azam complex

Azam Football Club is a professional football club based in Chamazi, Temeke, Dar es Salaam, Tanzania, that competes in the Tanzanian Premier League. Nicknamed Wana Lambalamba, Chamazi Millionaires or the Bakers, the club was founded as Mzizima Football Club in 2004, changed its name to Azam Sports Club in 2005, then Azam Football Club in 2006 and moved to its current stadium, Azam Complex Chamazi, in 2010.
Azam FC have won 10 trophies; one Premier League, a record 5 Mapinduzi Cup, two Kagame Cup, one Tanzania FA Cup and one Community Shield.
In the 2013/14 season, Azam FC won the league unbeaten, and by so doing, the club became only the second (after Simba SC 2009/10) to win the league without losing a single game.
Azam FC were undefeated in the league (26 matches) in a run that stretched to a 38 games, from the 18th round of 2012/13 season to the 4th round of 2014/15. In 2015, the club became the first in the history of Tanzanian clubs to win the Kagame Cup without conceding a goal.
Azam FC is one of the most widely supported football clubs in Tanzania, and has rivalries with Yanga SC, Simba SC, Mtibwa Sugar FC and African Lyon.

View More On Wikipedia.org
  1. Muonekano mpya wa Azam Complex, Uwanja wa klabu ya Azam

    Azam FC wameachia picha za muonekano mpya wa mabenchi ya wachezaji wa akiba, baada ya kufanyiwa maboresho. Azam FC wameachia picha hizo saa chache kabla ya mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa Uwanjani hapo. Mara ya mwisho Azam FC ilipocheza Azam Complex dhidi ya Fountain Gate...
  2. Azam Complex watoa clip ya aliyeziba camera ,mwamba huyu hapa.

    Mwamba huyu hapa
  3. M

    Tetesi: Klabu ya Simba SC ipo mbioni kuhamishia mechi zake uwanja wa AZAM complex- Chamazi mara baada ya Yanga kuhamia KMC complex

    Ili kuonesha kuwa siku ya kufa nyani miti yote huteleza. Kuna tetesi kuwa klabu ya Simba sc imeamua kuhamishia mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Azam complex ili kupishana na mahasimu wao wa jadi klabu ya Yanga Ambayo imeamua kuuhama uwanja huo bila ya kutoa sababu maalumu mara baada ya...
  4. Kuna anayejua sababu za Yanga kahama uwanja wa Azam Complex?

    Ki ubora tumeona na tunaujua huu uwanja ukitumiwa hata kwa mechi za CAF Champions league na CAF confederation cup. Lakini vilabu vingi vya NBC premier vimeutumia, ni nini hasa sababu ya timu ya Yanga kuuhama katikati ya msimu? Kwenye hii barua hakuna sababu yoyote imewekwa.
  5. Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United chatumika darasani Wanafunzi kujifunza kusoma

    Doh! Sio Mchezo Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United cha bao 3-1 kimetumika darasani kama somo la kusoma kwa wanafunzi wanaojifunza Kiswahili. Soma, Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024 Katika video iliyosambaa, wanafunzi...
  6. Hamuutaki sasa Uwanja wa Azam Complex baada ya kuchezea Vipigo viwili mfulilizo, kwani Azam na Simba waliwalazimisha Kuutumia?

    Na msivyo na Akili pengine ndiyo maana hata aliyekuwa Kocha Mkuu wenu Luc Eymael (Raia wa Ubelgiji) alisema (ipo YouTube) kuwa mna Akili kama za Nyani, Mbwa na Sokwe leo mmesahau kuwa ni nyie nyie mlikuwa mnatamba kuwa Uwanja wa Azam Complex una Bahati sana Kwenu na mtautumia kwa Mechi zenu zote...
  7. M

    Mashabiki ya Yanga sc hawautaki tena uwanja wa Azam complex- Chamazi! Wataka mechi zao zikachezwe KMC complex stadium

    Lilikuwa suala la muda tu baada ya Bundi mzee kuwika katika uwanja wa Chamazi, klabu namba moja kwa masuala ya ushirikina Tanzania. Daima mbele nyuma mwiko kuanza harakati za kuukimbia uwanja wao wa nyumbani ,Chamazi na kutaka kuja kuutumia uwanja wa KMC unaotumiwa na mahasimu wao wanaoongoza...
  8. Ahmed Ally: Yanga walitaka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wanajichoma choma uchafu

    Ahmed Ally ameweka video yenye tuhuma nzito dhidi ya Young Africans kwamba wanataka kuhama Azam Complex baada ya kugundulika wakifanya uchawi, baadaye wakahamia vyumbani wakijichoma choma mauchafu ,wamesahau kuna CCTV cameras baada ya kugundua wakataka kuhama Azam Complex. Hii ni tuhuma nzito...
  9. Video yaonyesha mabomba ya sindano yanayotuhumiwa kuwa ya Yanga kwenye chumba cha kubadilishia nguo Azam Complex

    Wakuu Kuna hii video imezua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano wakati wa mechi zao ambayo mchambuzi wa Soka nchini Jemedari Said amezi-share kupitia ukurasa wake wa Instagram na maelezo haya:
  10. Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,024

    Mechi: Yanga SC VS Tabora United Ligi: NBC Premier League Uwanja: Azam Complex Tarehe: November 7,024 Muda: πŸ•– 6:00PM Dakika, 11 Si Yanga wala Tabora hakuna timu iliyopata goli hadi sasa. Dakika, 15 Mchezo umendelea kuwa mzuri timu zote zinacheza kwa utulivu sana. Dakika, 19 Tabora...
  11. FT: Young Africans SC 0 - 1 Azam FC | NBC Premier League | Azam Complex |02.11.2024

    ⚽️ Young Africans SCπŸ†šAzam FC πŸ“† 02.11.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 12:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Azam FC Mpira umeanza Dakika ya 3 Yanga SC wanashambulia kwa kasi Dakika ya 5 Dube anakosa nafasi ya wazi Dakika ya 14 Max anafanyiwa madhambi Dakika ya 17 Aziz k anakosa nafasi ya wazi...
  12. Kocha Miguel Gamond hafurahishwi Azam Complex kuwa uwanja wa nyumbani

    Katika mahojiano na Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amekaririwi akisema sifurahishi na uwanja wa Azam Complex kuwa awanja wa nyumbani, "Hata tukiwa Zanzibar nilisema kuwa sifurahishwi na uwanja wa Azam complex,Azam na Yanga ni derby lolote linaweza kutokea". Hata hivyo Yanga walijaribu kuomba...
  13. Yanga SC 2 - 0 JKT Tanzania | NBC Premierleague | Azam Complex | 22.10.2024

    Kivumbi kingine kwa timu ya Wananchi Yanga SC katika ligi kuu ya NBC leo tena kuondoka na alama tatu? πŸ† NBC Premierleague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šJKT Tanzania πŸ“† 22.10.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 1:00 Usiku Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeanza karibu kupata burudani ya soka Dakika, 36 mpira bado...
  14. FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

    πŸ”°ππ„π—π“ πŒπ€π“π‚π‡πŸ”° πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šPamba Jiji FC πŸ“† 03.10.2024 🏟 Azam Complex πŸ•– 6:30PM(EAT) Kikosi kinachoanza dhidi ya Pamba Jiji FC Mpira umeanza Dakika ya 5 Goal Baccaaaaaaaaaaa Dakika 7 Tunashambulia kwa kasi Dakika ya 12 Yanga SC wanapata Kona Dakika ya 14 Tunapata...
  15. FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

    Match Day πŸ† #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SCπŸ†šKMC FC πŸ“† 29.09.2024 ⏰ 2100hrs 🏟 Azam Complex #Daimambelenyumamwiko# KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. KIKOSI CHA KMC UPDATES.... 04' Yanga wanapata Goli kupitia kwa Max Mpia Nzengeli 1-0 19' Yanga wanapata kona ya kwanza. Inaanzwa kona...
  16. L

    Viongozi wa Azam sikilizeni ushauri wangu kama mnataka kweli kuiletea heshima nchi na Bakhresa mwenyewe

    Mna timu nzuri kuliko timu yoyote hapa Afrika, mna kocha mzuri na mwenye sifa, mna management nzuri, mna utajiri wa kutosha, mna uwanja mzuri, kusema kweli mna kila mtu. Mnaweza kufukuza kocha mkiondolewa na APR, mnaweza kufukuzana kimya kimya kama mlivyofanya enzi zile kwa kitasa Idd Nassoro...
  17. D

    FT: CAFCL: AZAM FC 1-0 APR | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024

    Matajiri wa Chamanzi wamepata code za mechi za KIMATAIFA, watakiwasha na mabingwa APR ya Rwanda kwenye CAFCL Preliminary Round. Azam FC wanakikosi EXPENSIVE Africa Mashabiki na Kati. #TUMEIPATA CODE
  18. Full Time: CAFCL: Vital'O 0-4 Yanga | Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 17.08.2024

    Match Day Vital'O FC vs Yanga SC KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. #Daimambelenyumamwiko# Updates... Mpira umeanza Timu bado zinasomana. Dk 05 Dubeeeeeeeee anaipΓ tia Yanga goal lakuongoza hapa . Goal la kwanza kwa Yanga. 0-1 Dk 08' Vital'O wanajaribu kufika kwenye lango la Yanga, beki...
  19. Uwanja wa Azam Complex kutumiwa na vilabu 6 michuano ya kimataifa msimu 2024/2025

    Idadi ya timu sita zinazoshiriki mashindano ya klabu Afrika yatakayoanza mwishoni mwa wiki hii zitatumia Uwanja wa Azam Complex kwa mechi zao za nyumbani. Sababu tofauti zimechangia kuzifanya timu hizo kuchagua uwanja huo unaomilikiwa na Azam FC ambazo ni usalama duni katika baadhi ya nchi...
  20. Aisee uwanja wa KMC ni mzuri kuliko uwanja wa Azam

    Wapewe maua yao hawa KMC, Manispaa zingine nazo ziige mfano kwa KMC Nilikuwa naangalia Kagame cup, nimeuangalia uwanja wa KMC nikajua mzee Bakhresa kafanya ukarabati mkubwa, Mechi iliyofuata ya saa 12 nikashangaa kuona minazi na majumba nje ya kuta za uwanja ndipo nilipogundua kumbe ni azam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…