Emsley "Baba T" Smith
Picha: Ukurasa wake wa Facebook
Miaka kadhaa iliyopita nilipata fursa ya kuonana na Baba T pale East Africa Radio. Tulishikana mikono. Alikuwa ni pande la mtu, na kiganja changu kilimezwa mkononi mwake. Nilikuwa mtembeaji tu na kijana mdogo niliyependa kusikiliza Reggae na...