Mkuu wa idara elimu msingi halmashauri ya Jiji la Arusha, Omary Kwesiga amesema ameshangazwa kusimamishwa kazi akidaiwa kufanya igizo la kuchomwa chanjo ya ugonjwa wa Covid-19.
Amesema picha za video zinazosambaa katika mitandao ya kijamii zikionyesha kuwa hakuchomwa chanjo hiyo zimechezewa...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumza na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya(EU), Charles Michel ambapo amemsifu Rais Samia kwa hatua anazochukua kukabiliana na #COVID19.
EU wamesema wako tayari kushirikiana na viwanda mbalimbali vinavyozalisha chanjo ya #COVID19 barani Afrika ikiwemo...
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole anazungumza na waandishi wa habari muda huu akiwa ameambatana na wasaidizi wake ambao wote ni wanawake.
Taarifa kamili inakuja.
Hata hatujafika mbali sana, tayari wanaanza kusema waziwazi wenyewe mbinu haramu na za wizi wa kura walizotumia kushinda uchaguzi huu.
Katika video hii inayomwonesha mbunge mpya wa CCM - Jimbo la Kawe - DSM, Mch. Josephat Gwajima kuanzia dakika ya 8:50 ukitazama na kumsikiliza bila kujua ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.