Kama mdau mkubwa wa soka Tanzania na mwanafamilia nimepewa na kupokea mwaliko katika harusi ya Hamisa Mobetto na MVP wa NBC Premiere League 2023-24 Stephanie Aziz Ki.
Harusi hii itafanyika ukumbi wa The SuperDome.
Mwaka huu mafanikio yoyote ya mpira pale Uto tusahau ila harusi tunayo 🤣😂...
Zinarudi zote na zinaweza kuzidi,
Kocha mpya wa Yanga itamchukua muda mrefu kuingiza kikosi kwenye mfumo wake, Motivation ipo chini, wachezaji wamechanganyikiwa kubadilishwa makocha kila leo, Mindset za wachezaji wanajua kocha mpya anatimuliwa muda wowote.
Unahitaji akili za kawaida kabisa...
Mwigizaji, Hamisa Mobetto, amtambulisha mpenzi wake Stephane Aziz Ki, mchezaji wa soka wa klabu ya Yanga SC. Mobetto ameachia picha na video akiwa pamoja na MVP wa Ligi ya NBC msimu wa 2023/24 wakiwa pamoja wakila maisha.
Soma:
Hamisa Mobetto yupo jukwaa bwana akimtazama Aziz Ki dhidi ya...
Ule utovu wa nidhamu umeendelea kutamalaki kupelekea wachezaji waaandamizi Aziz Ki na Mwamnyeto kuchapana makonde mbele ya kocha mpya, inasemekana Mwamnyeto anamtuhumu Aziz Ki kupeleka majungu kwa viongozi na kocha mpya kuhusu baadhi ya wachezaji kuwa hawafai kupata namba.
Hizo habari...
Tumemlea sana Aziz ki, hachezi mpira muda wote anatoa maelekezo na anakosa nafasi za wazi. Dube ni takataka ambayo haistahili kabisa kuwepo Yanga muda wowote.
Kama inawezekana wavunjiwe mikataba Leo hii.
Kocha tumpe muda amejaribu kadri ya uwezo wake mdogo ila ameangushwa na ujinga wa Aziz ki...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane !
Tarehe 26 ni siku ambayo timu yangu ya Yanga unakwenda Kucheza mechi ya kwanza ya michuano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya Al Hilal Omdurman,siku hii naelewa kabisa Yanga atafungwa si chini ya Goli 3 na ndiyo siku ambayo kocha Gamondi anaenda kutimuliwa...
Wanayanga sasa andaeni furaha... Na kububujikwa na machozi ya furaha. Mtafurahi nyie.... We acheni tu.
Muda huu tunamalizia kumtengeneza Dube na mwenzie Aziz Ki. Kisha na Chama naye kesho zamu yake na mwenzie Baleke. Hawa jamaa watatupia magoli mpaka amshangae. Lazima wafungaji bora wawili...
Staa wa filamu na mfanyabiashara Hamisa Mobetto yupo Uwanja wa Azam Complex, aki-check mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Tabora United kuanzia ulioanza saa 12:00 Jioni.
Soma Pia: Yanga SC 0 - 0 Tabora United | NBC Premier League | Azam Complex | November 7,02
Picha: Mwanaspoti
Wakati mwingine nawaza kuwa OKW BOBAN SUNZU alikuwa sahihi kusema kiuhasibu Aziz Ki ni hasara Kwa Yanga na siyo faida.
Lakini hapa chini naweka Clip mbili kuonesha kuwa Aziz Ki hana sifa za kuitwa mchezaji Profesheno.
Kwenye hii Clip ya kwanza inaonekana Ki anaongea na kocha msaidizi wa...
Msimu uliopita, alikuwa muhimu kwa Young Africans kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF ya TotalEnergies, lakini gwiji wa Yanga, Stephane Aziz Ki anatazamia kuboresha matokeo hayo katika kampeni hii.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Burkinabe alikuwa mmoja wa wachezaji bora kwa wababe...
Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC Aziz Ki amechukua tuzo ya mchezaji bora wa msimu wa 2023/2024.
Tuzo hii kwa Aziz Ki inakuwa tuzo ya tatu usiku wa leo, akiwa amechukua tuzo ya Kiungo bora wa msimu, Mfungaji bora wa msimu na pia ameingia kwenye kikosi bora cha msimu.
Aziz Ki alikuwa anawania...
Kiungo wa Yanga Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo yake ya pili usiku wa leo ambapo amebeba tuzo wa kiungo bora wa msimu
Aziz ki amewashinda wapizani wake wa karibu Feisal Salumu na Kipre Junior wote wachezaji wa Azam FC
Mfungaji bora
Kiungo bora Ligi kuu
Soma zaidi: Leo ndiyo usiku wa tuzo za...
Alhamis hii, Agosti Mosi katika ukumbi wa Super Dome, Masaki utakuwa usiku wa tuzo za TFF kwa wanasoka waliofanya vizuri msimu wa 2023/2024
ushindani mkubwa upo kwa Aziz Ki wa Yanga sc na Feisal wa Azam fc, maana hawa wachezaji wawili wameonyesha kiwango cha juu sana msimu uliopita.
Wote...
Inahitaji jicho la kiinteligensia kujua baadhi ya mambo yanayoendelea nchi hii.
Watu wameshangaa inakuwaje Aziz Ki akatae zaidi ya milioni 90 kwa mwezi, tofauti labda ya zaidi ya milioni 60 ya pesa anayolipwa sasa. Likatengenezwa picha eti mlimbwende Hamisa Mobeto ndiyo kama kamshawishi abaki...
Kuna video na picha zinatrend mitandaoni zikionesha Mchezaji wa Yanga na Hamisa Mabeto wakiwa katika dimbwi zito la mapenzi katika uwanja wa mazoezi
Licha ya ofa kubwa kutolewa kwa Aziz Ki bado akaona asingemuacha Mabeto mbali ya mboni ya macho yake
Sifa nyiiingi kwa injinia kumbe sivyo ,sifa...
Kwa wasio fahamu Msukuma Hamisa Hassan Mobetto, alizaliwa alizaliwa Mwanza, Tanzania, Desemba 10, 1994. Ni mwimbaji, mwigizaji, mfanyabiashara, na mwanamitindo
Kumbuka Hamisa ni rafiki Mkubwa wa Aziz Ki japo yanga wanadai ni shemeji yao, mimi sina hizo taarifa. Ninachojua Hamisa ndo alipiga...
Bado tupo nae sana mwamba huyu wale mliokuwa mnasema anaondoka mwamba haondoki na ataendelea kuwapiga mashuti makali sana 😂😁. Mwamba kabakia Yanga SC Cc ephen_
Is here to Stay 🔥 🟡 🟢
Baaasi.
Wananchi Ubingwa wa Africa tunao 😂✍️
Pia soma
Aziz Ki atua Dar kimafia kumalizana na Yanga, leo...
Aziz Ki, amewasili nchini alfajiri ya leo Julai 10, 2024 akitokea mapumzikoni kwao Burkina Faso kwa Ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia lakini akatoka kimkakati uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere terminal 3.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.