#HABARI Jackson Lukondo mwenye zaidi ya mika (70) anashikiliwa na vyombo vya dola kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa kiume wa shule ya msingi Masawe (14) ambaye amekuwa akimdanganya anamfundisha tohara inavyofanywa na kumtishia kumuua akisema anachomfanyia.
#EastAfricaTV...
Wabongo bana.
Mtu akienda Uingereza naenda kwa bibi. Mtu akiishi uingereza Niko hapa Kwa bibi. Akisoma Uingereza kama Mudawote nilisomea kwa bibi.
Sasa hivi siyo kwa bibi tena ni kwa babu. Na msemo huo utakaa muda mrefu Tena miaka mingi tu kwasababu haya mijamaa hayafi kizembe hadi yavuke mid...
Napenda kumshukuru Mungu kwa kunijalia afya njema pia kukupa nafasi ya kufuatilia matini yangu kikamilifu
Pia shukran zangu za dhati nazielekeza kwa waasisi wa dawati la jamii forum stories of change
baada ya hapo twende pamoja katika mada yetu ya ukoo wa babu...
LEO TUNAGALIE KATIKA NYANJA...
Nilimkuta amejikunyata ndani ya blanketi lake lililokuwa na rangi ya udhurungi, macho yake hafifu yalikua yakilitazama jua, ambalo lilikuwa likitoka huko mafichoni lilikokuwa ili kuja kuungaza ulimwengu, katikati ya mapengo yake ya mbele, alikua amekibananisha kiko chake vilivyo ili moshi wa...
Nimerithithi vitu vingi, mashamba na tabia nzuri kwa mbaya toka kwa babu yangu ila hili la totoz linaniumiza kichwa
Babu yangu alikuwa na wake saba na michepuko kadhaa kijijini,alizaa na wanawake za watu pale kijijini.
Nimejaribu kuwa tofauti na yeye nimeshindwa,
Mwaka juzi nilifunga hesabu...
Andiko hili linahusu ELIMU YA MAZINGIRA. Na hayo Ni mazungumzo baina ya wahusika wawili;
Kao : Mzee shikamoo,
Oka : Marhaba mjukuu, unaitwa nani?
Kao : Naitwa oka, naomba kuuliza mzee wangu,
Oka : Uliza tu Mjukuu.
Kao : Tupo wawili tu hapa maana sioni wengine wakufanana na sisi?
Oka : Mjukuu...
Ni ukweli usiosemwa!
Wazee wetu ambao tumekuwa tukiaminishwa kuwa ni visima vya hekima na busara, kwamba tuwasikilize na kujifunza kwao. Kiuhalisia hawana mchango wowote kwenye dunia ya leo ya sayansi na teknolojia.
Malezi yao hujikita kwenye kile wanachokiita maadili na mila, na kwa wachache...
Tabia ya Watoto kutelekezwa kwa babu na bibi bila kujaliwa na wazazi wao imeonekana kushamiri Mkoani Njombe.
Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto, Willfred Willa anasema watoto wengi wanaopata madhara ni wale ambao wanalelewa na bibi na babu zao huku wazazi wengi wakiwa na migogoro, majukumu...
2020 kulikuwa na uchaguzi mkuu (hapana, uchafuzi mkuu ) uliowaingiza bungeni watu wasiofaa kuwa hata mabalozi wa nyumba kumi.
Hawatambui hadhi yao,
Hawatambui majukumu yao,
Hawajui chochote.
Miongoni mwa watu hao ni Babu Tale. Akisimama bungeni ili atoe mchango wake mimi huwa naanza kuona...
Ninawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.
Ninaandika nikiwa nina hasira kali sana dhidi ya mbunge aitwae Babu Tale kutokana na hoja zake zilizokosa weledi huko bungeni wakati akichangia bajeti ya wizara inayohusika na sanaa. Huyu babu kwa kukosa weledi alitaja majina ya wasanii katika hali...
Leo ni Alhamisi alfajiri...
Nikiwa na akili zangu timamu, natumia safu hii kuutarifu uma wa JF kuwa....
Kasinde ni chombo halali ya Babu kuanzia mwezi Mei 2022.
Baada ya hicho kibwagizo sasa acha niendelee na salamu zangu kwa Babu.
Babu....
Kwanza kabisa nakupenda, najua wajua hilo...
Wahenga zetu kwa namna moja au nyingine walikuwa na akili sana.
Zamani haya mambo ya upasuaji yalikuwa bado sana na mtoto alikuwa anazaliwa nyumbani kwa msaada wa wakunga ila kazi ya kumtoa mtoto kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa mwanamke kumsukuma mtoto atoke, hakukuwa na shortcut ya upasuaji kwa...
Wadau wa burudani nadhani mnamkumbuka uyu mtu nimesikiaa wimbo wa kikao cha dharula wa prof jay nikakumbuka hiki kipaji kilichojizolea umarufu kwa kuiga sauti za watu mashuhuri mbali mbali hapa mjini hasa sauti ya mzee wetu afande tibaigana
Kajificha wapi uyu mtanzania mwenzetu.
Msichukulie mzaha kwa hiki nilichokiandika hapa tafadhali bali naomba kichukuliwe Kiumakini mno kwani wengine Kuona mbali ni Tunu ( Shani ) tuliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu.
Yasije yakatokea yale ya Ismailia Dar.
Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to retire!.
Sababu ya makala hii ya leo sio kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa, bali kutoa mbinu za...
Habari za pande zote.
Naomba kuuliza watu wa kipande hiyo(mo-town)
Yule babu muhindi pale dabo rodi alikuwa anauza juisi bado yupo??
Nilikuwa nikipita mitaa hiyo lazma niende kunywa juisi pale zilikuwa tamm sana.
Nilikuwa napenda ukifika pale ukataka juisi,basi anafungua friji anatoka na...
Kama unavyojua buana, ukizaliwa kijijini enzi hizo, ni shida sana kufaulu kwenda Sekondari miaka hiyo ya 2000 mwanzoni mwanzoni maana enzi hizo shule za kata zilikuwa bado hazijaanza.
Sasa ukifanikiwa kufaulu lazima kijiji kizima kijue. Mungu ni mwema buana, akatujalia na akina sisi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.