babu

Babù real name Anderson Rodney de Oliveira (born 23 December 1980, in São Paulo) is a Brazilian football forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Rorscharch

    Wosia wa Babu: "Enzi Zetu Tulikuwa Wanaume—Nyinyi ni nini hiki?

    Wanawake wenu wanaharibika. Watoto wenu wanapotea. Na si kwa sababu yao pekee—bali kwa sababu nyinyi mmejigeuza watu wa hovyo! Mmekaa kimya mkiona kila kitu kinaporomoka, mnaigiza kutoona, mnapunguza uzito wa majukumu yenu kwa kisingizio cha "siku hizi mambo yamebadilika." Mmejificha nyuma ya...
  2. Chizi Maarifa

    Kuna wakati unamfikiria Babu yako unamwona alikuwa mpuuzi kukimbia

    Umewahi waza kama mababu zetu wengi wangekubali kwenda utumwani kwa sasa pengine nawe ungekuwa Marekani. Kwa sasa umebaki una manga manga tu hapa Tz huna mbele wala nyuma. Utasema ooooh...wengine walikufa. Sawa walikufa.sasa huyu babu yako ambaye amebaki alifanya nini? Hamna mashamba makubwa...
  3. Z

    Ufafanuzi juu ya haki ya mjukuu kurithi mali ya babu/bibi yake

    Habari wana jamii,kuna jambo naomba muongozo kidogo wa kisheria kwa mwenye ufahamu nalo.Tuna mali tumerithi toka kwa baba yetu na tuko watatu lakini kwa bahati mbaya mwenzetu mmoja amefariki na kuacha watoto wawili ambao ni wakubwa (above 18). Baada ya msiba tulikaa kama familia na sehemu ya...
  4. X

    Ramaphosa kamjibu Trump kwa busara lakini sio kinyonge, ngoja tuone comeback ya babu Trump. Pameanza kuchangamka!

    Trump kupitia ukurasa wake wa X aliikosoa serikali ya Afrika Kusini kwa sera yake ya unyakuzi wa ardhi. Babu kwenye tweet yake alisema Marekani itasimama kuchukua hatua na kusimamisha misaada yote inayoipa Afrika Kusini Ramaphosa naye hajamlazia damu akamjibu kupitia ukurasa wake wa X sio...
  5. Waufukweni

    Mbunge wa Kenya Babu Owino amtaka Rais Samia, kueleza sababu za kuzuiliwa na kuorodheshwa kwake kama mtu aliyepigwa marufuku kuingia nchini Tanzania

    Mbunge wa Embakasi Mashariki, Babu Owino, amemwandikia barua ya kumtaka Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kutoa maelezo kamili ya kuzuiliwa kwake na sababu za kuorodheshwa kwake kama mtu aliyepigwa marufuku kuingia nchini Tanzania. Babu Owino alidai kuwa alizuiliwa kwa saa tatu katika...
  6. Expensive life

    Babu kutoka unguja kaniambia mechi ya kesho ni sare ya kufungana.

    Wakuu kesho kuna mchezo wa kukata na shoka baina ya Yanga sc vs mc alger, sasa katika dodoso zangu nimemuuliza mtaalamu mmoja kutoka unguja amenijuza mpaka sasa kwa yeye anavyoona ubao unasoma ni sare ya kufungana. Anenijuuza kuwa kinyota timu zote hadi hivi sasa zinaoneka zina uwiano sawa...
  7. W

    Nikiwa kama mzazi namuunga mkono Inspector Haroun (Babu) kumtembezea kipigo mtoto wake baada ya kumkuta studio

    Inspector Haroun (Babu) amemtembezea kipigo mtoto wake akidai kwamba mtoto amempeleka chuo ila anashangaa kumkuta studio Yupo sahihi kwasababu uchungu wapesa anayolipa chuo tunaujua tunaolipia ada. Mzazi au mlezi unaweza kutimiza wajibu mtoto aende kusoma shule za serikali bure lakini utaanza...
  8. Yoda

    Tusingetawaliwa na wakoloni kama babu zetu wote wangepambana kidete na wazungu wavamizi.

    Nikisoma Historia naona upinzani wa maana waliopata wakoloni walipoingia Tanzania ulitoka kwa maeneo na viongozi hawa, 1. Mtemi Isike & Mirambo-Unyamwezini Tabora 2. Chifu Mkwawa- Wahehe 3. Mangi Meli, Sina& Co-Uchagani, Meru, Arusha 4.Kinjekitile & Co-Wangindo, Wangoni 5.Chifu Machemba-Wayo...
  9. F

    Babu nioe au nizae tu?

    Kijana mmoja ana udugu nami japo kwa mbali, kaniuliza hilo swali, eti aoe mke au atafute mwaname wa kuzaa nae? Nimemjibu anipe wiki ndio ntamjibu, wadau mmeona hilo swali?
  10. milele amina

    BABU: Utawala wa Rais Daniel Moi wa Kenya ( 1978-2002) unafanana na utawala wa Rais Samia wa Tanzania (2021-2024).

    Utawala wa Daniel arap Moi nchini Kenya, ambao ulidumu kuanzia mwaka 1978 hadi 2002, unakumbukwa kwa matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na utekaji wa raia, ukandamizaji wa viongozi wa kisiasa, na mauaji. Hali hii inaonekana kuwa na uhusiano wa karibu na utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan wa...
  11. Komeo Lachuma

    Je Diamond, Babu Tale na Burna Boy wanaweza kuitwa kutoa ushahidi kwenye kesi ya P Diddy?

    Mzee wa mafuta ya upako P.Diddy katika kesi yake inayoendelea. Je kuna uwezekano wa watu hawa kuitwa either kumtetea au kumkandamiza? 1. Diamond anasema walifanya yao ambayo hawezi yaweka in public je anaweza itwa chini ya kiapo akajielezea walichofanya? 2. Babu Tale Mbunge huyu naye anasema...
  12. GENTAMYCINE

    Babu Tale na Diamond Platinumz mbona Mwenzenu Bondia Tyson kakiri kuwa P Diddy alitaka Kumshika paja akashtuka ila nyie hamfunguki zaidi kama Yeye?

    Bondia Mstaafu na Mwigizaji wa Filamu Mike Tyson amefunguka kuwa siku moja akiwa kwenye Kipindi Cha Televisheni na P Diddy wakiwa wamekaa kwenye kochi moja alishangaa kuona mkono wa P Diddy umemgusa kwenye mapaja yake, Tyson alishituka sana kisha akauondoa mkono huo haraka sana na akakaa mbali...
  13. M

    Hapo wadau wasubiri tu re-advertisement

    THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIAPRESIDENT'S OFFICE Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) Date: 17/09/2024WRITTEN INTERVIEW RESULTS Tutorial Assistant (Electrical Engineering) Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) SNo Interview No Score Remarks 1 MUST/24/8443/010 35.00 NOT...
  14. Ndagullachrles

    RC Babu azindua Msimu wa 5 Kahawa Festival na kutoa neno

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Nurdin Babu amezindua msimu wa tano wa Tamasha la Kahawa(Kahawa Festival) na kutoa wito kwa wananchi kujikita kwenye uzalishaji wa zao la Kahawa. Amesema zao la Kahawa lilichangia kwa kiwango kikubwa kufanikisha maendeleo ya mkoa ikiwamo kuwa na shule nyingi za...
  15. and 300

    "Influencer" wa Instagram atambulisha danga - Babu wa kizungu

    1. Nawasihi sana ndugu zangu vijana msiige kila mnayoyaona mitandaoni. Influencer anapiga domo kwenye Instagram kwamba ni financially independent kumbe ana babu yake a.k.a SANTA CLAUS anayemfadhili. 2. Dada huko insta anatema shombo na kujidai motivation speaker, shule hamna na akili ya maisha...
  16. mfate42

    KERO Huyu babu wa radio Free Africa ana tofauti gani na kiboko ya wachawi? na je kwanini hafungiwi?

    Habari za muda huu ndugu wana JamiiForums, Naomba kuuliza hivi huyu mzee anaejiita babu, ambae anarusha matangazo yake ya uganga wa kienyeji kupitia kituo Cha Radio Free Africa, Mwanza ana tofauti gani na yule aliyefungiwa kule Buza, anayejiita kiboko ya wachawi. Nimejaribu kusikiliza kwa...
  17. Kiungopunda

    Namtafuta babu yangu

    Wakuu, namtafuta Babu yangu. Yoyote atakayemuona atoe taarifa kituo cha Polisi cha karibu. Zawadi nono itatolewa kwa atakayefanikisha kupatikana kwa Babu yangu.
  18. peno hasegawa

    Ninaomba mwenye CV ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu

    Wakuu, nimelala nikiwaza namna ya kupata CV niliyoutaja hapo juu. Wengi tutajiuliza,ninaitafuta ya kazi Gani? Niwe muwazi kuwa ubinafishwaji wa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro ( KIA), ubini wake nimeuona unafanana na kile watanzania wengi wanachokiwaza. Nikiipata,nitaweka wazi Kila kitu...
  19. L

    Pre GE2025 Wananchi Wamchangia Mbunge Babu Tale Pesa Ya kuchukulia Fomu ya Ubunge Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwasogezeeni taarifa hii ya kuwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki linaloongozwa na Mheshimiwa Babu Tale yaani Khamisi TaleTale wameamua kwa umoja wao na kwa hiyari ya mioyo yao kumchangia Mbunge wao pesa ya kuchukulia Fomu ya Ubunge hapo mwakani...
  20. Expensive life

    Pre GE2025 CHADEMA kuna jimbo la bure kule kwa babu tale wekeni mtu makini 2025

    Jimbo la bure kabisa lile mkiweka mtu makini mchana kweupe mnalipata lile jimbo. Wekeni kichwa haswa pale, mbunge wa sasa wa pale ni mweupe peeee kichwani.
Back
Top Bottom