Juni 11, 2010, katika Uwanja wa FNB maarufu “Soccer City", kulikuwa na ufunguzi wa Kombe la Dunia. Siku hiyo, Desmond Mpilo Tutu, alikuwa kwenye kiwango bora cha furaha. Kwa Kiingereza unaweza kusema “he was in a very good mood”.
Tutu alikuwa amebakiza pungufu ya miezi minne atimize umri wa...