BABU AKASEMA; PESA INAMAADUI WAWILI, JE WAWAJUA?
Anaandika , Robert Heriel.
© Maandishi ya Robert Heriel Kwa lugha ya Kiswahili.
TAIKON Anawasilisha.
" Upepo unapotoka hatuuoni na wala unakoelekea hatupajui, ndivyo ninyi Vijana wa Zama hizi mlivyo, mmejigeuza upepo, hamtaki kujua wapi...