Jamaniiiiii my baby Sis is back!
Nilikumiss sana mdogo wangu, Mwehu wangu, welcome back my lovely Sis, ur such a beautiful soul.
Kwa mtazamo wa nje una mapepe mengiiiii ila in reality una Moyo wa dhahabu, walio karibu na wewe watashuhudia hili.
Juzi niliona I'd mpya imechangamka inaitwa...