azam tv

Mohammad Babar Azam (Urdu: محمد بابر اعظم‎; born 15 October,1994) is a Pakistani cricketer who captains the Pakistan national team in limited overs cricket and is a top-order batsman.

View More On Wikipedia.org
  1. Hismastersvoice

    TCRA acheni kushiriki kwenye wizi wa vifurushi unaofanywa na AZAM TV

    Azam Tv imekua na tabia ya kutuibia wateja wa vifurushi vya Azam Tv, mteja ananunua kifurushi cha bei kadhaa na chaneli kadhaa kwenye kifurushi husika lakini kabla haujamaliza muda wa kifurushi husika Azam Tv wananyofoa baadhi ya chaneli ulizolipia, huu ni wizi na ni sawa na mwenye basi...
  2. chichiboy1

    Marekebisho ya visimbuzi vya Azam

    Kisimbuzi cha Azam kinajizima na kuwaka kinapotaka, ni wakala gani maeneo ya Chamazi anayerekebisha hizi vitu manake nilienda kwenye duka la wakala nilipokinunua (nilinunua mwezi September) fundi wao akasema nitoe elfu 25 abadili LNB na HDMI cable? Naona matangazo yanasema marekebisho ni bure...
  3. Mohamed Said

    Morning Trumpet Azam tv 9 December: Mohamed Said na historia ya Uhuru wa Tanganyika - 1

  4. Mohamed Said

    Morning Trumpet Azam TV 9 December: Mohamed Said na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MORNING TRUMPET AZAM TV KESHO 9 DECEMBER: MOHAMED SAID NA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Kesho In Shaa Allah asubuhi saa moja na nusu nimelikwa kuzungumza kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika. Picha hiyo ni kipindi changu cha kwanza nilichofanya katika Morning Trumpet mwaka wa 2015.
  5. Congo

    TFF tumieni Azam TV kama VAR

    Niwaombe sana TFF kutumia Azam TV kama VAR. Itasaidia sana kuondoa uamuzi wa kijinga kama uliofanyika leo 26.11.2022 kati ya Yanga na Mbeya City. Mtakuwa.mmefanya mapinduzi makubwa sana kwenye mpira wa Tanzania.
  6. HIMARS

    Azam TV haina uwezo wa kifedha kuonesha Kombe la Dunia?

    Je, Azam TV hawana uwezo wa kifedha kuweza shinda kandarasi ya kuonesha Kombe la Dunia?
  7. GENTAMYCINE

    Azam TV Mechi ya Timu yangu pendwa Club Africaine na Yanga Mihogo FC ni saa ngapi?

    Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia kuwakilishwa na klabu moja tu kubwa kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ya...
  8. N

    Azam kuonesha mechi ya Yanga na Al Hilal

    Naam, baada ya vibonde Al Hilal kunusurika kupigwa kama ngoma uwanja wa Mkapa silaha yao kubwa iliyokuwa imebaki ni kutaka kuchezea mechi gizani, yaani isonyeshwe kwenye TV. Lakini Azam TV wamefanikiwa kupangua baada ya kuwashawishi ma bosi wa Al Hilal kuonyesha mechi hiyo. Ikumbukwe kwamba...
  9. N

    Azam TV vipi huko, hii App mpya ya Yanga SC haijaathiri mkataba wenu?

    App ilikuwepo miaka 4 naona imefufuliwa , vipi huko wajameni haijaathiri mkataba wenu wazee wa azam tv? si mlipewa exclusive kurusha mambo yao au inakuwaje? Poleni sana ni suala la muda hata you tube account yao wataifanya active tena, palepale mliposhindwana na simba jamaa wakajifanya wapole...
  10. Mohamed Said

    Azam TV Kipindi Maalum Cha Malkia Elizabeth (1926 - 2022) Jaffar Mponda na Mohamed Said Leo Usiku Saa Tatu

    ZUMARI TV AZAM: KIPINDI MAALUM CHA MALKIA ELIZABETH (1926 - 2022) JAFFAR MPONDA NA MOHAMED SAID LEO USIKU SAA TATU Picha ya kwanza Malkia Elizabeth 1953. Picha ya Pili barua ya viongozi wa TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth wakimpongeza kwa kuwatawazwa kuwa malkia 1953. Mwandishi kulia akiwa nje...
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    Anaefanya kazi Azam tv sehemu ya ku-reply ajithathimini.

    Aisee Hutu jamaa sidhani Kama anajua kazi yake,sehemu nyingi zenye utata harudii/hazirudii inaweza chukua hata dakika 5 akarudia kidogo tu, Tunaomba ajirekebishe na awe sharp kwenye matukio kufanya reply..
  12. Malle_Hanzi

    SoC02 Azam Tv ni Funzo tosha kwa Wajasiliamali na Wafanyabiashara wanaotaka kuanzisha biashara

    Na Malle Hanzi _______ Mwanzoni mwa miaka ya kuanzia 2010 kuja 2020, Tanzania ilibadili mfumo wa urushaji wa matangazo ya vituo vya Luninga kutoka Analojia kwenda Dijitali. Sababu kuu ya kuhama kutoka Analojia na kwenda mfumo wa Dijitali ni upungufu wa masafa (frequency) uliotokea kuanzia...
  13. M

    SoC02 Ufundishwaji wa Somo la Stadi za Kazi kwa Shule za Msingi nchini Tanzania unavyoweza kuzalisha ajira kwa watakaoshindwa kuendelea na Elimu ya Juu

    Kwa mujibu wa muhtasari wa somo la stadi za kazi kwa wanafunzi ambao umeadaliwa kutokana na mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la 3 hadi la 6 wa mwaka 2016 muhtasari ambao kwa sasa umefutwa, kupitia muhtasari huu mwanafunzi aligemewa kujenga stadi za usafi, mapishi tofauti, ujasiriamali...
  14. Hussein Massanza

    CONFIRMED: Mechi ya Singida Big Stars vs Zanaco FC itarushwa LIVE kupitia Azam TV

    Watu wa Soka, Sisi ni wasikivu. Tumeamua tukio la BIG DAY lirushwe LIVE kupitia @azamtvtz ili wadau wote na mashabiki wetu watakaoshindwa kufika uwanjani, waweze kushuhudia burudani zote popote walipo! Hivyo, matukio yote ya BIG DAY ikiwemo mechi yetu ya kirafiki dhidi ya Zanaco FC itarushwa...
  15. Planett

    Maoni: AzamTVMax Web App

    Ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la JMT, Mimi nikiwa mdau wa huduma za AzamTV kuna jambo ambalo ningependa kushauri kuhusu huduma ya ku stream channel za AzamTV kupitia web app. Najua management ya AzamTV wanajua changamoto ya huduma ya internet hapa kwetu na pia najua kua wanajua...
  16. Teko Modise

    Tunaomba kipindi cha Sports AM cha Azam Tv kianze saa 4:00 asubuhi

    Hiki ni kipindi kizuri sana, tatizo kubwa ni muda wa kuanza kipindi ambapo wengine bado huwa tupo ibadani maana huwa wanaanza saa mbili kamili asubuhi. Kwasisi watu wa zamani, kipindi hiki huwa na Ma-legend wa soka wa zamani huojiwa mubashara studioni na mtaalam Bin Zubery. Tunaomba suala la...
  17. C

    Azam TV fanyeni hivi

    Azam TV nawashauri muweke Channel ya wanaotafsri muvi za Kihindi na kizungu kama akina Dj Mack. Juma Khan mtapata wateja zaidi.
  18. Dong Jin

    Tuangazie tuhuma walizoelekezewa Azam TV na utetezi wao

    Kuna tuhuma imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa azam tv kupitia kipindi chao cha Toonami walirusha katuni yenye maudhui ya hovyo. Azam TV wametoa utetezi kuwa sio ukweli, na ni uzushi ili kuiharibia kwa jamii Sasa kama tuhuma zimepelekwa ka azam TV, kuchunguza kafanya azam TV na...
  19. M

    INAUZWA Azam TV Remote Control inauzwa

    p
  20. JanguKamaJangu

    Interview Rais Samia na Azam TV, azungumzia safari, Urais, Mikopo ya Miradi ya Magufuli, Ripoti ya CAG

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Tido Mhando wa Azam TV, leo Mei 4, 2022 RAIS SAMIA: HAKUNA FUNDI WA URAIS, HAUZOELEKI Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya Urais haizoeleki kwa kuwa kuna mambo mengi. “Sidhani kama kuna mtu anaweza kusema ni fundi katika nafasi ya Urais, labda...
Back
Top Bottom