bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Vituo vya usaili kwa walimu ni bado?

    Nikiingia kwenye account yangu kwenye sehemu ambako usaili utafanyika hakuna jina la kituo na badala yake wanaelekeza kuingia kwenye tovuti ya www.ajira. go.tz kwa taarifa zaidi lakini nako hakuna taarifa yoyote. Shida ni nini hapa wakuu? Au majina ya vituo bado?
  2. K

    Napendaa mambo ya modeling sana na natamani nifike mbali lakini bado sijapata connection nzuri ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu. 0713776534
  3. Wasio na mwenza(mke/mume) au mtoto bado hawajaanza maisha?

    Kuna hii kauli watu huwa wanapenda kuisema wanaposimulia historia za maisha yao "nikampata mwenzangu tukaanza maisha..." Hivi kabla ya kumpata mwenza na watoto mtu anakuwa bado hujaanza maisha?
  4. Ni wapi bado tunahitaji sauti zaidi za wanawake? Je, ni katika Siasa, Elimu au Biashara?

    Wanawake wanaposhiriki katika maamuzi, huleta mitazamo mipya yenye nguvu za kuleta mabadiliko chanya na ya kudumu. Ushiriki wao unaleta uwiano wa kijinsia unaohitajika katika kila sekta – iwe ni siasa, biashara, jamii au elimu. Tunapozingatia changamoto nyingi zinazokumba jamii zetu, kama...
  5. Nishati Safi ya Kupikia: Je Tunahitaji Zaidi Utashi wa Kisiasa, Political Will, au Mahubiri ya Nishati Safi, Huku Mazingira Bado ni ya Kuni na Mkaa?

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo. Utekelezaji wa hoja ya Nishati safi ya kupikia, unahitaji zaidi utashi wa kisiasa kuliko ahadi za maneno na kuwagawia bure mitungi ya gesi watu masikini wa kutupwa wanaoishi kwenye lindi la umasikini uliotopea ambapo hawana uwezo wa...
  6. Kuna watu wakiona hii picha basi roho zinawauma sana. Na bado sana.

    Endeleeni kujitoa mhanga na itikadi zenu za kitapeli.
  7. Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  8. Nauza laptop yangu hii bado nzuri kabisa

    Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa Device: Renovvo Processor - 2.16 GHz RAM - 4GB EDITION - Window 10 pro Version - 22HZ CONDITION: Used like New BEI : 250,000 (njoo tuongee) 0687900668 namba yangu Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU) mwenge
  9. S

    Hivi kuna watu karne hii bado wanaumizwa na mapenzi?

    Nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi kuwa na mpenzi ambae nilimpenda sana na nadhani alijua kwamba nampenda hivyo akawa anautumia upendo wangu kwake kama udhaifu na fimbo ya kunichapia. Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kumvumilia mana hata ningesema nimuache haraka haraka nitaacha wangapi, siku...
  10. Video: Alia kama mtoto baada ya kugundua mke wake bado ana mahusiano na mzazi mwenzie

    Sikio la kufa...
  11. Uzi kwa ajili ya mtu uliyempenda na bado unampenda lakini aliondoka ghafla katika ukaribu wenu

    Habari wanaJF, Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika mahusiano. Je, unamkumbuka ni nani na kilitokea nini hadi hali kama hiyo ikatokea ilhali bado unampenda...
  12. Serikali msitutoe kwenye reli kwa hukumu ya kifungo cha maisha kwa maafande wahuni, bado tunawaza utekaji wa kutumia silaha za kivita mchana

    Mimi binafsi kila jambo nalipa nafasi yake, sehemu yake na muda wake. Sio mjinga kwamba jambo B linaweza kunisahaulisha jambo A. Wewe ukinitukana leo halafu kesho unipe elfu 10 ya chai ninaweza kuipokea lakini haitanitoa kwenye case ya matusi uliyonitukana jana. Serikali bado tunasubiri...
  13. M

    SI KWELI Yanga bado Siku 3 watimize Mwaka 1 bila kufungwa kwenye ligi Kuu ya NBC!

    Nimeona mtandaoni Mkuu wa kitengo cha Digital, Crown Fm ameandika kuwa Mara ya mwisho Yanga SC kufungwa kwenye Ligi Kuu ni Oktoba 4, 2023 bado siku 3 itimize mwaka mmoja pasipo kupoteza mchezo kwenye Ligi Ligi Kuu ya NBC PL. Eti wadau huyu anasema kweli au anatupanga maana huwa naona kama...
  14. Ado Shaibu: Nimeambiwa bado kuna matukio ya Watoto kupotea na vifo pia Kanda ya Ziwa, hatutakiwi kukaa kimya

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu ametuma tena Salamu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kulitazama suala la kupotea kwa Watoto kwa umakini zaidi. Ado ameyasema hayo wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Mbogwe Mkoani Geita, Septemba 29, 2024. Amesema...
  15. Dawa ya kuchua maumivu kwa jina la Salimia. Je, bado ipo na inapatikana kwenye maduka ya dawa ya Tanzania?

    Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa ya Tanzania hasa pharmacy kubwa na ndogo za mikoani. Ni hivyo tu shukrani Wadiz
  16. Hezbollah wakanusha, bado hawajamchagua kiongozi mpya

    Hezbolla, magaidi wa waislamu wakanusha kwamba kwa sasa hawajamchagua kiongozi yeyote.... Kwa namna viongozi wao wanaliwa, kila mmoja lazima aogope kutajwa yeye.............Maana ukitajwa tu, Israel wanalala na wewe mbele. =================== Hezbollah has denied that Hashem Safieddine has been...
  17. Sakata la Wasafi Festival Mbeya, ishu sio sakata la PDiddy ni CCM. Wana nafasi bado ya kujirekebisha

    https://x.com/lifeofmshaba/status/1840444113025400944?t=HQa05gIZAhN0Xht5BZzddQ&s=09 Tamasha la mziki la Wasafi Festival lililoandaliwa kwa gharama kubwa limeingia dosari mkoani Mbeya baada ya nsanii wake Zuchu kurushiwa chupa za maji stejini pale alipoanza tu kutumbuiza hali iliyomfanya...
  18. Nauza laptop yangu bado mpya mpya

    Mashine inauzwa bei kitonga sana, wahi kabla haijachukuliwa Device: Renovvo Processor - 2.16 GHz RAM - 4GB EDITION - Window 10 pro Version - 22HZ CONDITION: Used like New BEI : 280,000 (njoo tuongee) 0687900668 namba yangu Napatikana hapa chuoni Dar es salaam Tumaini university (DAR TU)...
  19. Masudi Kipanya bado yupo mitaa ya Ufipa

    Baada ya katuni ya samaki tuliyoijadili jana, leo manzania mwenye kipaji cha hali ya juu ametuletea tafakuri nyingine. Karibuni tuchangie mawazo. Nionavyo mimi, mtu ambaye amejifungia ndani, anasema Watanzania ni waoga! Nadhani hii inahusiana na maandamano yaliyokuwa yafanyike tarehe 23/9/2024...
  20. Sheria inasemaje ikiwa mwanamke amefunga ndoa wakati bado ndoa yake ya mwanzo haijavunjwa?

    Kama inavyojieleza Mfano upo kwenye ndoa na mke wako lakini kutokana na masuala mbalimbali ya kimaisha hasa ajira mnaishi mbalimbali kwa muda mrefu na mwisho kuwa na migogoro ya hapa na pale Baadae mwanamke anaamua kuolewa tena kimya kimya kule alipo bila wewe mume wake kumpa talaka au kuvunja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…