Wakuu, nimelala nikiwaza namna ya kupata CV niliyoutaja hapo juu.
Wengi tutajiuliza,ninaitafuta ya kazi Gani?
Niwe muwazi kuwa ubinafishwaji wa uwanja wa ndege wa Kilimanjaro ( KIA), ubini wake nimeuona unafanana na kile watanzania wengi wanachokiwaza.
Nikiipata,nitaweka wazi Kila kitu...