Msimamo wa Rais Samia kuhusu demokrasia ya kisiasa, fujo za kisiasa na fujo za kidini ni wa kujadiliwa kwa kina kusudi watu wengi wauelewe na kuukubali.
Tayari kuna maoni kadhaa yametolewa tangu alipofanya mahojiano yake na BBC, na kuuweka bayana.
Kuna maoni ya Askofu Bagonza, Kauli za...
KWA UCHACHE TU
1. Matatizo ya kisiasa hayatatuliwi kisheria.
2. Matatizo ya kisheria hayatatuliwi Kisiasa.
3. Suala la Katiba Mpya lina sheria na siasa. Mazungumzo yasiyo na hila ndani yake hayakwepeki.
4. Walipokuwa tayari hakuwa tayari. Atakapokuwa tayari hawatakuwa tayari. Mtu wa tatu...
Askofu Benson Lwakalinda Bagonza (PhD) Ameandika
KABLA YA KATIBA MPYA...
1. Kabla ya Katiba Mpya ya Afrika ya Kusini, Nelson Mandela aliitwa gaidi.
2. Kabla ya "Katiba Mpya" iliyoandikiwa Lancaster, Julius Nyerere alikuwa ni Mchochezi aliyekuwa nje ya gereza kwa kulipa faini.
3. Kabla ya...
INAFIKIRISHA! INASUTA! TUSUTIKE
Nilipochaguliwa kuwa Askofu baada ya wanaofaa kukosekana, marafiki zangu waliandaa tafrija ya kuniaga huko Chicago, Marekani. Mmoja wa watani wangu akatoa hotuba na kusema "Benson, wewe sasa ni Askofu. Tangu sasa una uhakika wa mambo matatu:
1. Daima utakula...
"Hoja ya katiba mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya ukuu wa katiba na ukuu wa Rais. Kwa hali ilivyo, Rais na katiba wako vitani" Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe.
TULIENI MIOYONI: Ukuu wa Katiba Vs Ukuu wa Rais.
Hoja ya Katiba Mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya Ukuu wa Katiba na Ukuu wa Rais. Kwa hali ilivyo, Rais na Katiba wako vitani.
Nawasihi wanaojadili, watulize mioyo yao. Wasikilize...
Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe
"Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi"
"Haki na uhuru ni misingi imara ya kuweka nchi sawa. Ukiyaahirisha unajitwisha mzigo mzito. Dai la katiba mpya lina faida kubwa kwa...
HAKI na UHURU VIMEUMANA!
Maneno "haki" na "uhuru" yameanza kusikika kwa kasi toka midomoni mwa watawala na Viongozi wetu. NAWAPONGEZA.
Hakuna aliyepiga marufuku matumizi ya maneno haya lakini si kila marufuku inatolewa hadharani. Taifa lilishtuka pale tulipoona haya:
1. Watawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.