Salaam, shalom!!
Nimesoma kitabu kimoja kinaenda Kwa Jina la (Waebrania 7:3), kwamba Kuna mtu anaitwa MELKIZEDEKI, Ambaye amefananishwa na YESHUA / YESU/JESUS,Kwa sifa zake, kwamba Hana baba wala mama, Wala Hana mwanzo au mwisho wa siku zake, ni WA milele🤔
Tujadiliane hapa kiundani, Hawa...