Kuna tetesi mjini kuwa Millard Ayo ameamua kufunga ndoa kimyakimya bila kelele wala nini. Na kuna mdau amenambia Millard kwasasa hata hasikiki kwenye kipindi chake cha Amplifaya, pengine kuna ukweli, unampa neno gani Millard?
Yaani kama vile jamii ya Tz kwa sasa ilivyokumbwa na wimbi la kutisha la machawa pro max basi kuna hawa viumbe wanaojiita wachambuzi , kwa kweli ile sheria ya degree ianze tu hiyo December labda itapunguza vilaza waliojazana huko wakijipa majina ya soccer pundits
Simba ilipopigwa hamsa hamsa...
One of the richest bloggers in Africa Forbes ilinukuu.
Ukimuona simple tu wa kawaida lakini ana hela ndeefuuu na nyingi sana.
Utajiri wake unakadiriwa 3-5 Millions US dollars. Vyanzo vingine vya uhakika na kuaminika vinadai anaweza kuwa na utajiri hata zaidi ya iyo dollar million 5.
Ni kwa...
Mpiga picha wa AyoTV Kanda ya Ziwa Nellyson Grigery (alievaa shati la kijani) kafariki katika ajali ya gari iliyotokea Kibaha safarini Mwanza kuja Dar. Mwingine aliyefariki ni Mujitaba Yusuf (hayupo kwenye picha) huyu si mfanyakazi wa Ayo TV.
Kwenye ajali hio mwandishi wa AyoTV Kanda ya Ziwa...
Ni kipindi kirefu sana millard ayo aliacha kupost contents za Diamond,
Ishu hii iligeuka fursa kwa wenye channel za youtube maana milard alipanua wao wakaingiza, kusema kweli ilitoa fursa kwa youtube channels nyingine kupata subscribers na views wengi kwa habari za wcb
Matokeo yake ni channels...
Wakuu zamani ukipita kwenye hizi site zilikuwa zimechafuka kwa matangazo. Hadi unaikuta habari unakuwa umepita matangazo si chini ya matano.
Leo nimepita nakuta kweupe kabisa. Nini kimewapata?
Habari zilizotufikia punde ni kuwa mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Hamisi Tale au Babu Tale) aitwaye Shamsa Tale almaarufu kama Shammy Nails amefariki.
Pole kwa familia ya Babu Tale maana ameacha watoto wadogo.
Tumeshasikia kitu wanaita ujasiliamali wa maudhui (content enterpreneurs), hii ikoje?
Hii ni biashara kama biashara zingine na wengi wanafanya na wanapiga mpunga wakutosha. Kuna baadhi ya wadau nimewataja hapo juu wanafanya hii kitu na wengine wengi.
Inafanyikaje?
Kinachofanyika watu hurekodi...
Miaka ya nyuma hasa utawala wa kikwete Jf ilikuwa inashindanishwa na michuzi, in short, system ilikuwa inataka kuuwa Jf na kuifanya michuzi bora zaidi lakini mwisho wa siku kila kitu kilikwama Michuzi blog ikajifia kifo cha mende na Mjegwa blog ikajifia kifo cha mende
Sasa utawala huu unatumia...
Haina haja ya kulialia sana hata waziri Jafo alisema figisu katika chaguzi ni vitu vya kawaida sana hata Israel na Marekani vipo cha muhimu ni vyama vya upinzani kuonyesha ukomavu na kujiongeza kama walivyofanya Renamo au Unita
Wapinzani wanadeka sana juzi katekwa kiongozi wao huko hai na...
nI MMOJA WA WAPENZI WA MTANDAO WA HUUYU MH
LO NIMEONA NITOE YA MOYONI
VIDEO NYINGI UKISEMA.UNAFUNGUA UNAKUTANA NA MATANGAZO YA WANAIMDHAMINI BADALA YA. VID HUSIKA HUU UJINGA AUFAI
SIO KILA.MTU ANA BET WENGINR WANATAKA KUONA MATUKIO
HIKI.NDICHO NIMEKUTANA NACHO BAADA YA KUAVLICK VID
hATA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.