Wakuu,
Azam Media wamekua wakijitangaza kua wameshusha Bei ya vifurushi vyao kuanzia leo.
Asubuhi hii nimelipia kifurushi Cha 20,000/- ambayo ndio iliyokua 23,000/- lakin nimekuta channels kadhaa hazionyeshi. Baby TV, ESPN1, ESPN2, MBC4, Nickoledion Zote hizi nilikua nazipata kwenye kifurushi...