baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. Baba achinjwa na familia yake akidaiwa kuwa kikwazo cha kutumia mali za familia

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia watu watano akiwemo Mkazi wa Kijiji cha Kiliwi wilayani Kwimba, Hoka Mazuri (48) na wanaye wawili kwa tuhuma kumuua mumewe, Mange Washa (49). Akizungumza na waandishi wa habari leo, Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amewataja...
  2. Kiapo cha Baba Mkwe; Upendo wa Baba Kwa Binti Yake; Moja ya sharti atakalompa Mkwe wake(atakayeoa binti yake)

    KIAPO CHA BABA MKWE; UPENDO WA BABA KWA BINTI YAKE, MOJA YA SHARTI ATAKALOMPA MKWE WAKE(ATAKAYEOA BINTI YAKE). Anaandika, Robert Heriel Hakuna atakayebisha kuwa Baba yeyote anaupendo mwingi Kwa mabinti zake. Halikadhalika, mabinti wengi huwapenda Baba zao zaidi kuliko Mama zao. Wakati kina...
  3. Nishati ya Upendo wengi wanaipigania kufa kupona

    NISHATI YA UPENDO WENGI WANAIPIGANIA KUFA KUPONA Anaandika, Robert Heriel Ili uweze kuishi utahitaji pumzi, Pumzi ni nishati inayotuwezesha kuishi. Pumzi itokapo katika miili yetu maisha yetu yanakoma. Hata hivyo pumzi pekee yake haitufanyi tuwe hai. Zipo Nishati nyingine nyingi ambazo...
  4. January Makamba alipaswa kujiuzulu baada ya baba yake kulitukana Taifa. Tuige mifano ya wenzetu ughaibuni

    Yaani viongozi waliofariki ndio walikuwa watu wabaya? Hayati Benjami Mkapa, hayati JPM? Je Hayati Sokoine aliyefariki mapema huku taifa likimuhitaji? Vipi kuhusu wapigania uhuru kibao wa Tanzania ambao walifafiki mapema bila kufaidi matunda ya uhuru. Haingii akilini Rais Samia kumtetea eti...
  5. Je, ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi?

    Hello Naomba kujua ni sahihi binti kulala na baba yake mzazi au mlezi kama mama yake hayupo kwa mazingira ya sasa hivi?
  6. Mtoto wa Osama Bin Laden apasua Ukweli. Asema hawaamini USA na pia kuna mambo yalimkwaza kwa baba yake

    Waislamu si ruhusa hata kunuswa na Mbwa inakuaje huyu Osama alifuga Mbwa? Osama Bin Laden alikuwa na Ajenda gani akaone atumie Dini kuzikamilisha? Sisi Wa kristo wa Masaki na Waislamu wa Buza huwa tunapelekeshwa tu katika mambo haya. ====== Mtoto wa Osama Bin Laden, Omar Bin ambaye wakati...
  7. Mama aliniambia Baba yako Amekufa!

    Dukani kwa Mangi nakutana na kijana mmoja barobaro hivi,anamwambia Mangi nipimie maharage,karanga, njugu mawe na nafaka nyingine mbali mbali huku anaendelea kuangalia orodha ambayo ametumiwa na mzazi mwenzake,ilikuwa na maandalizi ya kutengeneza unga WA lishe WA mtoto wao. Kilichonipeleka Kwa...
  8. Demokrasia ya Kiafrika hadi raha, baba Rais na mwanaye makamu, waendelea kuongoza

    Rais na mwanaye kama makamu waendelea kuongoza Equatorial Guinea, Rais huyo mwenye umri wa miaka 80 ndiye anaongoza duniani kwa kushikilia madaraka kwa muda mrefu kwenye hiyo nchi yenye umaskini uliokubuhu licha ya uwepo wa mafuta mengi. Afrika yetu patamu, Wazungu na mabeberu watuache na...
  9. Baada ya baba kufariki, watoto wa mke mdogo wanataka mali, tufanyeje?

    Ipo hivi mzee wetu alikuwa na wake wawili mkubwa ndio mama yetu sisi na mdogo alikuwa ana watoto wake. Sasa huyo mke mdogo alishafariki muda mrefu amebaki huyu mkubwa ambaye ni mama yetu sisi. Muda si mrefu mzee naye kafariki baada ya kusumbuliwa na ugonjwa kwa muda mrefu. Tumefanya msiba na...
  10. Ukimya wa mwanaume unampa mashaka mwanamke juu ya baba halali wa mtoto

    Hakika msaada wako utaokoa maisha ya mama au mama na mtoto, iko hivi: Huyu dada naweza sema ni ndugu au rafiki, alikua na uhusiano na kaka mmoja ila sio serious, baadae akapata jamaa mwengine aliekua serious ila uhusiano wa mwanzo ni kama ulikuepo chinichini. Dada akapata mimba akamueleza jamaa...
  11. T

    Iran inaenda kuanguka na huenda baba wa Taifa hilo yakamkuta ya Sadam Hussein

    Dunia inaenda kwa kasi na nguvu ya Intelligence ina ziangusha serikali zinazo ongozwa na maono ya 1918... Dunia kweli ina kimbia sio kutembea na huu usemi ni dhahiri pale Iran. Iran bwana Ameruka mkojo amekanyaga kinyesi akaruka mkaa wa moto akakanyaga vumbi la moto sasa haamini kinacho tokea...
  12. Hakuna tena mjadala kwamba Jon Jones ndie baba lao wa kupigana ufc, Wengine umaarufu unawabeba

    Achana na kina usman, mac gregor au kina Israel adesanya alietembezewa kichapo na Alex kwa mara ya tatu mfululizo. Hili jamaa la kuitwa Jon Jones ni habari nyingine kabisa, kapoteza pambano moja tu ambalo alimtembezea sana kipigo mpinzani na kumpiga kipepsi side cut cha pua ndio akawa...
  13. Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

    Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu. Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana. sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2...
  14. S

    Baba Majaliwa apongezwe. Ilikuwa ni lazima baba yake aikimbie familia ili kijana Majaliwa awe shujaa

    Babake Majaliwa anastahili pongezi nyingi sana kwa kutuletea shujaa. Kitendo cha huyu babake Majaliwa kuukimbia familia ndiyo kimepelekea Majaliwa kuishi kwa shida hivyo kujengeka na kuwa shujaa. Watoto wengi wanaolelewa na wazazi wawili huwa ni walegevu na wasio na tija ktk jamii. Huishia...
  15. Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

    Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond...
  16. Baba yake Majaliwa mvuvi ajitokeza na kudai..

    Nimepitia kwenye mitandao nimekuta kuna habari kubwa kumhusu Majaliwa kijana ambaye amevunja vichwa vya habari hapa juzi kwa kuongoza zoezi la kuwaokoa abiria wa ajali ya ndege huko Bukoba. Baba huyo ametoka hadharani na kudai kwamba pesa ambayo Majaliwa alipewa kama motisha ni ya familia na...
  17. Natafuta ndungu wa upande wa Baba Meck Msigwa

    AMANI ya Bwana iwe nanyi. Kama kichwa cha Habari hapo juu.natafuta ndugu wa Baba angu ambaye Alifariki kwa Ajali ya Gari miaka ya 1987. Alikuwa Akiitwa Meck Msigwa.alikuwa akifanya Biashara ya Mchele na Maharage kutoka Mbeya kwenda Dar. Mara ya mwisho alipata Ajali akiwa anasafirisha Maharage...
  18. Tunamlinda Mzee. Mali ya Baba yako ni Haki yako ya Msingi

    Hakuna haja ya kuuma uma maneno. Watu wana ujinga eti usitegemee urithi au usipigie hesabu Urithi. Ukiona hivyo ujue hawana cha kurithi Mzee aliamua yeye na mama kunizaa. Sikumwomba. So alikuwa amejipanga. Na hakupaswa anizae nije pata shida. Sasa amepata mali eti nisipigie hesabu. Nyie mna...
  19. Niwasimulie kisa cha Babu yangu aliyekuwa kama baba yangu

    Mi ni first born, tumezaliwa wawili. Miaka hiyo ya 90s baada ya mama kutalikiana na baba mzazi aliyeamua kumuoa mwanamke mwingine na kumwingiza aishi nyumba moja na mama(dharau) hivyo mama alishindwa aliamua kurudi home kwao Tukuyu from Magomeni Mapipa DSM. Watoto wawili, hivyo akaona hatoweza...
  20. Je, ni sahihi baba mwenye nyumba naye kupangiwa zamu ya kupika na kuosha vyombo?

    Habari za Muda huu Nipo na rafiki yangu, nimekua nikiona ana ratiba yake ya kupika na kuosha vyombo. Watu huku wenzetu wanamapenzi ya kizungu yaani huyu rafiki yangu kila Jumapili huwa anashinda Nyumbani na kufanya shughuli za kupika na kuosha vyombo achilia mbali kufua na kufagia uwanja. Je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…