azindua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MWALLA

    Zimbabwe: Rais Mnangagwa azindua shamba la bangi

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amezindua shamba la bangi kwa ajili ya dawa lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 27. Shamba hilo limewekewa kiwanda cha kisasa cha usindikaji ambacho bangi yake itatumika kama suluhisho la matibabu ya kibaolojia na bidhaa za dawa katika soko la ndani...
  2. R

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma azindua tamasha la majimaji selebuka 2022

    Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mh Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge, ameagiza ushiriki wa wilaya na halmashauri zote za Mkoa Wa Ruvuma kwenye tamasha la Majimaji Selebuka litakalofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 30 July 2022 mjini Songea. Tamasha hili limekua jukwaa kuu la biashara, kutangaza...
  3. Lady Whistledown

    Mwandishi mashuhuri nchini Ghana azindua kituo cha Usalama wa Wanahabari Afrika

    Mwanahabari mpelelezi wa Ghana Anas Aremeyaw Anas amezindua "Whistleblowers and Journalists’ Safety International Centre’ (Kituo cha Kimataifa cha Usalama cha Watoa taarifa na Wanahabari) ili kutoa ulinzi, nyumba salama, huduma za kisheria na utetezi kwa wanahabari na watoa taarifa barani...
  4. L

    Rais Mwinyi azindua tamasha la Sanaa na Utamaduni visiwani Zanzibar

    Rais wa Zanzibar Hussein Ali Mwinyi jana Jumatatu alizindua tamasha la Sanaa na Utamaduni la Afrika lijulikanalo kwa jina la Festac Africa 2022, na kuzitaka serikali za Afrika kuhimiza Sanaa na Utamaduni ndani ya bara hilo. Rais Mwinyi alisema tamasha hilo ambalo limeleta pamoja zaidi ya...
  5. E

    Kufanikisha kutengeneza gari, Kipanya ni shujaa

    Kitendo alichokifanya Masoud Kipanya ni cha kishujaa na kinastahili kupewa pongezi. Tunahitaji vijana wengi kuiga alichokifanya kipanya katika bidhaa mbalimbali zinazozalishwa huko ulimwenguni, wabuni kwa brand zao na kutengeneza. Labda nimshauri Kipanya kuwa gari lake asiliweke makumbusho...
  6. Roving Journalist

    #COVID19 Waziri Ndumbaro azindua Utafiti wa kuongeza Utalii wa ndani Tanzania kipindi cha COVID-19

    Wizara ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Huria, leo tarehe 15 Januari 2022 Jijini Dar Es Salaam, imefanya Uzinduzi wa Utafiti wa Utalii wa ndani na Mchango wa Sekta ya Utalii katika Uchumi wa Nchi kupitia Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano Dhidi ya Uviko-19...
  7. MK254

    Rais Samia azindua kiwanda cha kampuni ya Kenya kule Zanzibar

    Mama endelea kuboresha uhusiano kabla miaka kumi yako kuisha aje mchawi mwenye majungu na kuvuruga yote...... A Kenyan company is setting up a $51.3 million (about Sh115 billion) factory in Zanzibar as it targets to get a pie of the world’s $920 billion textile market. The global textile...
  8. R

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi azindua kiwanda cha Zanzibar Handmade Cosmetics

    RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi Akikata Utepe Kuzindua Kiwanda cha Zanziba Handmade Cosmetics. Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi aliongozana na mke wake 1st Lady Mariam Mwinyi Pamoja na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali, Zanzibar. Rais wa...
  9. Jembe Jembe

    Arusha: Rais Samia azindua kiwanda cha kisasa cha nyama

    Rais Samia Suluhu amezindua kiwanda kikubwa nchini cha kuchakata nyama cha Eliya Food Overseas Ltd, kilichopo wilayani Longido Mkoa Arusha chenye thamani ya Sh bilioni17 na kuahidi kumaliza changamoto ya Maji inayokikabili ifikapo desemba 5, mwaka huu . Akiongea katika uzinduzi huo rais Samia...
Back
Top Bottom