Cassie amefungua kesi ya dola milioni 30 dhidi ya Diddy akimtuhumu kwa ubakaji na unyanyasaji wa kijinsia. Mwanadada huyo anasema muda mfupi baada ya kukutana na Diddy mwaka 2005, akiwa na umri wa miaka 19, alianza tabia ya kumdhibiti na kumnyanyasa ikiwa ni pamoja na kumlazimisha kutumia dawa...
Kama wewe ni shabiki wa Filamu za Bad Boys, jiandae kwa ujio mwingine wa #BBIV. Jarida la #Variety limeripoti ujio wa Filamu hiyo na tayari iko katika utayarishaji wa awali kupitia kampuni ya Sony Pictures.
Mastaa hao wameweka wazi taarifa ya kurejea kwa mwendelezo wa filamu hiyo baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.