babu duni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LGE2024 Babu Duni: CCM wakishinda kwa nguvu, Wananchi mmewaachia

    "Mimi ninasema mnadharau kwasababu mmekata tamaa, mnahisi mambo ni yaleyale...aah! ndiyo hivyo bana, CCM watachukua kwa nguvu; hawezi kuchukua kwa nguvu, wakichukua kwa nguvu maana yake mmewaachia, vijana mjiandae, mkipiga kura, mkishinda kataeni kunyang'anywa". Mwenyekiti mstaafu wa chama cha...
  2. LGE2024 Babu Duni: Kapigeni kura miaka mingine mitano migumu isije tena, Serikali za Mitaa ndio Ufalme wenu. Imizaneni kupiga kura

    Wakuu, “Wewe ndiye unayekwenda kupiga kura, wewe ndiye unayesema siitaki CCM, ni wewe. Sasa nyinyi mumeachiwa mitaa miwili, itakuwa miujiza mitaa hii msishinde, itakuwa miujiza kura muzipoteze, itakuwa miujiza msiende kupiga kura, kwa maana miaka 5 migumu itakuja tena. Kwa hivyo mimi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…