Habari
Me kinachoniuma ni kwamba ukimkamata mwizi mala ya kwanza basi ujue hiyo ilkuwa mala yake ya arobaini kukusaliti na ndo ya mwisho, imagine mtu anakusaliti mala 39 halafu unamkamata round ya 40
Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika kristo YESU
Katika kitu ambacho nilikuwa sijui ni kuwa kama mwanetu Young D mzee wa bongo bahati mbaya kuwa alihamia Marekani
Leo ndo nimejua
MWENYEZI MUNGU aendelee kuwabariki hawa vijana katika ridhiki zao na mapambano yao ya kila siku
AMINA tuendelee...
Binadamu ambao wanateseka ukifatilia Kwa makini ni unplanned human being. Hawakupanga kuzaliwa ni zao la uzinzi na wengine one night stand.
Ukitaka kupata mtoto huwa kuna sauti inakuijia inakuambia kabisa kuwa huu ndo muda wako wa kuwa na mtoto. Maaana viumbe huwa vinawasiliana kupitia inner...
Wakuu ndiyo ipo hivyo
Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake.
Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia...
Habari zenu wanaJF wenzangu
Wakuu kuna mambo mengine yanashangaza sana, kiasi ya kwamba sometimes mtu unajiuliza kwamba haya mambo yanayotokea huwa yanakuja tu yenyewe au kuna mtu/watu wanayapanga yatokee kwa sababu fulan.
Kwa leo naomba nizungumzie haya yanayotokea kipindi hiki cha mwezi...
Napenda kuwaeleza Hawa mashabiki na wanachama oya oya wa Simba pamoja na viongozi wao kwamba daraja aliloweka yanga kwa sasa na wao bado awajalifikia, bado yanga Wana ubora mkubwa ukilinganisha na Simba!
Ukiangalia ubora wa mchezaji Mmoja Mmoja pamoja na uzoefu kwa vikosi vyote viwili utagundua...
Hii post nimetaka kuileta muda kidogo ila naamuaga kupotezea ila leo nimelazimika kuileta. Kuna hili goli sijui ndiyo la kaskazini, kila derby at least za hivi karibuni lazima mpira ugonge mwamba na tena mpira unagonga karibu eneo lile lile.
Nikikumbuka hivi karibuni:
1. Penati ya Mukwala...
Kuna njemba imepata msala hapa kitaa, muda huu watu wamekusanyika baada ya njemba kutoa taarifa kwa mjumbe.
Iko hivi:- Njemba kavusha demu getoni kwake mida ya saa 1.30 jioni ya leo leo. Kamtafutia misosi kagonga kama kawaida. Saa 2 na madakika wakaingia kwenye uwanja wa 6 kwa 6.
Bahati mbaya...
Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima
X wangu Aka lopoka
Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja
Mni follow basi jaman 😌
kuna huyu dada ye mwenyewe ndo alijileta, baada ya muda kwenye mahusiano nikamwambia ukweli kwa nia njea ya kumsaidia kua mi naona yeye sio type yangu , kuliko kupoteza muda ni vema aangalie atakaeendana nae mana mi sioni future na yeye. Ningeweza kumchezea na kumpotezea muda ila nimeamua kua...
Kuna mchezo siku hizi unachezwa nafikiri ni makusudi na wafanyakqzi wa TRC ili kutengeneza mianya ya rushwa.
Sasa hivi TRC wameweka utaratibu mzuri sana wa kukata ticket kwa njia ya mtandao, ki ukweli ni utaratibu mzuri sana na unatupunguzia adha ya kukaa foleni muda mrefu. Lakini kuna mchezo...
Some people are just lucky sio kwamba eti wametoka kwenye familia tajiri au yenye kusapotiana au nchi iliondelea au labda ni juhudi zao, hapana au ni wezo mkubwa wa kiakili, ni basi tu kila wanacho fanya hawakitolei machozi, jasho na damu kama wewe.
Wanaokuambia eti Hardwork beats Luck ni njia...
Kwa wale tuliozaliwa Vizazi vya Zamani ilikuwa ni nadra sana kumuona Baba hata kwenye Vikao vya muhimu vya Wazazi. Mara nyingi kazi hii ilifanya na Mama na Baba aliletewa taarifa ya nini kimetokea
Wataalamu wa Malezi wanasema Watoto hujisikia Furaha sana pale Baba zao wanapohudhuria Matukio...
Kama utakumbuka, miaka ya 2018 kurudi nyuma, refa alizingatiwa kama mchezaji wa ziada na ilipotokea akahusika kwa namna moja au nyingine, matokeo yoyote yalikuwa yanahesabika bila tatizo lolote.
Mpaka mwaka 2019, sheria ya refa kuwa sehemu ya mchezo iliondolewa hivyo, kwasasa ikitokea refa...
Kukosekana kwa hao wachezaji kunanipunguzia sana matumaini ya Yanga kufanyanya vizuri na ninaona kama Yanga wana bahati mbaya ingawa bado wanaweza kufanya vizuri kwa kikosi kilichotangazwa kuanza katika mechi ya leo.
Nimekumbuka ile fainali ya kombe la CAF ya mwaka jana ambapo Aucho tena...
Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima.
Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimis touch nikachagua video ya x...
Sikushangaa kuona mchele wenye virutubisho.
Huo haukuja kwa bahati ni baada ya siku mbili tu kupita baada world bank kuitahadharisha tanzania juu ya wananchi wake kuendelea kuzaliana kwa wingi bila kikomo kama walivyoambiwa na shujaa Magufuli wazaliane mpaka mayai yaishe.
Wakaenda mbali kwa...
Salaam, Shalom!
Siku moja nilitoka nyumbani kwangu nilipanga kwenda mjini kununua baadhi ya mahitaji muhimu ya vifaa vya umeme,
Niliondoka nyumbani majira ya saa tisa hivi, baada ya nusu saa, nilifika mjini, Sasa Pana duka la vifaa vya umeme kubwa nililokuwa nikitumia kununua mahitaji yangu...
Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na mwamba mmoja mbabe sana pale Morogoro akiitwa Hamisi Kambaya. Yule jamaa Bwana alikuwa ana kawaida ya kumtania demu wake kwamba siku akimzingua atajinyonga.
Sasa siku hiyo walikuwa pale uwanja wa golf Morogoro jamaa akamtania tena demu wake leo najinyonga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.