bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.

View More On Wikipedia.org
  1. mdukuzi

    Wakoloni walitaka jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu,ghafla likaelekea Bagamoyo na Morogoro

    Master plan ya wakoloni ilitaka mji au jiji la Dar es Salaam lijengeke kuelekea Pugu.majengo yaliyopo mtaa wa Nkrumah ,viwanda Pugu Road,na uwekezaji mwingine kwa njia hiyo ni ushahidi tosha. Baada ya Uhuru mji ukaelekea Bagamoyo Road na Morogoro Road. Kumbuka Pugu Road ina uwezo wa kufika...
  2. Msitari wa pambizo

    Hotel/Lodge nzuri Bagamoyo

    Habari wakuu. Natarajia kuwa na likizo fupi ya mapumziko na nina hitaji mahali ambapo nitatulia na mama watoto wangu kwa hyo wiki moja kuanzia tarehe 22 Octoba Niko hapa kuwaomba kama kuna mdau anaweza kufahamu hotel/ Lodge nzuri ya bei za kitanzania kuanzia 50,000/= mpaka 80,000/= Nitafurahi...
  3. Roving Journalist

    TANROADS: Tutaufanyia kazi ushauri kuhusu eneo la Mbezi Bondeni- Bagamoyo Road (Dar) kuwekwa 'Fly over'

    Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) wamesema kuwa wameuchukua na wataufanyia kazi ushauri wa mdau wa Jamiiforums. com kuhusu umuhimu wa kuweka njia ya juu (Fly over) eneo la Bondeni - Mbezi Tangibovu ili kuboresha zaidi miundombinu. Hayo yameelezwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TANROADS...
  4. V

    Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Fukayosi, Bagamoyo

    Bei ya 1 SQM ni 3,800 tu kwa viwanja vya Makazi na 4,500 Kwa viwanja vya makazi na Biashara , na viwanja vyetu vimepimwa na kupata Bicon kutoka wizarani. Pia unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba hizo hapo chini Call or WhatsApp 0698 718 260.
  5. Mohamed Said

    Barabara ya Watumwa Ujiji-Kigoma hadi Bagamoyo

    https://youtu.be/vm8vLR6wjPE?si=f435piPZe4i3EU_F
  6. B

    Ridhiwani Kikwete ashiriki ziara ya Katibu Mkuu wazazi- Bagamoyo, aeleza utekelezaji wa Ilani ya CCM na ushiriki uchaguzi Serikali za mitaa

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ameshiriki kupokea Ugeni wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Cde Ally Salum Hapi katika wilaya ya Bagamoyo...
  7. Naju23

    Bagamoyo DC wa ajabu kabisa.

    Swali kidogo. Hawa viongozi wanamatatizo. Unamuwakilishaje Mama Samia kwa dc wa aina hii. Kama ni uteuzi wa kujuana sawa. Hivi hakuna vijana wenye hekima? Au ndio kuzidiana Dumba? Asilimia kubwa ma RC hawana tatizo..upande wa ma DC inanishangaza, hivi vetting zinavamiwa? My take...
  8. M

    Gari za kwenda bagamoyo zinapatikana wapi

    Habar wakuu hivi gari zakwenda bagamoyo unapandia wapi mwenge au makumbusho au tegeta
  9. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini Bagamoyo hakuna kiwanda cha kusindika madafu kama hiki?

    Nimeshtuka sana kuona hii video, kumbe madafu ni bidhaa unayoweza kuisindika na kuiuza ndani na nje ya nchi ikiwa fresh kabisa. Inauwezo wa kutoa hadi ajira 10,000 kwa kiwanda kimoja, kuanzia kwenye mashamba hadi uuzajI. Madafu sio lazima kuuza kwenye baiskeli, hata supermarket inawezekana...
  10. Naju23

    TAMISEMI imulikeni Halmashauri ya Bagamoyo ni wasanii

    Idara ya elimu sekondari ni wasani. Dseo ni Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya huyu ni msanii na mzandiki, asiyejali alijaa upendeleo. Fuatilia utaniambia. Hamisho za wakuu wa shulni za hivi karibuni ni za upendeleo na nafasi za wakuu wa shule ni upendeleo wa wazi. Huyu mbwiga anaona walimu...
  11. Mkalukungone mwamba

    Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo

    Ichukue hii! Kiwanja kinauzwa milioni 1 na laki 5 kipo Bagamoyo kipo kidomole Bagamoyo ukubwa wa 30 kwa 25 akipo mbali na barabara ni dakika 10 kufika kiwanja kilipo hatutojutia hata kidogo ukinunua kiwanja hicho Karibu sana simu 0712815440
  12. mmewadadako

    Plot4Sale Viwanja Bunju A viwauzwa meter 500 kutoka Bagamoyo road.

    Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju A. Viko vinne Vimepimwa Umbali ni meter 500 kutoka Bagamoyo road Karibu na shule Pembezoni mwa barabara kubwa ya mtaa Huduma za umeme na maji zipo Neighborhood ni nzuri na pamejengeka vizuri Bei ni 46,000 kwa square meter Ni sehemu hot cake sana...
  13. E

    Plot4Sale Viwanja na Mashamba vinauzwa sehemu mbalimbali Dar na Pwani

    Kazi kazi Nina nyumba Kali inauzwa iko Tabata Kisukuru Ina hati Tsh250ML Nina kiwanja kinauzwa Tabata Kisukuru ukubwa ni mita 20x30 ila nafasi ya kuongeza kubwa wa eneo ipo, kina faa kujenga Sheli sababu barabara kubwa ya lami itapita hapo siku sio nyingi, bei Tsh 50ML. Nina kiwanja maeneo...
  14. Pang Fung Mi

    Mgogoro na Giza la Umiliki wa Ekari 12 Mapinga Bagamoyo wengi wamerithi mgogoro bila kujua

    Shalom, Naomba kuutarifu uma na Serikali kwa ujumla kwamba mimi na wenzangu kadhaa miaka ya 2010, 2011 kulikuwa na taarifa za wazi juu ya mgogoro wa eneo hilo na ukiachana na wale ambao tayari walikuwa wamenunua wengine wote waliambiwa kuhusu eneo kuwa na mgogoro na kulikuwa na kesi...
  15. BigTall

    Nyumba zaidi ya 400 za Mapinga (Bagamoyo) kuwekewa X ili zivunjwe kuna harufu yenye shaka, Waziri Silaa fuatilia kinachoendelea

    Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro wa ardhi baina wakazi wa Tungutungu Kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo pamoja na “kigogo”, nimefika mara kadhaa eneo hilo ni vilio vilio. Mgogoro huo ulikuwa ukifukuta kimyakimya lakini kwa sasa umepamba moto kutokana na nyumba za wakazi wa eneo hilo...
  16. Mkalukungone mwamba

    Wakuu Kwema;nikiwa na milioni 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi maeneo ya Bagamoyo?

    Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi naombe ushauri wenu.
  17. Mzee makoti

    Barabara ya Bagamoyo eneo JKT Mbuyuni hatarini kukatika/ wachimba mawe

    Wakuu naona ofis ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam au Wilaya ya kinondoni imelala, pale mbele mbuyuni kama unaenda tegeta upande wakushoto karibu na kambi ya J.k.t barabara ya bgamoyo road had kufika mwakani itakuwa imekufa yote au kukatika. Wale wanaochimba mawe wanaikaribia kuikata barabara...
  18. LIKUD

    Mjue Dharmendra wa Bagamoyo

    Anaitwa Dharmendra Mzimba. Huyu lazima kazaliwa miaka ya 90 mwanzoni na baba ake alikuwa ana angalia sana picha za kihindi. Kanikumbusha Niliwahi kusoma na jamaa yeye baba ake alikuwa anawaita watoto wake majina ya wasanii na watu maarufu. Alikuwa anawapa majina yote kamili kamili. Kwa mfano...
  19. Jamii Opportunities

    Electrical Technician – 2 posts at Bagamoyo Sugar Limited

    Position: Electrical Technician Vacancies: Two (2) Workplace: Bagamoyo Date: 08/05/2024 DUTIES/RESPONSIBILITIES Attending plant preventive and corrective maintenance Attending power receiving and distribution (in bothTG, generator and Grid) Attending plant machine inspection Ensure plants is...
  20. julaibibi

    Manispaa ya Kinondoni, wkwni kamera Bagamoyo road au sungusungu

    Bagamoyo road kuanzia pale Bamaga mpaka Mwenge naona kumezuka wimbi la viroba vya taka vyenye kutoa harufu ya uozo na uvundo kwa wageni wa heshima wanaotumia njia hiyo kuelekea Bagamoyo na Bunju au Mbezi. Huu mchezo mtendaji anapaswa achukue hatua kwa kuwaita vikundi vyake vya usafi...
Back
Top Bottom