Wanawake huwa tunatongozwa, ila tu niseme ukweli hata sisi tunavigezo vyetu ambapo familia huwa inaanza kutufundisha pindi tunapo balehe. Bila hivyo vigezo, inakuwa kazi sana, na ndio unajikuta unakuwa na mtu mradi tu upo nae, ila moyoni unamawazo na sonono.
Kila ukimuangalia uliye nae...