Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Mh Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge, ameagiza ushiriki wa wilaya na halmashauri zote za Mkoa Wa Ruvuma kwenye tamasha la Majimaji Selebuka litakalofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 30 July 2022 mjini Songea. Tamasha hili limekua jukwaa kuu la biashara, kutangaza...