Baba: calling --------------
Mimi: Hallo, shkamoo mzee wangu.
Baba: Marahaba, hujambo?
Mimi: Mimi sijambo mzee, vipi huko wazima?
Baba: Huku wazima tumetingwa na kilimo hapa. Vipi wewe mbona sikuelewi, simu hupigi hadi mimi nikupigie sio? huna vocha au?
Mimi: Aaaah$$,$:! Hapana nisamehe...