Azam Football Club is a Tanzanian football club from Dar es Salaam. They play in the Tanzanian Premier League. Azam FC gained promotion to the Premier League for the first time in their short history in 2008–09. In the 2011–12 season, the club finished in a historic second place below Young Africans and qualified for the 2013 CAF Confederation Cup.
Nataka mtufunge ili tukichanganya na zile Hasira za Kufungwa Thalatha za Mwarabu jana tupate sababu ya Kuvurugana zaidi na Mgogoro uwe mkubwa Klabuni ili Mo Dewji ( Mwekezaji ), Salim Abdallah Mhene 'Try Again' ( Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ) na mwana Yanga SC lia lia Murtaza Mangungu (...
GENTAMYCINE nasisitiza Kwako kuwa acha Kuwazuga kwa kujifanya kuwa Unaumia na Umekereka sana na Dogo Fei kufanya aliyoyafanya.
Kwa Taarifa yako tu ni kwamba kuna Masheikh kutoka Zanzibar wameitwa kwa Kazi Maalum juu yako kwa Usaliti uliowafanyia halafu sasa Unawasanifu tu wakati...
Nimewasikia wanachama na mashabiki wa Yanga wakihamasishana kususia bidhaa zote za Azam kulipiza vîtendo vya Azam fc kutumia nguvu ya fedha kurubuni wachezaji wake wake muhimu. Waliwataja akina Ngoma, domayo, chirwa, mbui, Ngassa na Sasa Faisal.
Sina uhakika kama Azam fc inapokea maagizo...
Ukiona GENTAMYCINE anachukiwa sana na Manyang'au wengi Mtandaoni / Mitandaoni licha ya Yeye Kubarikiwa mno na Mwenyezi Mungu na kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer alivyo jua pia anachokifanya kwa 100% ni sahihi.
Ni mwendo tu wa Kuwakera Maadui.
Mchezo huu ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ikiwa kileleni katika nafasi ya kwanza wakati Azam FC ikiwa nafasi ya tatu.
AZAM vs YANGA: Katika mechi 11 walizokutana kwenye Ligi Kuu tangu msimu wa 2017/18, Yanga wameshinda mara nyingi zaidi huku sare zikiwa ni mbili pekee. Mchezo wa leo...
Ukiwatizama Yanga SC katika kila Idara na kuangalia Fitness yao hasa kwa Mchezaji mmoja mmoja na ukawalinganisha na wa Azam FC na current performance yao ambayo ni ya kusuasua bado nawaona Yanga SC si tu ni favourite katika Mzizima Derby ya leo bali pia ni Title Contender ambao nilishasema (japo...
"Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali...
1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi.....
Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi.
2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi......
Kuhusu Sisi Azam FC kuvaa Jezi zetu Nyeusi nilisema tu Kiutani ila Tutavaa Jezi tutakazotakiwa Kuvaa...
Katika Uzi huu Kazi yangu Kubwa GENTAMYCINE ni kusoma tu Comments zenu huku nikimuandaa Ng'ombe aliyenona apelekwe haraka Mbarali Mkoani Mbeya ili Wachezaji wa Ihefu FC waweze Kumla ila Mshambuliaji Lenny Kisu apewe Maini huku Beki Juma Nyosso apewe Maini pamoja na Figo kwa Kumuweka Mtetemaji...
✅ 1-0 v Simba
✅ 1-0 v Ihefu
✅ 2-1 v Dodoma Jiji
✅ 4-3 v Mtibwa Sugar
✅ 1-0 v Ruvu Shooting
✅ 1-0 v Namungo
✅ 3-2 v Coastal
Unadhani chini ya Kocha Kali Ongala kwa mwendo huu Azam FC wana nafasi ya kutwaa ubingwa msimu huu wa 2022/23 au ushindi wao ni wa ‘mama nibebe’?
Nimeona leo mjadala umekuwa mkubwa juu ya refa kuongeza dk nyingi kwenye mechi ya Azam na coast union.
Nafikiri mwamuzi alikuwa sahihi kwa 100% sababu hizi timu za mikoani zimekuwa na katabia kakijinga sana kupoteza muda pindi wanapokuwa wanaongoza au wanapoona matokeo yako upande wao bila...
Najua mlikuwa mnalificha hili ila kwa wadadisi na wachunguzi wabobezi wa masuala mtambuka nchini Tanzania, Rwanda na Uganda, akina GENTAMYCINE tuna taarifa za uhakika kuwa wote Simba SC na Azam FC mlikuwa mnavizia sana na hata kuombea Yanga SC jana ifungwe na Club Africaine ili Kocha Nabi...
Habari za mchana wana JF,
Nimekuwa shabiki huru katika soka la bongo kwa muda mrefu, sasa rasmi kwa akili zangu timamu nimeamua niwape sapoti na kuishabikia Azam Fc kemwa moyo mmoja, iwe shida na raha katika hali zote zile mimi Azam rasmi. Sababu kuu zilizopelekea kuchukua maaamuzi haya ni;
1...
Ni bandika bandua leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa, pale miamba ya soka Afrika mnyama mkali mwituni wekundu wa msimbazi, watakapo karibishwa na matajiri wa Azam FC katika kuwania pointi 3 muhimu ili kujiweka vizuri kwenye msimamo wa ligi kuu!
Mara baada ya mnyama kutoshana nguvu na mtani...
1. Kuna wapigaji wengi.
2. Kuna wanafiki wengi.
3. Kuna Uyanga na Usimba mwingi.
4. Kuna usaliti na kutumika kuanzia kwa viongozi na wachezaji.
5. Majungu mengi kutoka kwa wachezaji wazawa na mafaza.
6. Ushirikina na kurogana sana.
7. Mchoyo wa kuhonga kwa waamuzi (marefa) ambao wanahongwa...
T A A R I F A
Bodi ya Azam FC imesitisha mkataba na Denis Lavagne, kama kocha mkuu, kuanzia leo, Oktoba 22, 2022.
Uamuzi huo ni kwa maslahi mapana ya klabu na mustakabali wa mradi wake wa maendeleo ya kiufundi.
Denis Jean Lavagne, raia wa Ufaransa, alijiunga na Azam FC Septemba 7 mwaka huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.