baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Shabani Matola amuua baba mwenye nyumba baada ya kudaiwa kodi ya pango

    Shabani Saidi Matola mkazi wa Kata ya Likongowele wilaya ya Liwale mkoani Lindi, amemuua baba mwenye nyumba wake aitwaye Siamini Rashidi Mtopoka (40), baada ya kumpiga na panga kichwani katika ugomvi unaolezwa kila mmoja akigombea alipwe fedha zake. Imeelezwa kuwa mwenye nyumba alimfuata...
  2. kifo cha lazima kwa Stanley Meyer mgunduzi na baba wa gari inayotumia maji na umeme leo kwa jina magari ya umeme (water fuel cell)

    Ni vigumu sana binadamu kuamini ya mbele sana kuliko yale wanayo yatumia kwa mda huu. ulishawai kusikia kuna mgunduzi aligundua gari inayotumia maji na sio mafuta ila kimaelezo ilipewa kipaumbele maji basi jina lake ni water fuel cell (Seli ya mafuta ya maji ). Seli ya mafuta ya maji ni muundo...
  3. Ili Mungu aibariki familia (ndoa) ni lazima baraka zipitie kwa baba

    Ndoa iheshimiwe na watu wote. Salaam. Ama baada ya salaam leo napenda nishiriki nanyi kitu kipya kiitwacho baraka. Baraka sio utajiri ila hutajitisha. Baraka ni ulinzi wa ki-Mungu juu yako. Wakati mtaani kwenu kideri kinaua kuku, kuku wako watakuwa salama. Utakuwa huna pesa lakini...
  4. Facebook bado ni baba wa mitandao Tanzania

    Takwimu za TCRA zinaonyesha kwamba mtandao wa kijamii wa facebook unaimilikiwa na kampuni ya meta bado ndio mtandao unaotumiwa na watu wengi zaidi Tanzania kuliko mtandao wowote ule. Kwa mujibu wa TCRA, kiwango cha data kinachotumika kwenye Mtandao wa facebook ni sawa na data zinazotumika...
  5. Kanisa la Anglican la Uingereza (Church of England) linajadili kutumia maneno yanayomhusu Mungu yasiyowakilisha jinsia yoyote (gender neutral terms)

    Kanisa la Anglican linajadili uwezekano wa kutokutumia jinsia pale unapotaja Mungu. Yaani mungu sio baba ama mama. Lengo la kufanya hivyo ni kuhakikisha kwamba dini inaendana na muda na wakati wa sasa na dini inakua jumuishi. Dini kua jumuishi ama inclusive ni kutambua haki za mashoga na watu...
  6. R

    Shetani baba wa Uongo

    Uongo ule ule alioanza nao mwanzo kwa binadamu bado mpaka leo anaendelea nao. Funguo (the power/keys to the gates of the hell) alishanyang'anywa miaka zaidi ya 2000 iliyopita. Kichekesho kikubwa asilimia kubwa ya wahubiri siku hizi wanahubiri nguvu zake. Fungulia redio za haya makanisa (aka...
  7. Nilichojifunza kuhusu wanaume

    Natumaini mko poa, Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivyo awali. Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha...
  8. Lissu ukirudi Tanzania zingatia hili, kumkashifu Baba wa Taifa ni off limits

    Tundu Lissu karibu Bongo. Nchi hii imeundwa, na walioiunda wengi wametangulia mbele za haki. Lakini sera, misimamo na misingi yao ya haki na maendeleo kiuchumi, kijamii kwa ujumla mustakabali kitaifa iko pale pale. Misingi ya umoja wa kitaifa ndio umeijenga nchi inayoitwa Tanzania. Kinara wa...
  9. Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

    Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni. Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake...
  10. Omari Mwariko na Historia ya Kifimbo cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

  11. Baba Levo una 'bullying' za waziwazi, TCRA wanakuangalia tu pamoja na uongozi wako

    kiukweli huyu jamaa Baba Levo hapa tu kupewa rungu Wasafi na Media kapitiliza kwenye kuongea. wanakipindi chao cha kutafuta vipaji, una katabia cha ajabu kukosoa wanadamu na kuwakejeli. Hata kama unatafuta sifa kufika kama Salama Jabir ila huwezi. Salama ana hayo mambo na uwezi kuona ujinga...
  12. Baba zetu wakiamua kufunguka na kulaumu kama wanavyofanya mama zetu basi hapatakalika, hapatalika wala hapatalalika

    Mwaka 2002 nikiwa nyumbani kwa mzee wangu fulani niliemtembelea nilipata bahati ya kutazama albamu ya picha zake. Mnakumbuka enzi hizo hakuna social media hata Tv bado sio sana kwahiyo mgeni kupewa albamu kutazama ilikuwa mojawapo ya kiburudisho. Nilivutiwa na picha za familia alizopiga miaka ya...
  13. Je, Mtoto aliyezaliwa nje ya Ndoa anafaa kuitwa Jina la ubini la Baba yake?

    Kwa mujibu wa imani ya kiislamu mtoto ambaye amezaliwa nje ya ndoa hatambuliki Kwa mujibu wa Sheria kama mtoto wa Baba husika. Kwasababu kizazi au uzao WA familia unatakiwa upatikane ndani ya ndoa ya kisheria au ndoa iliyofungwa Kwa misingi ya Dini,na nje ya hapo huyo ni mtoto wa zinaa ambaye...
  14. Sijui ni kwanini Mabodigadi wa Mama hawanivutii Kuwaangalia kama wale wa Baba aliyetuacha mazima

    Tafadhali mwenye Picha mbalimbali za Mabodigadi wa Baba aliyetuacha mazima ( hasa yule Macho Kufinyafinya ) na Yule mvaa Miwani Myeusi anayekuwa mbali nyuma yao aniwekee hapa kwani zimenipotea katika Phone Gallery yangu. Nilipenda mno Utizamaji wao, Usimamaji wao, Umakini wao, Tembea yao...
  15. Mkasa wa Kweli: Namna nilivyoshirikiana na baba kwenye shughuli za Kichawi

    Kwanza nianze Kwa kutoa disclaimer kisa hiki ni Cha kweli majina yaliyotumika hapa ni ya kweli bila kubadili chochote ilirekodiwa NAMI nikaihamisha kimaandishi kama ilivyo. MWANZO Kwa majina naitwa justice simangwa mkazi wa mkoa wa songwe katika wilaya ya mbozi kijiji cha msia, nilizaliwa...
  16. R

    Baba atupa maiti ya kichanga jalalani

    Baba mmoja asiyefahamika ameripotiwa kutupa mwili wa mtoto mchanga jalalani kando ya Uwanja wa CCM kalangalala mjini Geita, muda mfupi baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya mazishi. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita, Inspekta Edward Lukuba amethibitisha kupokea taarifa...
  17. Baba akamatwa kwa kuwapachika mimba binti zake wawili

    Polisi wa eneo Bunge la Kandara, Kaunti ya Murang'a wanamshikilia baba wa watoto wanne wa kike pamoja na mkewe baada ya mtoto wao kufichua kuwa mzazi huyo amekuwa akiwabaka. Inadaiwa mwanaume huyo amekuwa akiendeleza unyama huo huku mkewe akifahamu kinachoendelea. Aliyefichua siri hiyo ni...
  18. TANZIA Baba yake Young Dee, Brigedia Jenerali Dr. Robinson Mboli Mwanjela, afariki Dunia

    Elimu: >> source pdf page 90 << Degree ya udaktari, MD- Doctor of Medicine- UDSM Masters ya udaktari, MMed - Masters of Medicine - UDSM Masters ya jeshini, MSS - Master in Security and Strategies - Chuo cha taifa cha ulinzi - NDC. Kazi Tarehe 20 Januari 2014, Rais mstaafu Jakaya Kikwete...
  19. Hii ndiyo maana halisi ya mwanaume ni kichwa cha familia

    HII NDIO MAANA HALISI YA MWANAUME NI KICHWA CHA FAMILIA Anaandika, Robert Heriel Ukiwa kama kijana unayetarajia kuwa Baba, au ambaye tayari ni Baba na upo kwenye Familia yako. Shika Kwanza hizi nyundo; i. Kuna mambo unapaswa kuwa nayo lakini Mkeo asijue unayo. ii. Kuna mambo unapaswa kuwa...
  20. M

    Jakaya Mrisho Kikwete, Wafanyakazi wa Tanzania wanakumiss sana. Pumzika baba, jipe raha, wewe ni binadamu!

    Wafanyakazi wa Tanzania wanakukumbuka kwa nyongeza zako nzuri za mishahara kila mwaka kwa miaka yako yote uliyotumika kama Mwajiri mkuu!! Jipe raha, pumzika kwa raha zako, kazi uliifanya! Tunajisikia raha tunapokuona unazidi kuwa kijana kila leo! Yaani hapo una miaka 72 lakini ni kama una miaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…