aziz ki

Stephane Aziz Ki (born 6 March 1996) is a professional footballer who plays as a midfielder for the Burkina Faso national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    APR Rwanda wanamtaka Aziz Ki wa 1 million usd ($ 1million)

    Wiki iliyopita, APR FC🇷🇼 iliuliza kiasi cha fedha ambacho Yanga SC🇹🇿 wanaweza kupokea kwa ajili ya kumuachilia Stephane Aziz Ki🇧🇫 anayecheza eneo la kati, wakajibu kwamba watapokea si chini ya dola milioni moja ($1M) , ambayo ni zaidi ya 1,000 .000.000 Frw (Uliza kwa sarafu ya Rwanda) So far...
  2. Dr Matola PhD

    Aziz Ki ameahidi kumzawadia goli Anthony Mavunde katika derby ya Simba na Yanga tarehe 20.

    AZIZ KI: GOLI LANGU LA KWANZA KWENYE MECHI IJAYO NI KWA AJILI YA MH. MAVUNDE Azizi KI Amemuaminisha mjumbe wa baraza la wadhamini Yanga, Anthony Mavunde kuwa goli la mchezo ujao litakuwa kwaajili yake (Mavunde) kwamba mwamba ana uhakika kabisa atafunga DUUUHHH!!! Nyie Hamuogopiiiiii.....???🤣😂🤣😂
  3. J

    Skudu Makudubela: Aziz Ki amekataa ofa ya kujiunga na Mamelodi, alisema ligi ya South Africa imeshuka ubora

    Mchezaji wa Yanga kutoka South Afrika, akihojiwa na waandishi kuhusu Aziz Ki amesema mchezaji huyo alimwambia alikataa ofa ya kujiunga na timu za South Africa sababu kuwa ameona ligi hiyo imeshuka ubora, japo hakuelezea kwa kirefu Looks like Stephane Aziz Ki could reject PSL clubs amid reported...
  4. Mhafidhina07

    Mpira ni mchezo wa hisia,leo nimemuona Aziz KI kwenye video chozi limenitoka.

    wadau lengo nimejishangaa nimejikuta namwaga chozi baada ya kumuona azizi Ki alipokuwa anatoka uwanjani.
  5. MAWEED

    Tuseme Ukweli kuhusu Stephanie Aziz Ki

    Stephanie Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana na mwenye uwezo mkubwa na umuhimu wake ni mkubwa ndani ya yanga sc, lakini hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro; Aziz Ki ana ubinafsi flani hivi uwanjani wakati akiwa na mpira. Aziz Ki ni mzito sana kutoa pass sahihi kwa wakati sahihi kwa wenzie. Aziz...
  6. Teko Modise

    Gamondi: Sijawaona Aziz Ki na Diarra kambini mpaka sasa

    Stephen Aziz Ki na Djigui Diarra bado sijawaona kambini na walipaswa kuwa wamerejea kutoka kwenye majukumu yao ya timu zao za taifa” - Kocha Miguel Gamondi, Yanga Afrika. Yapi maoni yako??
  7. LIKUD

    Azizi Ki anavyomu-expose Mayele

    Aziz Ki sio striker ni kiungo ana goli kumi na tatu hadi muda huu na ligi ndo kwanza bado ina mechi za kutosha. Kama ataendelea na consistency hii ( of which I blv he will) anaweza kumaliza na goli zaidi ya 20. Mayele misimu yake yote miwili hakuwahi kufikisha goli 20 aliishia goli kumi na...
  8. Hidden Diamond

    Battle: Pacome Zouzoua vs Aziz Ki nani ni engine ya Yanga?

    Japokuwa wote ni wachezaji wa Yanga na wote wanafanya kazi nzuri katika klabu yao ila wewe kama shabiki wa Yanga unaona nani asipokuwa uwanjani timu ina struggle sana kupata matokeo. Karibuni kwa mawazo wana JF.
  9. D

    AZIZ KI kaongeza Mkataba yanga hadi 2025

    aziz ki, has extended his contract with tanzania giant, young Africans till 2025. this has been reported from people operating within young Africans sc, more info, coming soon. My comment : Aziz Ki ni muhimu ila ni mchezaji wa ovyo sana.. wastefull player. sema replacement ni nani?
  10. LIKUD

    Kwa kasi ya Aziz Ki muda si mrefu Mayele anaenda kuwa exposed kama Tyson aliyokuwa exposed na Evander mwaka 96

    Kabla hajakutana na Evander kila mtu alikuwa anasema Tyson is undisputable. Siku aliyo kutana na Evander akawa ndio ingawa siku yake ya kuwa exposed to the world kwamba , kumbe Tyson ni bondia wa kawaida tu. Usiku you instead ya Tyson kuwa bully kama alivyo zoea yeye ndio akawa bullied...
  11. William Mshumbusi

    Sema Ustaarabu umezidi mno ila Mechi ya Yanga na Al Ahly Aziz Ki anakesi ya kujibu

    Kilichotokea kwake kwa wanamichezo ni rahisi tu kusema hakuwa mchezoni. Ila kabla ya Gemu Aziz ki alionekana akiongea na wachezaji wa Al Ahly weusi na kufurahi mno. Wakagonga wakaingia uwanjani. Wanamichezo tunasema fair play. Kwenye gemu sasa. Hakuonesha madhara kabisa. Hata sehemu za...
  12. Dr Matola PhD

    Hivi Simba mnaona kinachoendelea Yanga? Sasa mumuogope sana Aziz Ki, zile combination zake za ASEC zipo Avic town

    Hivi Simba mnajuwa kinachoendelea Yanga? Picha inaweza kuongea zaidi, kipande cha cream ya Asec mimosa Kipo Yanga. Wanaojuwa mpira kuna kitu mtakigunduwa hapa maana halisi ya kusajili na kukurupuka. Set ya Wacongo ililipa, je set ya Asec Mimosa tutalajie nini? Tukutane kesho kwa Mkapa Lupaso...
  13. The Boss

    Usajili wa Aziz Ki umeleta hasara kuliko faida?

    Ukitazama Kwa jicho la tatu utagundua kama sio kumleta Aziz Ki na kumlipa zaidi ya milioni 25 Kwa mwezi pengine Feisal asingeondoka Yanga na kama Feisal asingeondoka na kwenda Azam kulipwa hela nyingi pengine Chama Leo asingekuwa anadai hela zaidi. Naona kila mchezaji sasa anaangalia mbona Aziz...
  14. Unasemeje

    Fiston Mayele, Aziz Ki, Clatous Chama: Samahani Yanga Chukueni Makombe Yote

    Mimi kama shabiki kindaki ndani wa Mo 29, nimekubali yaishe, mwaka huu tunapigwa tena. Hasira zangu ntamalizia kwa Ahmed Ally😥 Tangu aingie anatujaza matumaini hewa tu, boss nayeye amechoka na anasema atakata tamaa soon, imefika wakati wa kujitafakari.
  15. Mwande na Mndewa

    USM Alger 2-1 YANGA; Morrison alitakiwa aingie mapema baada ya Aziz Ki kushindwa mchezo

    MORRISON ALITAKIWA KUINGIA MAPEMA BAADA YA AZIZ KI KUSHINDWA MCHEZO. Leo Jioni 18:30hrs 28/05/2023 Mzee wa kuzama katikati ya msitu wa mabeki,Mzee wa kugima kwenye utelezi,akianguka anainuka hadi aone mpira upo kambani,katoa pasi nzuri iliyomkuta Mudathir aliyemtengea Mayele aliyeweka...
  16. S

    Aziz Ki Kashinda Tuzo Mchezaji Bora wa Mwezi April

    Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga ya Dares Salaam, Stephane Aziz Ki amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu ya NBC huku Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Abdallah Mohammed, akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo. Kikao cha Kamati ya Tuzo za TFF kilichokutana Dares Salaam...
  17. S

    Takwimu Aziz Ki Vs Chama kuelekea mwisho wa ligi

    Statistics Stephen Aziz Ki Mechi 21 Dakika 1342 Magoli 9 Pasi za goli 4 CLatous Chama Mechi 23 Dakika 1836 Magoli 3 Pasi za Magori 14 Clatous Chama Yupi Yupo kwenye kiwango kwa sasa? CHAMBUA
  18. kavulata

    Shida ya Aziz Ki ni nguvu nyingi za miguu

    Nguvu nyingi za miguu alizonazo Aziz zinamsumbua sana katika kukadiria kupiga mpira kutoa pasi na hata kulenga lango, yaani mpira unakwenda kasi mno, unaenda mbali au unapaa juu ya lango hata kama akiugusa kidogo tu. Hata yeye anashangaa kwanini mpira hauendi pale alipoukusudia. Yeye anaona...
  19. William Mshumbusi

    Yanga wanapambana kumtumia Feitoto kulipa hasara walivyotumia kumnunua Aziz Ki

    Inasemekana Yanga wanataka kumuuza feitoto thamani ya pesa walizotumia kumnunua Aziz ki. Yani dola 200,000+ ambayo Ni karibu m 500. Sasa Cha kujiuliza Sasa 1. Je Kama thamani ya feitoto na Aziz ki Ni moja kwanini Aziz ki alipwe m10+ uku fei akipewa robo ya mshahara wake Je watafanikiwaa
  20. Christopher Wallace

    Kanoute na Aziz Ki nani zaidi?

    Chama yupo kwenye daraja la pekee yake, ni dhambi kumfananisha na Aziz Ki. Sasa nimeona ni bora tumlinganishe na Mzee wa ICC Kanoute, bila kujali maeneo yao wanayocheza, tuangalie mchango wao kwenye timu zao. Piga kura yako hapa, andika jina la mchezaji unayeona ni bora zaidi ya mwenzake...
Back
Top Bottom