Leo nilikuwa najadili na mke wangu, tukafikia discussion moja, wanawake wengi sana wanapenda kuita wachungaji wao "baba yangu", wanawapa heshima kubwa kuliko hata ile wangewapa waume zao au baba zao. mchungaji au nabii au padre anainuliwa sana, anaonekana yeye ni mtu special sanaaaa, treatment...