kwa ziara ya siku moja na kuzindua majengo mbalimbali ya Chama Cha Mapinduzi ikiwemo ukumbi wa mikutano, nyumba ya kupumzika wageni (Rest House) na mgahawa (Restaurant)...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Hosea Kutako, Windhoek nchini Namibia kwa ajili ya Mkutano wa dharura wa Troika plus wa Wakuu wa Nchi na Serikali za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zinazochangia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) tarehe 16 Februari, 2023.
Rais wa Jamhuri ya...
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Victoria Charles Mwanziva tarehe 30 Januari 2023 amewasili rasmi Ludewa.
Victoria Charles Mwanziva alipokelewa kwa kishindo na Viongozi, Skauti wa Shule ya Sekondari Chief Kidulile na Wananchi mbalimbali wa Wilaya ya Ludewa.
Aidha, Mhe Victoria Charles Mwanziva...
Safi sana kuona Kyev inaendelea kupokea viongozi wakuu....
Ameahidi kuwapa Ukraine teknolojia za kupiga chini aina yoyote ya drones....
British Prime Minister Rishi Sunak made a surprise visit to the Ukrainian capital Kiev on Saturday for his first meeting with Ukrainian President Volodimir...
Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Mjumbe wa Bodi ya Nutrition International (Shirika la Kimataifa linalojihusisha na Masuala ya Lishe) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Bw. Joel Spicer pamoja na Wajumbe wengine wa Bodi kutoka Afrika; Mheshimiwa Joyce Banda Rais Mstaafu...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA).
Makamu wa Rais...
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), Dk.Patrice Motsepe amewasili leo Jijini Arusha, Tanzania na kupokelewa na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia (kulia) na Katibu Mkuu wa CAF Veron Mosengo-Omba (kushoto).
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewasili Maputo Nchini Msumbiji kwa ziara ya kikazi ya siku nne (4), ambapo amepokelewa na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake, Waziri wa Ulinzi wa Msumbiji, Cristovao Chume kabla ya kutembelea maeneo mbalimbali ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akizungumza na baadhi ya viongozi wa Serikali wanaoshiriki Mkutano wa 26 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika jijini Kigali, Rwanda, Juni 20-25, 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na watanzania mbalimbali wanaoishi nchini Brussels Ubelgiji mara baada ya kuwasili wakati akitokea nchini Ufaransa kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi pamoja na kuhudhuria Mikutano mbalimbali ya kimataifa leo tarehe 14...
KATIBU MKUU UMOJA WA POSTA AFRIKA (PAPU) AWASILI JIJINI DODOMA
Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU),Bwana Sifundo Chief Moyo amewasili jijini Dodoma akiambatana na msaidizi wake Bi Jessica Uwera Ssengooba kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Siku Posta Duniani yatakayofanyika tarehe 9...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu ya Royal Tour leo tarehe 05 Septemba, 2021.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 12, 2021 amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi.
Akiwasili katika uwanja wa Mohammed V jijini Casablanca Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipokelewa na Waziri Mwakilishi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika wa Morroco Mohcine Jazouli.
Lengo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.