Ilikua Jumamosi, tulikuwa kwenye container moja mitaa ya nyumbani tuna burudika. Mziki na vinywaji, story na vicheko. Na joto la Dar upate kinywaji cha baridi iwe Fanta, Heineken, Ndovu au Coca-Cola.
Mara ilipita pick up nyeupe, ilipack pembeni. Alitoka dada mmoja alituambia kama tuna sahani...