Jamaa mmoja apewa fursa mbili kukumbuka nywila (password) kufungua disk yenye sarafu mtandaoni ya bitcoin yenye thamani ya dola za Marekani milioni 240.
Baada ya majaribio nane ya kutatanisha, sasa yamebaki majaribio mawili ya kukumbuka password kwenye disk ambayo ndani yake kuna sarafumtandao...