Chakwera akutana na Othman Masoud pamoja na Babu Duni, Zanzibar

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Screenshot 2026-04-13 175534.png

Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman akiambatana na Mwenyekiti mstaafu wa chama hicho, Juma Duni Haji, leo Jumatatu Aprili 13, 2026 wamekutana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera Mjini Unguja, Zanzibar.

Katika kikao hicho, wameangazia masuala mbalimbali ikiwemo hali ya kisiasa ikiwamo kabla, wakati na baada ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 28 na 29, 2025.

Soma Pia:

Tayari Chakwera amekutana na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ACT-Wazalendo kwa upande wa Bara, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya vurugu za uchaguzi na viongozi wa Serikali.
 
Hawa wam
View attachment 3572129

Hawa kama nani ?
 
Back
Top Bottom