Kuna ubishani mwingine huwa nauita wa kijinga, na huwa naishia kucheka tu. Tangu mwanzo niliamini muda utaongea huko tuendako nani ni mkali haswaa; Stephano Aziz-Ki au Chama?
Huu ubishani wa kipuuzi ni sawa na Ile wa Messi na Ronaldo tu. Yaani Chama mwenye kipaji chake na akili ya soka...
NILIMWONA Stephane Aziz Ki katika pambano la Yanga dhidi ya Real Bamako wiki iliyopita.
Alitolewa wakati wa mapumziko na hakuna shabiki wa Yanga ambaye alishangaa au kuchukia. Huenda Aziz Ki alikuwa mchezaji mbovu kuliko wote wa Yanga jioni ile.
Nasikia alichukia kutolewa. Sijui alichukia...
Ana bao 4 na 'assist' 3, halafu ukiangalia kwa jicho la tatu msimu ndiyo kwanza unaanza. Tuliposema Aziz Ki ni bora kuliko Chama watu walibisha sasa, mpira ni takwimu.
Na takwimu za Azizi Ki ndiyo hizi, jamaa siyo kwamba tu anafunga na kutoa 'assist' ila anafunga na kutoa 'assist' kwenye...
Aziz na Chama wote wamefungiwa na TFF kukosa mechi 3 kwa kosa la ulozi kiwanjani.
Hata hivyo, Yanga ilikuwa inafanya vizuri uwanjani hata kabla ya ujio wa Aziz Ki lakini Simba ilikuwa haifanyi vizuri kabla ya ujio wa Clatous Chama. Hivyo ni dhahiri kuwa Yanga haitatetereka kuliko Simba kwenye...
Huu ndiyo ukweli, mpira wa Asec Memosa ni mpira wa kasi, siyo wa taratibu. Na wachezaji wengi wa Afrika Magharibi wanacheza mpira wa kasi. Timu pekee kwa Tanzania kwa sasa inayocheza mpira wa kitaalamu na wenye ubunifu ni Simba SC. Hivyo usahili wa Ki hapo Yanga haujaleta matokeo kulingana na...
Simba walipoona wamepigwa walitumia mbinu za kivita kumpa 'frustrations' yule Dejan mpaka yeye mwenyewe akasepa bila kuiingiza timu gharama.
Sasa Yanga kwa kule kupigwa 500m za usajili wasikubali kuendelea kupigwa 20m za mshahara. Jamaa anarukaruka tu uwanjani. Anzeni kazi hapo angalau muokoe...
Watanzania ifike wakati tuukubali ukweli, hatuna timu ya Taifa ya kushindana na wenzentu mpaka tufikie viwango kama hivi vya Burkinafaso, yani ukicheza ligi ya ndani sahau kuitwa timu ya Taifa, labda usubiri Chan.
.... Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga SC Aziz Ki (26) tayari ameanza mazoezi...
Naona stephane Aziz ki taratibu anaanza kuirudisha confidence yake na anaanza kuelewana na wenzake, anapofunga goli inazidi kumjengea hali ya kujiamini na utulivu.
Kitu kinachomsumbua kwa sasa ni presha kutoka nje ya uwanja ukizingatia usajili wake ulikuwa mkubwa hivyo anajaribu kuonyesha ubora...
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija.
Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama...
Mwamba alihusika katika magoli yote manne ya jana. Huyo mchezaji wenu atambue hapa Tanzania kuna mwamba mmoja tu. Kwa hiyo achukue muda mwingi ajifunze vitu kwa Mwamba wa Lusaka.
Yassin Mustafa ana uwezo mkubwa kuliko Joyce Lomalisa Mutambala kwa Beki ( Mbavu ) ya Kushoto.
Zawadi Mauya ana uwezo mara 100 kuliko Mchezaji wa Newcastle United ya katika Photoshop ya Mitandaoni Bigirimana.
Saido Ntibanzokinza na Yacouba Sogne ni Wazuri mara Milioni kuliko Domo Kubwa Kuvimba...
KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas.
Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa...
Ukizungumzia magoli ya CAF CC Aziz Ki ana magoli mengi kuliko SAKHO na yumo kwenye orodha ya wafungaji bora amefunga 3 sawa na nusu ya magoli 6 aliiyonayo Adebayor mfungaji bora.
Mfungaji bora hupatikana kwa takwimu tofauti na goal of the year awards ambalo hutokana na maoni tu ya followers wa...
Stephane Aziz Ki ni jina lililotamkwa mara nyingi mno midomoni mwa mashabiki wa SIMBA na YANGA kwa takribani wiki nane sasa huku kila shabiki wa timu hizi akitamani huyu bwa mdogo acheze kwenye timu yake pendwa.
Hatimaye sasa ni rasmi AZIZ KI ni mali ya wananchi na ameshatambuliswa kwa mbwembwe...
Hapo awali mabingwa wa Tz bara Yanga sc walipanga kwenda kufanya maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki.
Ikumbukwe kuwa usajili wa Azizi ki umeigharimu GSM kitita cha USD 200,000 na mshahara wa usd 10,000 kwa mwezi.
Raisi wa Yanga alimuomba Aziz ki wampatie nusu ya pesa ya usajili kwa msimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.