baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Baada ya kusemwa kuwa ni Tawi lao na Wanawadhamini pia wameamua Kuzuga kwa kuwafunga Goli Moja na wakiongeza sana basi Mawili tu leo

    Na huu Mpira nautizama YouTube naona kabisa Pamba SC wako tayari hata Kufungwa Goli 10 ila Jamaa wanaona Aibu.
  2. Fabolous

    Baada ya NETO sasa kuna UYAM

    Kumekucha amkeni.
  3. Mi mi

    Baada ya bomu la vijana wasiyo na ajira naona mgomo mwingine kutoka kwa kundi la vijana lililorudishwa nyumbani kutoka JKT

    Baada ya malalamiko ya waalimu wasio na ajira kuishinikiza serikali kutatua changamoto zao sasa inaonekana kuna kundi jingine la vijana wasio na ajira linaibuka. Ukiachana na hayo makundi mawili kuna hili kundi la vijana kutoka JKT wanarudishwa makwao for fun na wanapewa wengine nafasi kwa...
  4. Tlaatlaah

    Ulifanyaje baada ya kukutana na show mbovu?

    Ulichukua hatua gani? Nini kilifanyika hata ukaona, kwamba hiyo show ni mbovu na hujwahi kukutana nayo tangu uyajue mapenzi? Muafaka ulikuaje sasa baada ya show hiyo mbovu na ya kiwango cha chini sana ya kimapenzi? nani alikua kikwazo na mzigo kwenye show hiyo mbovu kati yenu? :NoGodNo...
  5. mdukuzi

    Tanga ilitakiwa uwe mkoa wa pili kwa uchumi baada ya Dar Es Salaam

    Mkoa umebarikiwa kila kitu Sijui wagosi wanafeli wapi
  6. Donnie Charlie

    Mwalimu apigwa darasani na Mwalimu mkuu baada ya kuchelewa kazini

    Mwalimu mmoja katika Kaunti ya Nyamira nchini Kenya amelazwa katika hospitali ya Ikonge baada ya kushambuliwa na mwalimu mkuu kwa madai ya kuchelewa kufika shuleni. Mwalimu huyo wa Sekondari aitwaye Vincent Onyancha amesema alifanyiwa vurugu mbele ya wanafunzi wake darasani wakati akifundisha...
  7. Waufukweni

    Fei Toto alivyotinga uzi wa Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya mechi

    Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum maarufu Fei Toto akiwa amevaa jezi ya Simba aliyobadilishana na Shomari Kapombe baada ya kumalizika kwa mechi ya Ligi Kuu Bara kwa sare ya mabao 2-2 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa.
  8. Pdidy

    BAADA YA MAKELELE TFF /KAMATI YA WAAMUZI KUMBE MNA MAREFA WENYE KUCHEZESHA VIZURI SHIDA ILIKUWA NINI;;;;???

    HII NA AIBU KWA MPIRA WA TANZANIA YAAN MPAKA WANANCHI NA WAANDISHI WA HABARI WAPIGE KELELE WAAMUZI WABOVU WANAPOKEA RUSHWA NDIO MNAWEKA REFA MWENYE KIWANGO CHA JUU KWANI ALIKUWA WAPI?? SITASHANGAA DECEMBER NIKISIKIA LIGI YENU IMEFIKIA NAMBA 1 5. MSIPOBADILIKA..MSISUBIRI KILA SIKU IWE AIBU...
  9. W

    Bile acid reflux inanisumbua

    Habari naomba kusaidiwa dawa ya kupona bile acid reflux, nilienda hospital baada ya kuwa nasumbuliwa sana na tumbo kuwaka moto kama naungua tumboni baada ya kipimo cha endoscopy shida ilionekana mlango wa chini wa tumbo upo wazi nyakati zote( sphincter pyloric) kwahiyo unaruhusu alkaline kutoka...
  10. ESCORT 1

    Chawa mwanadamizi Mwijaku atoa povu baada ya TRA kumtaka alipe kodi

    Nikajua ukiwa chawa, haubugudhiwi.🤣🤣 TRA wamefatilia makampuni ambayo Mwijaku anayotangaza biashara nao, na kutaka makampuni hayo yalipe kodi kwa mamlaka hiyo. Mwijaku baada ya kupata taarifa hiyo akatoa povu. Hajaamini macho yake. TRA nyoosheni hivyohivyo, hakuna kucheka na wowote
  11. The Burning Spear

    KERO: Mwananchi Chanika amawangukia Waziri wa Nishati baada ya TANESCO kushindwa.kumuunganishia umeme zaidi ya miez 6 ya kulipa gharama zote 1.9M.

    NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya TANESCO, nguzo...
  12. The Burning Spear

    KERO: Mwanachi Chanika amawangukia waziri wa nishati Baada ya TANESCO kushindwa kumuunganishia umeme licha ya kulipa gharama zote 1.9M zaidi ya miezi.

    Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa tano Mwaka Jana 2024. ACCOUNT NO.0150043011126 Niliipia kupitia control Number ya...
  13. El marabiosh

    Baada ya wiki mbili utaskia waziri wa nishati

    itaendelea wiki ijayo...
  14. B

    Nimelia machozi baada ya kusikiliza Mahubiri ya Nabii Denis Kuhusu Tanzania

    Mungu alipoona Taifa lake la Waarabu linaangamia kwa kukengeuka aliwateremshia Mtume Muhammad (SAW) kuwafindisha namna bora ya kuishi kwa kumpendeza Mungu. Akawaamrisha mema na kuwakataza mabaya kwa Mujibu wa Mafundisho ya Allah Tabaraq wa Taallah. Mungu pia alidhihirika nyakati za Rais Sauli...
  15. W

    Nilivyojikuta Kituo cha Polisi baada ya kumsajilia Mtu Line ya simu

    Nakumbuka 2021 kuna mshkaji wangu aliniomba nimsainie line ya simu kwa NIDA yangu kwa sababu alikuwa hana kitambulisho cha Taifa. Basi mimi si nina muamini nikamsajilia kwa wale wakala wanaozungukaga mitaani, kipindi hicho niko Arusha yeye akaenda kufanya mishe zake Morogoro Baada ya miezi...
  16. Wakipekee

    Kamati ya masaa 72 yaifuta kadi nyekundu ya Derick Mukombozi

    Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua... Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Baada ya Tuzo ya Wachekeshaji. Serikali na wadau iandae Tuzo za waandaji bora wa Maudhui Mitandaoni.

    BAADA YA TUZO YA WACHEKESHAJI. SERIKALI NA WADAU IANDAE TUZO ZA WAANDAJI BORA WA MAUDHUI MITANDAONI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Niwapongeze waandaji wa Tuzo za Wachekeshaji 2025, serikali na Wachekeshaji wote walioshinda Tuzo hizo. Mimi ni mdau wa vichekesho hasahasa Standup Comedy...
  18. sergio 5

    Siku nne baada ya kumtongoza single mother nimeombwa 10k ya mchezo

    Bhana uku na uku uku na kule nikajuana na single mama mmoja mzuri sana sura trakon 👍 yaani yupo kamili kweli Kijana nikatema vocals nikakaziwa nikawa na force nikimsisitizia kuwa Mimi nimemuelewa sana Akiwa anakaza Leo jioni nikachekiwa jioni nikachekiwa sorry nimetoka kanisani "Nina shida...
  19. MAKANGEMBUZI

    Ukimpiga simu baada ya maongezi akakata simu mpigiwaji hata nusu sekunde haijapita anaamanisha nini?

    Chawa wa mama mkae mbali na huu uzi. Iko hivi kuna wale watu ukimpigia simu yahn ile mnaagana unamalizia tu kuongea keshakata simu na hapo umepiga wewe. Hawa watu huwa wana maana gani?
  20. Echolima1

    " Benjamini Netanyahu aapa kulala nao kiulaloulalo magaidi wa Hamas baada ya kuwaua watoto ariel na kafri Bibas na mwili wa mama yao kufichwa

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuwashughulikia magaidi wa Hamas kwa vitendo vya vya kinyama kuua watoto Kafri na Ariel Bibas watoto ambao waliwateka nyara Oct 07,2023 wakiwa na Mama yao Shiri Bibas na miili yao kurudishwa wakiwa wamekufa na Hamas kudai walikufa kutokana na...
Back
Top Bottom