Azam Football Club is a Tanzanian football club from Dar es Salaam. They play in the Tanzanian Premier League. Azam FC gained promotion to the Premier League for the first time in their short history in 2008–09. In the 2011–12 season, the club finished in a historic second place below Young Africans and qualified for the 2013 CAF Confederation Cup.
Naushauri uongozi wa Azam kuitetea Brand yao. Hata kama kuna baadhi wana vinasaba na Kolo. Haiwezekani Klabu yenye rasilimali muhimu katika soka halafu inasuasua kama Mtibwa na Ihefu.
Mechi 3 zilizobaki ikitokea Azam afungwe au atoke sare ITAKUWA NI UJINGWA ULIOPITILIZA
Hayawi hayawi mwisho yamekua kuna baadhi ya watu wanaamini kwa asilimia mia kuwa Azam fc atashinda mbele ya Simba sc nawaambieni futeni wazo hilo kwani azam atakufa kifo cha mende kama hatodhibiti haya
(1) Janja janja ya Marefa hapa wachezaji wa azam wanapaswa kuwa makini sana na faulo zao...
Mkataba halali kati ya Dube na Azam FC ni ule unaoishia msimu wa mwaka 2024 ambao umeidhinishwa na TFF (sheikh) kuwa ni mkataba (ndoa) halali.
Maana hata kama Binti mmekubaliana wenyewe kuoana, makubaliano hayo hayatatambulika kama mke na mume mpaka ndoa ifungwe kwa idhoni ya wazazi na...
Figisu kwa team ya young African zilianza kwenye match dhidi ya azam ile match tulioangalia wote tutakubaliana hapa kuwa azam alipania kuwaumiza wachezaji nyota wa young African kwa makusudi ili kuwakomoa kutokana na mgogoro uliokuwa umeibuka baina ya team hizo mbili na kupelekea yanga kupata...
Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga.
Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa...
Azam FC inathibitisha kwamba imepokea ofa kutoka vilabu viwili tofauti vikimhitaji mchezaji wetu, Prince Dube, raia wa Zimbabwe.
Ofa hizo zimetoka katika vilabu vya Simba SC ya Tanzania na Al Hilal SC ya Sudan.
Uongozi unazifanyia tathmini ofa hizo ili kuona ipi inafaa.
Aidha, Azam FC...
Mshambuliaji Prince Dube raia wa Zimbabwe ametangaza kuachana na Azam FC baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne.
Hivi karibuni zilitoka taarifa za mshambuliaji hiyo kuomba kuondoka, Azam FC walithibitisha taarifa hizo na kuweka wazi kuwa hawamzuii ila taratibu zifuatwe.
Mchezaji huyu...
Mchezaji wa Azam FC PRINCE DUBE amerudisha kilakitu cha klabu hiyo ikiwemo nyumba na kuondoka kambini.
Dube aliiandikia klabu hiyo barua akiomba kuondoka klabuni hapo baada ya kuishi Chamazi kwa miaka 4 sasa.
Dube anahusishwa kutaka kutafuta maisha mapya ‘Kariakoo'.
==
Pia soma:
Klabu ya...
[emoji599]| PRINCE DUBE UPDATES
[emoji617] Mazungumzo kati ya Azam na Striker wao, Prince Dube yanaendelea ambapo Azam wanahitaji kiasi cha USD 300,000 sawa na Tsh 765M ili kumuachia mchezaji huyo huku Prince Dube akiwa tayari kulipa kiasi cha USD 230,000 sawa na Tsh 586M ili aweze kuondoka kwa...
Klabu ya Azam imethibitisha kupokea barua ya PRİNCE DUBE akiomba kuondoka kwenye klabu hiyo. Taarifa ya klabu inasema Azam FC wamemjibu na kumwambia anaweza kuondoka ila kwa kufikiwa kwa vipengele vya mkataba, yani kama klabu nyingine au yeye mwenyewe anaweza kuilipa Azam FC pesa waliyoweka...
Klabu ya Azam FC imethibitisha kupokea barua kutoka kwa mshambuliaji Prince Dube akiomba kuvunja mkataba wa kuwatumikia Waoka Mikate hao ambao amewatumikia tangu mwaka 2020.
Mkataba wa nyota huyo raia wa Zimbabwe aliosaini mwaka 2023 utamuweka klabuni hapo mpaka 2026. Hivyo sasa amebakisha...
Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.
Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.
Soka letu kivyetuvyetu.
Match Day!
Mchezo wa 13 kwa Simba akiwa na Alama 29 nafasi 3.
Azam wao wako nafasi ya 2 wakiwa na Alama 31.
Simba alipoteza mara mbili Mfululizo kwa Azam Fc.
Hii ni Mechi ya kisasi.
All the Best Mnyama.
Kikosi cha Simba Kinachoanza.
Kikosi cha Azam Kinachoanza
Updates...
Timu...
Kama kichwa kinavyo sema hapo juu ,ukiangalia mpira wetu utaona kuwa yanga imekuwa bora kwa miaka 3 sasa ila unajua kwanini bado kuingia makundi inakuwa ngumu basi sababu ni RANKING Simba ilijikusanyia rank nyingi na siku zote wenye rank nyingi upangiwa na timu ndogo ,hata kama timu ndogo nazo...
NBC Premier League leo Alhamis
Saa 3:00 Usiku AzamFC watakuwa Azam Complex wakiwaalika KMC
Kocha Abdi Moallin wa KMC anarudi kwa waajiri wake wa zamani
Je, atwaadhibu ama mambo kuwa magumu?
---
Kikosi cha Azam kilichoanza
Kikosi cha KMC kilichoanza
24 November 2023
Vancouver, Canada
Mshambuliaji hatari wa Azam FC, Cyprian Kachwele umri miaka 18 amesainiwa katika klabu ya Vancouver Whitecaps FC
Taarifa ya klabu hiyo ya Canada inayoshiriki katika ligi ya Major League Soccer ya Marekani ya Kaskazini kupitia kocha mkuu Ricardo Clark...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.