bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.

View More On Wikipedia.org
  1. Papa aanzisha Jimbo jipya Bagamoyo, amteua Askofu Musomba kuliongoza

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunia, Papa Francis amemteua Askofu msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Stephano Musomba kuwa Askofu wa kwanza wa Jimbo jipya la Bagamoyo kuanzia leo Ijumaa, Machi 7, 2025. Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri...
  2. Ushauri. Ni muda sahihi Bagamoyo ipewe hadhi ya mkoa

    Kwa heshima ya jina la bagamoyo na pia ukuaji wake wa kimaendelea ya kimkakati kama bandari inayoambatana pamoja ukanda maalumu Eneo Maalum la Kiuchumi la Bagamoyo (Bagamoyo Special Economic Zone – BSEZ), Sasa ni muda kwa Mkoa wa Pwani kugawanywa Wilaya Bagamoyo Wilaya kibaha Wilaya chalize...
  3. Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amezungumzia Mkataba wa Bagamoyo

    https://www.youtube.com/watch?v=VJmfnduWSJk The Chanzo imefanya mazungumzo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa juu ya masuala mtambuka ikiwemo suala la Serikali kuaminika kwenye taarifa inazozitoa kwa wananchi, Sakata la bandari Bagamoyo, matukio ya utekaji, utekelezaji wa miradi ya...
  4. Rais Dkt. Samia: Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Pangani Kufungua Mkoa wa Tanga Kiuchumi

    RAIS DKT. SAMIA: BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA PANGANI KUUFUNGUA MKOA WA TANGA KIUCHUMI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ni kuufungua na kuunganisha Mkoa wa Tanga na ushoroba wa Ukanda wa...
  5. Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo - Pangani - Tanga na Daraja la Mto Pangani (M 525)

    RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI BARABARA YA BAGAMOYO - PANGANI - TANGA NA DARAJA LA MTO PANGANI (M 525) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Pangani - Tanga: sehemu ya Mkange...
  6. Y

    Hatimaye zigo la Bandari ya Bagamoyo atwikwa PPP

    :::::: Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wake wa Mipango na Uwekezaji Prof Kitila Mkumbo imeliambia Taifa hilo kuwa Ujenzi na Uendeshaji wa Bandari ya Bagamoyo bado haujaanza na kama utaanza basi Serikali hiyo itaufanya mradi huo kwa sharti la Ubia kati yake na Sekta binafsi yaani PPP...
  7. Asante Bwagamoyo, vijana wa Kariakoo hatuwezi achwa kwenye mgao

    Inaweza kuwa wachezaji Inaweza kuwa wasemaji Inaweza kuwa team mzima itakayo shinda Ila itakuwa bomba sana raia tukihusishwa zaidi kwenye mgao: Tupewe ticket za bure tukamuona triple C akicheza derby yake ya mwisho nchini. Au nyie wenzangu hamtaki? Watu wa Chuga mtakuwa na matamasha kadhaa pia...
  8. House4Rent Dalali wa nyumba, vyumba na viwanja Bagamoyo road

    4RENT - CHUMBA SEBULE CHOO NA JIKO LOCATION: GOBA SENTA BEI: TSHS 300000 CALL - 0716442950
  9. Sakata la bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa Waarabu latua Bungeni. Prof. Kitila asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo ajibu sakata la Bandari ya Bagamoyo. Asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji Soma: Ubalozi Wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Watoa Maelezo ya Kina juu ya Upotoshaji unaoendelea Mitandaoni "Serikali ipo...
  10. Video ya Balozi wa Saudi Arabia akitolea maelezo kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo

    Maelezo ya Balozi wa Saudi Arabia katika Televisheni ya Taifa ya Saudia ni haya; "Utiaji saini wa Mkataba wa Nia ya kufanya utafiti wa fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kujenga na kuendeleza Bandari mpya ya Bagamoyo nchini Tanzania.. ====== Kwa mujibu wa shirika la habari la Saudi Arabia...
  11. Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

    Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo Swali ni Je mfupa ulimshinda fisi, saizi utatekelezeka...
  12. Waziri unayehusika na vijana, BAGAMOYO haina vijana wote mateja ingilia kati

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Ukweli usemwe na uwekwe wazi Wazazi wa bagamoyo malezi yamewashinda Bas serikali jitaidini kuingilia kati hili suala Vijana wanatekea wote ni mateja wote walevi Inasikitisha sana SAYUNI BOY
  13. D

    Bar za bagamoyo hazina vyoo

    Hawa Osha sijui wanafanya kazi gani. Ni ama wakienda huko wanapewa hela wamalizane tu au hawaendi kabisa. Ndo shida ya waajiriwa wa serikali wakishaajiriwa hawafanyo kazi tena tofauti na ambapo osha ingekuw private sector. Ndo mana hata jpm alikosea sana ATC na TTCL kuzifanya ziwe monopoly na...
  14. Historia ya Sheikh Mohamed Ramiyya wa Bagamoyo

    https://youtu.be/v4f9Y3QKpak?si=ZVDx2ZELIucxRASJ
  15. Bagamoyo Inatuhitaji

    Karibu kwenye safari ya kusimumua ya kutembelea fukwe za, The Horizon ndani ya mji wa Bagamoyo ikiambatana na kusherehekea sikukuu ya Christmas, ikitukutanisha wadau kutoka kona mbalimbali. Ikiambatana na kufanya Utalii wa ndani kwa kuzungushwa na Boat na shughuli lukuki za Kitalii. Shughuli...
  16. D

    KERO Mataa ya Bagamoyo Road yamekuwa Kero kwa watumiaji wa barabara hiyo

    Habari Zenu, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na ni mtumiaji wa barabara ya Bagamoyo Road. Kila siku napita kwenye barabara hii kwenda katika majukumu yangu ya kila siku, lakini aisee, mataa ya barabara hii, kuanzia njia panda ya Goba Masana hadi hapa Tanki Bovu na njia panda ya kwenda Kawe...
  17. Hii foleni ya leo Bagamoyo road sio mchezo

    Wakuu, Tangu saa 12 asubuhi mpaka sasa nimeganda hapa Masana, Gari hazitembei kabisa, Naskia wameziba barabara moja pale nia ya kuingia Kawe, Kazi tunayo kwa kweli
  18. Bandari ya Mangapwani Zanzibar au Bagamoyo Bara? Ipi itaitoa nchi yetu kiuchumi?

    Nimemuona Rais Mwinyi akiwa Uchina akipigia debe, pamoja na mambo mengine, Bandari ya Mangapwani. Katika hotuba zake kadhaa, Rais Mwinyi ameonyesha nia ya dhati kuifanya bandari hiyo iwe kubwa kabisa Afrika Mashariki. Upande wa pili, inaelezwa kwamba bandari ya Bagamoyo ikikamilika, itakuwa na...
  19. Nahitaji eneo la Ekari 20 Bagamoyo

    Liwe sio mbali na Bagamoyo mjini kwasababu litajengwa hospital. Lenye hati litapewa kipaumbele
  20. Nchi 9 Zashiriki Tamasha la 43 la Bagamoyo

    NCHI 9 ZASHIRIKI TAMASHA LA 43 LA BAGAMOYO WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa Tamasha la 43 la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo limeshirikisha Nchi 9 Duniani pia limetoa fursa za ajira na biashara kwa wananchi wa Bagamoyo na washiriki wa Tamasha hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…