bahati

David Bahati (born 8 June 1973) is a Ugandan accountant and politician. He is the State Minister of Finance for Planning in the Cabinet of Uganda. He was appointed to that position in a cabinet reshuffle on 1 March 2015, replacing Matia Kasaija. He is a Member of Parliament for the constituency of Ndorwa West in the Parliament of Uganda and is a member of the National Resistance Movement, the ruling party. He is chief of the Scout Board of Uganda.

View More On Wikipedia.org
  1. Prof Koboko

    Uchaguzi 2020 Maoni huru: Awamu hii Urais wakipata hata kura Milioni 3 wana bahati sana

    Nakitazama hali ilivyo ngumu mtaani, uchumi umekua mgumu kuna mama wanashinda barabarani na nyanya zao na mchicha kutwa nzima hawauzi wanarudisha nyumbani jioni, frame kibao za biashara zimefungwa maeneo mengi, Wafanya kazi wa umma wanalia maslahi duni, mikopo elimu ya juu kizungumkuti mitupu...
  2. M

    Bayern wana bahati sana Umtiti hakucheza

    WanaJF Inakuwaje! Bayern Munich wanabahati na kushukuru beki matata na Machachari raia wa ufaransa mwenye asili ya Cameroun Samuel Umtiti hakuwepo uwanjani dhidi yao kwenye robo fainali ya Uefa championship league. Umtiti ambaye hakusafiri na wenzake Lisbon kwa kukutwa na Corona nakujiself...
  3. Mwanahabari Huru

    Askofu Kalikawe Bagonza: Uongozi na Uwanaharakati bahati mbaya unafunikwa na Propaganda za Kuelimishana

    UONGOZI na UANAHARAKATI Kuna mjadala mzuri unaendelea kuhusu UONGOZI na UANAHARAKATI. Bahati mbaya unafunikwa na propoganda na kupoteza fursa ya kuelimishana. Wapo wanaoponda uanaharakati kwa kudai wanaharakati si viongozi. Kundi la pili linatukuza uongozi kuwa hauna uanaharakati. Mimi...
  4. GeoMex

    Watu wa Dar es Salaam bahati yenu😄😄

    Mshukuru sana Mungu jamaa kapumzika😄😄😄😄
  5. mbinguni

    Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Willy Qulwi Qambalo wa Karatu wajiunga CCM na kupokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa

    Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chadema, Joshua Nassari na mbunge wa sasa wa Karatu, Willy Qulwi Qambalo wameondoka rasmi ndani ya chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Wamepokelewa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa pamoja na viongozi wengine wa Chama mkoa wa...
  6. A

    Tafakuri: Ukizaliwa binadamu kwenye hii dunia basi huna bahati, utajiri sio suluhisho la kudumu

    Ukizaliwa binadamu, ujue mateso, umaskini, njaa, kuumizwa kihisia, magonjwa ndo yanakusubiri. Ukiwa tajiri kuanzia kuzaliwa hadi kufa kwako basi kama una dhambi, jehanamu ya moto inakusubiri ili uchomeke milele. Haya mateso tunayopitia hapa duniani naona kama hayana ulazima, kwa sababu kama...
  7. Nyendo

    Mtoto Bahati Cornel wa Umbwe primary school amepotea. Yupo Polisi Kawe

    Mtoto Bahati S/o CORNEL, Mchaga, 8 yrs old, M/Funzi Umbwe primary school, Darasa la tano. Mtoto huyu yupo hapa police Kawe ambapo alijieleza kuwa amepotea, alikuja jijini DSM akitokea mkoani Kilimanjaro ambako ndiko anakoishi na Baba yake Mzazi aitwae CORNEL JOSEPH MASAWE, ambae anafanya kazi...
  8. Chivundu

    Hakuna kitu kinatokea kwa bahati mbaya katika siasa ya Bongo

    Wanabodi, Kwanza hakuna kitu kinatokea kwenye siasa kwa bahati mbaya. Kila kitu hupanga na wenye akili "Elites" ambao wengi wao hawapo kabisa kwenye siasa ila ndio wanaamua siasa. Ukiona siasa ya Mkapa,Kikwete na leo JPM ujue wao wenye siasa yao wameamua kuifinyanga iwe hivyo unavyoiona leo...
  9. B

    Je, ulishawahi kuombwa kitu na ndugu, jamaa au rafiki akiwa mgonjwa bahati mbaya akafa haujamtimizia?

    Nikiwa kwenye mtihani wa taifa kidato cha pili, baba alisafiri kwenda kijijini ambako mama yake ambaye ni bibi yangu alikuwa anaumwa sana.Huyu bibi alikuwa ananipenda sana. Bahati mbaya wakati anaumwa sana na kuzidiwa alikua anahitaji anione kabla hajafa. Kama ujuavyo mabibi wanavyopenda...
  10. FrankLutazamba

    Hivi inakuajekuaje kati ya mamilioni ya watu, unaibuka kupata bahati ya kuwa Rais wa Nchi?

    Bado najiuliza ni bahati iliyoje kati ya mamilioni ya watu MTU mmoja tuu unapata bahati ya kuwa rais wa Nchi,cheo ambacho unaweza kuwataka watu wote wasitoke majumbani,ukiagiza ghorofa lijengwe linajengwa japo litachelewa, Mliosoma history za viongozi mtujuze makuzi ya watu hawa huwa yakoje...
  11. britanicca

    Tukipaswa kuandaa kizazi cha kurithi madaraka, Kwa bahati mbaya Madaraka yakakirithi kizazi

    Tumetegemea sana vijana na wakaimu kuyarithi madaraka kwa kufuata taratibu na sheria zote, Je wanaotegemewa wanaweza kazi za mabosi wao? Kwa bahati isiyo nzuri Madaraka yenyewe ndo yanawaendesha wanaorithi, Tukichagua msaidizi tuwe sure kwamba ataweza kusimamia Majukumu sawa na boss wake kama...
  12. covid 19

    Kwenu Sekritarieti ya Ajira - Utumishi: Fanyieni kazi hili wazo maana ajira za serikali sio bahati na sibu au sandakalawe

    lengo la kuanzishwa kwa kitengo hichi ndani ya utumishi ni kuhakikisha nafasi za kazi zinazotolewa na serikali na taasisi zake zinapatiwa wahusika kwa haki sawa maan binafsi nionavyo ajira sio bahati na sibu au sandakalawe ni haki ya kila mtanzani mwenye sifa sitahiki. Kuna system yenu mnaiita...
  13. S

    Mtazamo mpya wa dunia kuhusu Corona ni kuwa dunia imefikia breaking point; vizuizi vitaondolewa, watakaokufa watakufa, watakaopona watapona

    Imeonekana kwamba lockdown ya Corona inasababisha athari kubwa sana za kiuchumi duniani. Watu wanapoteza kazi, kampuni zinakufa, serikali zinakosa mapato nk. Ni dhahiri sasa kwamba lockdown zinatikisa hata mataifa makubwa kama Marekani kiuchumi - na ndio maana hata Tanzania imeepuka sana kuweka...
  14. J

    Wabunge wa Chadema wanaweza kukosa " bahati" ya kukutana uso kwa uso na Rais Magufuli na kupiga picha ya pamoja hadi bunge linavunjwa!

    Ikumbukwe kwamba wakati Rais Magufuli anafungua bunge mwishoni mwa 2015 wabunge wa Chadema walisusia kikao na kutoka nje ya ukumbi. Mwishoni mwa mwezi huu Rais Magufuli atalivunja bunge na kuna kila dalili huenda wabunge wa Chadema asilia hawatakuwepo ukumbini bali watakuwepo wale Chadema "...
  15. teledam

    Bahati nasibu ya Mchina 'Korokoro' special thread

    Wakuu habari, Inawezekana kuna wadau humu wamekuwa 'addicted' na mchina ama korokoro kama inavyoitwa katika sehemu mbalimbali. Naomba kwa anayefahamu adondoshe hapo tip jinsi gani unaweza kubashiri vizuri katika bahati nasibu hii. Asante
  16. K

    Bahati yetu ni Jua, Unyevunyevu (humidity) na Joto - Corona hatambi

    Namba zetu za maambukizi na vifo hadi sasa vinaelekea kuwa tofauti na zile za wenzetu walioko kwenye nchi za baridi. Ushahidi unaanza kupatikana sasa kueleza tofauti hizi kati ya nchi zetu na za hawa wengine. Ingawa pamekuwepo na dhana ya kuhusisha joto, unyevunyevu na mwanga katika kupungua...
  17. T

    Story ya mwenyekiti wa kijiji aliekuwa hasamehi watu wake wala hakuamini neno bahati mbaya

    Hii story nilisimuliwa na mkuu mmoja wa chuo na leo nimeikumbuka sana nikasema sio mbaya ni shear nanyi kama elimu kwetu. Palikuwa na mwenyekiti mmoja wakijiji fulani hapo zamani alikuwa akiongoza kijiji chake kwa kufuwata sheria na taratibu zilizo wekwa na kijiji. Mwenyekiti huyu alikuwa hana...
  18. M

    Mbao wanavuna walichokipanda, walifanya kosa la kwanza kumfukuza Ndailagije wakapata bahati ya kumpata Amri Saidi wakarudia kosa wakamuondoa

    Mbao wanavuna walichokipanda. Walianza kufanya makosa kwa kumfukuza ndailagije aliekua akiijenga timu taratibu wakapata bahati wakampata Amri Saidi akaanza na timu vizuri. Sijui wakawaza nini wakafanya kosa lingine kwa kumletea Ali Bushiri kocha mzoefu aliemzidi elimu ya ukocha eti awe msaidizi...
  19. Equation x

    Kuna wanaume wanachezea bahati sana

    Kuna wanaume wanachezea bahati sana, sikiliza haya mahojiano upate cha kujifunza...
  20. Sky Eclat

    Juma Lokole: Ningepata bahati ya kuwa na Diamond ningejijenga kwanza mimi na kusaidia ndugu zangu

    Juma Lokole "wanawake wanachezea nafasi wanayoipata kwa Diamond..Ingekuwa mimi Ningejijenga Kwanza Mimi na Kusaidia Ndugu zangu" wa Mitandao ya Kijamii JUMALOKOLE Anasema Kuwa Diamond hachezei wanawake bali wanajichezea wenyewe... Wanakimbilia kupata Mimba wakijua ndio Mondi Atawapenda Milele ...
Back
Top Bottom