Kocha wa Yanga Moulid Hamdi anasema kuna hati hati kumtumia Stephane Aziz Ki katika Derby ya kesho kutokana na kuwa na maumivu ya nyonga.
"Hii mimi sio dabi yangu ya kwanza kucheza nilishacheza dabi ambayo ina watu zaidi ya laki moja na ishirini uwanjani, nina mchezaji mmoja pekee ambae hayupo...
Kuna watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend.
Wazee wa Ubaya Ubwela wakasema aha kumbe tunaenda hivi? Kuna tukio likatokea huko Makanjiro sijui au...
Wachezaji wa klabu ya Yanga wakiwa wameambatana na Afisa Habari wao Ali Kamwe kwenye harusi ya Mchezaji Aziz Ki na Hamisa Mobetto.
Soma, Pia: VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto
Aziz ki na Hamisa Mobetto wanafanya sherehe ya ndoa yao (Harusi) hii leo
Kweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurudi kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa
Aziz Ki ameanza mchakato wa kuomba uraia huenda akawa kocha hapohapo uto baada ya kustaafu mpira na kufirisika
Wakuu
Baada ya kuwa busy na shughuli ya ndoa tangu Ijumaa baada ya mechi na KMC, Aziz Ki ameanza kwenye kikosi cha Yanga leo kinachoshuka Dimbani saa kumi jioni dhidi ya Singida Big Stars.
Swali la kujiuliza ni muda gani amepata maandalizi kamilifu? Je, Kocha Miloud Hamdi hawaamini wachezaji...
Wakuu,
Huyu mwenzetu asijekuwa amepigwa juju hajielewi, maana kwenye video zote namuona akiwa kama zoba fulani hivi, sio mwonekano wa Aziz Ki tuliemzoea, sura yake inaonesha uzoba grade A kabisa kwenye hili tukio zima.
Single mazas wengine na wanawake mliovuka 30s nendeni kwa hamisa awaambie...
Tanzania kuna wanaume zaidi ya milioni 30, kati ya hao tufanye wenye sifa za kuoa ni milioni moja.
Hao wote hawqjamuona Hamisa kama anafaa kuolewa bali kuzalishwa tu .
Hatumuonei wivu Aziz ki bali tunamuonea huruma
Kuna watu wanatafuta negatives TU kwenye maisha ya wengine. Aziz Ki ni mtu mzima, anahitaji kibali cha nani kumuoa mke yupi?.
Ni mtanzania yupi anajua taratibu za kabila la Aziz Ki kwenye kuoa zaidi ya Aziz Ki mwenyewe?
Kuna watu wanatamani kutia doa ndoa ya Aziz Ki kana kwamba wameombwa...
Wakuu
Fundi wa ball ashavuta jiko
Aziz Ki amekamilisha kiapo cha ndoa msikitini na rasmi ni mume wa Hamisa Mobetto.
Soma, Pia
Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30
VIDEO: Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto
Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya
1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize,
Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe.
Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike.
Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
I am so proud of you Hamisa.
This girl need to be studied.
Kasoma Kayumba kuanzia chekechea hadi form four ( Kaishia Form 4 mwaka 2010 Tandika Secondary School)
Lakini anafanya mambo makubwa kuliko wenzake ambao hawakusoma Kayumba na Wana Degree na Masters.
Wazazi tunao somesha watoto wetu...
Nyota wa Klabu ya Yanga, Stephane Aziz Ki amekamilisha utaratibu wa mahari kwa ajili ya kumuoa Hamisa Mobetto, Aziz Ki ametoa jumla ya Ngo'mbe 30 ikiwa kama sehemu tu ya mahitaji mengine ambayo familia ya Hamisa Mobetto ilihitaji kama Mahari ya kumuoza binti yao.
Tukio hilo limefanyika katika...
Aziz Ki amekuwa na mchango mkubwa ndani ya Yanga. Ila kwa sasa imetosha aachwe aende akatafute timu sehemu nyingine anayoona watampa attention kama anayopewa Tanzania.
Ukimtazama uwanjani ni kama anacheza ilimrad kusogeza siku hana ile njaa tunayoijua, ni kama ameshachoka ila hana namna...
Wakuu
Kama mnavyojua jambo lao ni leo (MAHARI DAY 15TH FEB 2025)
Soma: Aziz Ki aachia video akimvisha pete Hamisa Mobetto na ujumbe mzito wa siku ya Valentine
Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe ameweka wazi kuwa Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Shilingi Milioni 30
Mchezaji wa soka maarufu, Aziz Ki, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu mapenzi yake na mpenzi wake, Hamisa Mobetto. Akitumia mtandao wa kijamii wa Instagram, Aziz Ki ameandika ujumbe wa kipekee kwa Mobetto, akimtakia Siku ya Valentine na kuelezea jinsi alivyojisikia kuhusu uhusiano wao saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.