baiskeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Peter_John

    Wapi wanauza baiskeli za design hii?

    Salaam, nikienda direct kwenye point nilikua nahitaji baiskeli ya kuchaji design kama hii, sio lazima iwe ivo ivo kama kwenye picha ila iwe ni ya kuchaji na unaweza ukanyonga na pedeli , nipo dar kwa anae uza au anafahamu wanapo uza anisaidie
  2. Wernery G Kapinga

    Nahitaji Baiskeli

    NATAFUTA BAISKELI kwa ajili ya Mwanangu kwenda shule Kidato Cha kwanza. Budget yangu ni Tsh. 70,000/= Nipo Kilombero Morogoro
  3. E

    Msaada; Jinsi ya ku 'disign' baiskeli ya kubebea biashara

    Wakuu, nimejiajiri kwenye biashara ndogo ndogo Mwenye picha au wazo, jinsi ya kutengeneza hiyo baiskeli yenye uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, fenesi, madafu na matunda mengine Naombeni picha au wazo nmpe fundi Natanguliza shukurani
  4. M24 Headquarters-Kigali

    Shinyanga kuandaa Baiskeli Festival 2025

    Mkoa wa Shinyanga wajibu mapigo
  5. Poppy Hatonn

    Jumamosi ya kesho asubuhi safari ya baiskeli ya Dar kwenda Butiama itaanza

    Hii ni kumbukizi ya Mwalimu Nyerere,safari ya kila mwaka. Itaanzia hapa Msasani Residence saa tatu asubuhi. Sometimes anaalikwa kiongozi wa Serikali to flag them off. Last time waliagwa na DC Gondwe. Wanaokwenda na baiskeli,huwa wanapita hii njia ya Bunju kuelekea Msata halafu kula mbele...
  6. M

    INAUZWA Exercise bike / baiskeli ya mazoezi inauzwa laki 2. Wapenda gym na wenye wazee wa mazoez karibuni

    Habari. Nauza baiskeli ya mazoez. Baiskeli ni used sio brand new. Haina tatizo lolote Bei laki 2 tu. ( fixed price)
  7. LA7

    Nimeenda sehemu na baiskeli nikaisahau nikarudi na mguu

    Hii hali sio maramoja imekuwa ikinitokea Mara kadha ya kusahau vitu sasa leo nikaenda mgahawani kula baada ya kumaliza kula nikarudi zangu ofisini na mguu. Baada ya kufika ofisini ndo nagundua kwamba nimeisahau nilipokuwa nakula sasa ikabidi niirudie. Kama wiki mbili hivi zimepita nilifika...
  8. B

    Mariam Ulega achangia milioni 3 kampeni kusaidia baiskeli mtoto mwenye ulemavu Pwani

    Na Mwandishi Wetu, Michuzi TV MJUMBE wa Baraza Kuu UWT Taifa ambae pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Uwezeshaji Kiuchumi Wanawake Mkoa wa Pwani Mariam Ulega amechangia Sh. milioni 3 kwa kikundi cha Pwani Generation Queens (Mwanamke Sahihi Fete) ili kuunga mkono kampeni ya kumsaidia baiskeli mtoto...
  9. Miss Zomboko

    Juni 3: Siku ya Baiskeli Duniani. Ni Mkoa gani ulikushangaza kwa kuwa na Baiskeli nyingi?

    Siku ya Baiskeli Duniani huadhimishwa kila mwaka tarehe 3 Juni. Siku hii ilianzishwa na Umoja wa Mataifa ili kutambua na kuhamasisha matumizi ya baiskeli kama njia ya usafiri, burudani, na michezo. Lengo la Siku ya Baiskeli Duniani ni kuongeza uelewa kuhusu faida za kutumia baiskeli kwa mtu...
  10. G

    Elimika na uburudike kwa misemo inayoandikwa kwenye Malori, Daladala, pikipiki, bajaji, baiskeli

  11. U

    Waziri Mwandamizi Israel Jenerali Ben Gantz kufanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali ya baiskeli

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri mwandamizi na Jenerali wa Jeshi la Israel Ben Gantz atafanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali aliyoipata akiendesha baiskeli Kusini mwa Israel Waziri huyo amepata ajali hiyo wiki moja tu baada ya Waziri wa Usalama wa nchi hiyo takatifu Itamar Ben Gvirs Irael...
  12. Mad Max

    Ushauri: Nataka ninunue baiskeli kwa mazoezi na safari fupi fupi

    Wakuu kwema. Mkazi wa Dar, nataka ninunue baiskeli kwaajili ya mazoezi na siku moja moja hali ya hewa ikiwa nzuri natumia kwenda nayo kazini (3KM kutoka nyumbani). Naomba ushauri wenu, kwa budget ya mwisho Laki 1.5 naweza kupata aina gani ya baiskeli? Itatosha au niongeze?Je kuna brand ya...
  13. GENTAMYCINE

    Hivi tulishindwa tu kununua Madafu ya kutosha Nje ya Ikulu hadi kuruhusu Wauza Madafu na Baiskeli zao Mbovu na Kongwe waingie nazo Ikulu kienyeji?

    Mnaacha kutumia muda wenu mwingi kufikiria kwa Akili Kubwa jinsi ya kutatua Changamoto lukuki zinazowakabili Watanzania na Taifa la Tanzania nyie Kutwa mpo katika kutengeneza Maigizo ya Kipumbavu na Kishamba (kama mlivyo) ili tu muonekane Mnapenda na kujali kila Mtu, Wanyenyekevu na mno Huruma...
  14. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Ester Midimu Atoa Baiskeli 400 na Majiko ya Gesi 400 kwa Viongozi UWT Mkoa wa Simiyu

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu Ester Midimu ametoa Baiskeli zaidi ya 400 na majiko ya Gesi zaidi ya 400 kwa viongozi wa Kata kupitia Umoja wa Wanawake (UWT) wa mkoa huo ili kuwawezesha kufanya kazi za Chama Cha Mapinduzi na kutunza mazingira. Mbunge huyo amesema wanawake hao wamekuwa...
  15. OKW BOBAN SUNZU

    Pre GE2025 Wasiolalamika kukatika umeme wazawadiwa baiskeli na CCM

    Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
  16. Bigmaaan

    Hii baiskeli ilitengenezwa na Kampuni gani?

    Heri ya Chrismas wakuu. Visiting home for Christmas kula pilau kwa bimkubwa, nimekuta hii baiskeli kuna bwana mdogo—Uncle wangu yuko form one day school—ameifufua na anaitumia usafiri wa kwenda shule. Kabla ya ujio wa pikipiki hizi za kichina, Pre–2009, Baiskeli hizi zilikuwa zinatumiwa sana...
  17. Replica

    Mtu asiyesikia asafiri Tanga-Mbeya kwa baiskeli kuadhimisha wiki ya viziwi duniani

    Kuboja Lugira, mtanzania mwenye ulemavu wa kusikia ameendesha baiskeli yake kwa kilomita 961 kutoka Tanga kwenda Mbeya akitumia siku tano kwenda kushiriki maadhimisho ya wiki ya viziwi duniani akiwapa hamasa wengine wenye ulemavu kwamba inawezekana. Lugira, baba wa mtoto mmoja amesema...
  18. N

    Wanafunzi wa advance Chamwino wamnunulia mwalimu wa hesabu baiskeli kwa kutambua mchango wake!

    Wanafunzi wa Kidato cha sita Shule ya Sekondari Chamwino wamempa FURAHA YA KUSHTUKIZA mwalimu wao wa HESABU/ADVANCED MATHEMATICS, MR. EMANUEL GEORGE KIPAHO kwa kumnunulia usafiri wa Baiskeli kwa kutambua mchango wake na juhudi zake anazozitoa kufundisha darasani na muda wake wa Ziada. Shule hii...
  19. Replica

    Ujerumani ina watu milioni 82 ilhali baiskeli zipo mil. 81, Tanzania baiskeli ni alama ya umaskini

    Nchi ya Ujerumani ina idadi ya watu milioni 82 huku watu hao wakimiliki jumla ya baiskeli milioni 81. Ujerumani inayo jumla ya magari milioni 48. Mtoto akifika miaka 11 anatakiwa kujifunza na kukata leseni ya baiskeli ili kuweza kuendesha baiskeli kwenye barabara za umma. Barabara husika nyingi...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Mji wa Tanzania ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli

    Je unafahamu kuwa nchini Tanzania kuna mji mkongwe ambao usafiri wake mkuu ni baiskeli? Kwa muda wa miongo mitano sasa, wakazi wake wameendelea kutegemea zaidi usafiri huo ambao unatambua baisikeli za uchukuzi wa umma kwa jina 'daladala'. Mwandishi wa BBC @lasteck2023 ametembelea mji huo wa...
Back
Top Bottom