Mohammad Babar Azam (Urdu: محمد بابر اعظم; born 15 October,1994) is a Pakistani cricketer who captains the Pakistan national team in limited overs cricket and is a top-order batsman.
Azam tv nawapongeza kwa kuandaa mapambano ya boxing na kusababisha mchezo huo kuwa na mashabiki wengi
Ushauri wangu ni kuwa mnatakiwa muwe na kipindi ambacho kinatoa elimu ya boxing kwani watazamaji wenu wengi hawana uelewa na mchezo huu.
Wanadhani ushindi ni mpaka mtu apigwe na kuanguka chini...
Tunawashukuru sana Azam TV kwa kufufua mchezo wa ngumi , watu wameukubali na wanaunga mkono , lakini jaribuni kuwa wabunifu , haiwezekani mabondia wale wale wapigane mara zote .
Mabondia hawa hata kama hapa mnawaona wazuri kwa ajili ya promotion za biashara zenu , lakini hawana uwezo wa...
Bilionea Mohamed Dewji, wewe ni mdau mkubwa wa soka na unaufahamu vizuri sana. Najaribu kukushawishi uanzishe king'amuzi au decorder itakayoitwa mo sattelite tv. Pamoja na vipindi vingine uanzishe channel za soka za kuonyesha live mechi za ligu kuu ya bara. Ukiritimba wa azam na TFF ni hatari...
Hongereni sana kwa hiki kipindi
Waandaaji na Washiriki..
Mi nimekipenda
Tulizoea kuona mashindano ya hivi kwa nchi za nje tu.
...
Maoni;
1. Ile meza ya kuonjea iwe kubwa zaidi
Ili Maybe kila chef judge apate plate yake for tasting kwa nafasi
2. Na serving dishes standard iwe plates kubwa zaidi...
Habari ni kwamba mlikataa kulipwa hela sawa na utopolo (hapo nawaunga mkono kabisaaa) lakini milioni 200 kwa mwezi ni nyingi sana inaweza kutumika hata kuongeza mishahara ya wachezaji na technical benchi au hata kuanza kuelekezwa kujenga majukwaa uwanjani kule Bunju.
sababu ya pili ni kwamba...
Kwa yeyote anaefaham mantiki ya azam kulazimisha offer ya miezi 3 huku ukiilipia pale unaponunua king'amuzi.
Zamani nadhani kwa sehemu nyingi vingamuzi vilikua vyauzwa kwa bei isiyozidi Tsh.150,000 lakini saivi ving'amuzi vyenu vyauzwa mpaka 250,000 huko si kuwaumiza wananchi na wateja wenu...
Habar wadau wa michezo,
Baada ya kelele nyingi za muda mrefu kua Tanzania marefa wetu Hua wanaboronga mechi kutokana na kufanya maamuzi ambayo yanaleta utata nimeona ni Bora wawawekee waamuzi wetu screen ndogo ambayo inakua imeonganishwa moja kwa moja na kifurush cha Azam ili kama linatokea...
TFF na AZAM TV zimeingia mkataba wa kudhamini ligi ya soka Tanzania Bara bila ya kutangaza Tenda na Pia hakuna mikataba mirefu kama huubwa miaka kumi.Huu ni ukiukwaji wa utaratibu wa kuonyesha mechi za mpira wa miguu nchini.
Duniani kote Tenda zinatangazwa na kila kampuni inatoa ofa lakini...
Sasa hivi naangalia Azam Sports 1 HD pana mechi wameweka kati ya Azam FC na Yanga SC, utaitambua tu kuwa ni marejeo ukisoma kwa chini kushoto neno ' HIGHLIGHTS '.
Mechi hii huwezi itambua ni ya lini ila imechezwa uwanja wa Chamanzi, nawashauri wawe wanaweka tarehe mechi za marejeo siku...
AZAM TV KARUME DAY: ABEID AMANI KARUME - "THE MASTERMIND" MAHOJIANO NA IRENE KILENGA 2015
Picha hiyo hapo chini ya Mzee Abeid Amani Karume ilipigwa Dar es Salaam mwaka 1948.
Kushoto waliokaa ni Hassan Machakaomo, Selemani Mwinyimadi Chambuso, Mohamed ''Mabosti'' Sultan.
Waliokaa kwenye viti...
Kwanza hongereni sana kwa kuleta revolution ya tv hapa bongo. Soka mmefanikiwa, bongo movies pia naona mnakomaa na ndondi pia mmeamua kutuletea.
Ila dah ndugu zangu kilichotokea Dodoma kwa Dulla Mbabe ni uhuni. Ni kama vile mnashirikiana na matapeli kuokota walevi mnawaleta hapa waje wapigane...
Azam TV japo wanatoa huduma nzuri za TV, lakini linapokuja suala la customer service kwa mtazamo wangu na uzoefu wa kuhudumiwa, ndo kampuni inayoongoza kuwa na huduma mbovu kuliko wote!
Kwanza hawaanzi kupokea simu wala kutatua matatizo ya wateja wao mpaka ifike saa 2 asubuhi katika siku za...
Kutokana na pira biriani kuku linalooneshwa na Mnyama pamoja na usajili wa viwango vya SGR,
Tunaomba uongozi wa Azam media uhamishie mechi zetu ktk channel ya ESPN1 au ESPN2
Kuendelea kurusha mechi zetu ktk channel za Azam Sports ambapo Uto a.k.a chura nae anarushwa humo humo ni kutoitendea...
Ilikuwa dakika ya 8 tu ila mechi imeisha statistics zenu zinasema simba haina shot on target au zinahesabiwaje hizo shots?
Anyway hongerenei deportivo la utopolo maana tangu 2007 hilo kombe hamlijui linafananaje,hongera pia matola kwa kuweza kucheza pira gwaride hakika ilkuwa ni mechi ya ajabu...
I love this channel, hasa mapishi na real estate including interior design ya nyumba. Toka mwaka uanze Azam wameiondoa. Wameleta "Real Time" ambayo kusema ukweli lo! Kulikoni Azam TV?
Katika siku za hivi karibuni kumetokea wachambuzi wengi katika soka letu la Tanzania, ambapo wengi wao wanatumia forum ya Azam Tv katika kujitafutia umaarufu wakati katika jamii ni watu ambao wanafadhahisha sana jamii katika maeneo yao ya kila siku , ushauri unapikelewa au kukataliwa, angalieni...
Ni watu wasiokuwa na sh. 28,000 kwa pamoja (maskini) kwa mwezi ambao watalazimika kulipia vifurushi vya wiki kama vile sh. 9,000 ili waweze kuangalia channels pendwa kwao.
Wiki moja ina siku 7 na mwezi mmoja una siku 30. Hivyo basi anaelipa 28,000 kupata kifurushi cha mwezi (tajiri) anatumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.