Cheo cha kuteuliwa ni kama kupandishwa kwenye Baiskeli.
Huwezi kuketi juu ya baiskeli daima. Kuna wakati wa kupanda, wakati wa kupiga pedeli na wakati wa kushuka.
Muhimu hakikisha miguu yako haisahau kutembea siku ukishuka.
Unaweza ukashindana na watu wa Kanda ya Ziwa kwa mambo fulani fulani, lakini usithubutu kwenye uendeshaji wa baiskeli kama wewe si mmoja wao. Utaumbuka! Nazungumzia baiskeli za kawaida au za kazi, siyo zile za "starehe".
Sina uthibitisho wa kitakwimu, lakini kwa makisio yangu, Kanda ya Ziwa...
Kijana aliyefariki anaitwa Mandela Petro inadaiwa alishambuliwa akiwa mtaani na Askari wawili wakimshutumiwa kuhusika katika wizi wa baiskeli ambapo baadaye baiskeli husika iliyodaiwa kuibiwa ilipatikana na kubainika marehemu hakuwa mwizi, Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu.
Ikidaiwa mmoja wa Askari...
Hamna serikali inayoweza kutenga pesa ijenge barabara ya lami eti bajaji sijui boda ipite
Barabara za lami ni kwa ajili ya magari.
Nawakumbusha wajue hilo so wanapopita kweywe barabara ambazo hazijajengwa kwa ajili yao wawe na nidhamu na kufuata sheria
MHE. JOKATE MWEGELO AKABIDHI BAISKELI 200 KWA WATOTO WA KIKE SHULE 10 KOROGWE
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Jokate Mwegelo amekabidhi baiskeli 200 kwa Wanafunzi wa kike kwa Shule 10 za Sekondari Wilayani humo ambapo amesema zitawasaidia Vijana wa kike kufika Shuleni kwa wakati na kuondokana na...
Hasa msimu huu wa mvua na kibaridi huwa nahisi waliooa na kuolewa wanafadi Sana hasa nyakati za usiku. Au Ni mawazo yangu? Maoni yenu hasa wenye ndoa zao sio michepuko.
Walioachwa nyuma wakati wenzao walitoroka kwa magari, wameishia kuiba baskeli na kutoroka nazo ili tu waokoe maisha yao...vijana wa Ukraine wanaendelea kutembeza kichapo....
Russian soldiers abandoned by their units in the eastern Kharkiv region of Ukraine fled in disguises on bicycles...
Usafiri wa baiskeli kwa wengi ni kwa kuimarisha afya kwani unapotumia baiskeli unafanya mazoezi. Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta wengi wameamua kutumia usafiri huu kuwafikisha kutoka hatua A kwenda B.
Barabara zetu ni salama kwa atumiaji wa baiskeli? Bila tahadhari hii kutakua na vifo...
Hellooo wakuu habarini,
Nahitaji kufahamu panapouzwa baiskeli aina ya Phoenix nahitaji kwa wingi sana kama mia moja au mia mbili nisaidieni location au namba za WAUZAJI
Mawasiliano yangu ni +255686978566
Kwa wanotumia Pugu/Nyerere Road kutokea Gongo la mboto kupitia Airport watakuwa mashuhuda wa utitiri wa wasafirisha mayai maarafu kama Wakurya wanao ongozana wakiwa na shehena za mayai kwenye baiskeli.
Tatizo linakuja kwa namna ya wanavyoongozana katika barabara kubwa na kuchomekea wenye...
Wakuu Niko na Binamu yangu anasoma shule ya day Ila Kuna changamoto ya umbali kutoka nyumbani Hadi shule ni kama kilometa 3½ - 4.
Mwenye Baiskeli nzuri used yenye good condition nistue
Pradyumna Kumar "PK" Mahanandias alizaliwa mwaka 1949 katika kijiji kimoja huko India kwenye moja ya matabaka ya kihindi ya chini kabisa (untouchables) kwahiyo hakuwa na tumaini la kutoka kwenye maisha ya ubaguzi na umaskini.
Ni kawaida Kwa wahindi kuita wanajimu watoto wanapozaliwa. Mnajimu...
Hata mwaka jana walitangulia na baiskeli ya mbao na hawakufika popote!! Wakisikia gari kubwa huko nyuma linapiga lesi kiwewe tayari!!! Hiyo mliyosikia kilichompata Namungo ni lesi tu!!! Gari kubwa karibu lishaanza kuchanganya na hakuna namna ni suala la muda tu baiskeli ya miti lazima ipishe...
Wadau habari ya jioni,hivi karibuni tumeshuhudia wanaume wa mkoani Kigoma kutembea kwa miguu au kutumia baiskeli kwenda Dar kutazama mechi za Simba na Yanga.
Je, wanaume wa Dar hamuoni kwamba sasa ni zamu yenu na nyie kurevenge.?!
Mtoto mmoja aliibiwa Baiskeli yake akaenda Police, akaulizwa unahisi ni nani aliekuibia?
Mtoto akajibu: = Nahisi ni WAZAZI wangu,
Police wakamuuliza kwanini unawashuku?
Akajibu: = Jana usiku nilimsikia Mama akimuuliza Baba vipi IMESIMAMA? Baba akamjibu ndiyo PANDA BASI! Ikalie uichochee...
Juni 3 kila mwaka ni siku ya kimataifa ya baiskeli ambapo wadau huangalia mazuri ya kuendesha baiskeli
Kuendesha baiskeli kunaweza kuwa ni taaluma, burudani, sehemu ya mazoezi au namna ya usafiri
Baiskeli imeelezwa kuwa ni nzuri kwa Afya ya Akili na pia kwa mazingira kwa kuwa haitoi gesi chafu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.