bajaj

Bajaj Finserv Limited, a part of Bajaj Holdings & Investments Limited, is an Indian financial services company focused on lending, asset management, wealth management and insurance.The company employs over 20,154 employees at 1,409 locations, and is engaged in consumer finance businesses, life insurance, and general insurance. Apart from financial services, Bajaj Finserv is also active in wind–energy generation with an installed capacity of 65.2 MW.Bajaj Finserv was ranked among The Economic Times 500 as #119 in 2014.Bajaj Finance Limited (BFL), participates in the financial business and is a company listed on The Stock Exchange, Mumbai (BSE) and the National Stock Exchange (NSE)

View More On Wikipedia.org
  1. Mnyenz

    Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  2. BigTall

    KERO Nauli katika Kituo cha Bajaj Ferry (Dar) zinapanda kwa kasi, Wananchi tunaumia, LATRA mdhibiti kinachoendelea

    Kituo cha Bajaj Ferry hapa Dar es Salaam, zile Bajaj zinazoelekea Kibada, Kisiwani n.k. wahusika wamekuwa na kawaida ya upandishaji holela wa nauli. Nauli inajulikana ni shilingi mia saba lakini wiki kadhaa zilizopita ilipanda ghafla na kuwa Shilingi 1,000 mpaka 1,500 kwa abiria wanaoelekea...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Askari wa usalama barabarani msiache kuwapiga vibao bodaboda na Bajaj. Hawa vijana wana vichwa vigumu

    Kama kila kosa la Bajaj na bodaboda ni sh. 10000 mkiwatoza effectively hata mabosi wao hesabu hawataziona. Mkiwapeleka Mahakamani watajazana huko na serikali itakuwa busy kwa vitu visivyo na msingi. Dawa ni vibao tu kwa hili kundi la vijana wa bodaboda na Bajaj. Makofi sometimes huweka akili...
  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Tuliwaambia kuwa bodaboda na Bajaj sio kazi mkabisha. Sasa ingia mjini na bodaboda yako ndipo utajua kuwa bodaboda ni taulo la chama pendwa

    Sasa bodaboda au Bajaj hawaruhusiwi hata kuonyesha pua mjini maeneo maalumu yaliyotengwa. Ukipenyapenya kwa ujanja ujanja ukidakwa utajuta kwanini ulizaliwa. Oyaa tafuteni kazi nyingine. Kufa kama nzi mnakufa Bima ya afya hamna Michango kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii hamna . Amkeni.
  5. SIPENDI SIASA

    Kwanini Bajaj na Pikipiki hazina "number plates" kwa mbele kama magari? I'm just asking out of curiosity

    Mambo vp wadau wa JF. Ninaomba kuelimishwa kwa maana elimu haina mwisho. I'm just asking this out of curiosity (Curiosity once killed the 🐈 cat) Je, ni takwa la kisheria au ni uamuzi tu wa watu wachache kwa maana Magari, Bajaj na Pikipiki vyote ni vyombo vya moto.. ~ SIPENDI SIASA ~
  6. Mad Max

    Makampuni na Mawakala wa pikipiki za TVS, Hero, Bajaj nk, mnatukosea sana Watanzania!

    Inafika kipindi mtu akisikia pikipiki ya TVS au Hero, anachowaza ni zile za bodaboda. Tunajua mnatoa vyuma vizuri tu kwa bei rafiki, lakini kwanini hamzileti Tanzania? Mfano hii pikipiki ukiambiwa ni TVS unakataa, na ukaambiwa mpya ni $3,000 tu kabla ya usafiri na kodi. Kwamba hatuwezi...
  7. covid 19

    Mikopo ya Bajaj na Pikipiki kwa Vijana: Fursa au Mtego wa Umasikini?

    Kwa muda mrefu sasa, kumeibuka makampuni yanayodai kuwawezesha vijana kwa kutoa mikopo ya bajaj na pikipiki. Kwa mtazamo wa nje, mpango huu unaonekana kama suluhisho kwa changamoto za ajira, lakini kwa undani wake, unaelekea kuwa mtego wa umasikini kwa vijana wengi. Cha kusikitisha zaidi...
  8. K

    Nauza mfumo wa gesi kwenye bajaj kwa bei kitonga 200k

    Habari wakuu, nauza mfumo wa gas kwenye bajaj bei ni laki mbili.. Ila bado una deni la laki Saba na hamsini utaenda kumalizia mkopo wako. Mazungumzo yapo Wahi sasa
  9. M

    Gharama mpya za Bajaj zinaumiza sana!

    Asalaam wana jamii, Mimi nafanya kazi ya bajaj, hua nanunua na kuziweka kwenye mkataba lakini mwaka moja sasa bajaj kimekua zina panda bei vibaja mno Mwaka jana nilikua nanunua kwa bei ya 8.1 Million lakini Jan-24 nilipoenda kunnunua tena bei zilipanda hadi 8.6m lakini sasa kiznauzwa 9.7m na...
  10. and 300

    Bajaj inafungwa mtungi wa gesi? Hata kama ni ubahili

    Hata kama ni ubahili. Huu wa hawa Maafisa Usafirishaji umezidi aisee!
  11. Mi mi

    Vijana wa Bodaboda na Bajaji wana matatizo gani?

    Vijana waendesha boda boda na bajaj wana matatizo gani hawa watoto? Matukio wanayo fanya na kuwatukia barabarani ni ya kusikitisha sana. Hawa watoto wanafanya michezo ya hatari barabarani na vyombo vya moto tena vilivyo katika mwendo kasi mimi kwa kweli hunihuzunisha sana. Inaonekana ni...
  12. ward41

    Iran Wasituletee Vikombola Vyao vile Vyenye speed ya Bajaj(Masaa manane viko angani)

    Safari hii tunataka kuona uwezo wao. Nyuma hapo walituletea vidrone na vikombola vyao masaa manane viko angani. Viliishia Njiani tu. Huwezi kumpiga mu Israeli kwa kutumia vile vitoi. Safari hii tunataka kuona vitu. LA sivyo aache kupiga makelele.
  13. Roving Journalist

    LATRA: Anayetuhumiwa kuchukua hela za Madereva Bajaj si Mtumishi wa LATRA ni Afisa wa Halmashauri ya Morogoro

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna Afisa wa LATRA amekuwa akichukua fedha za madereva Bodaboda na Bajaj ili awalipie faini na malipo mengine ikiwemi ya stika, kisha kutofanya hivyo, mamlaka husika imejibu. Kusoma tuhuma za Afisa huyo bofy hapa ~ Huyu Afisa anaichafua...
  14. Mr passion

    Dereva bajaj

    Habari zenu wakubwa ni kijana wenu hapa naomba msaada kwa yoyote anaehitaji dereva wa bajaj kwa mkataba nipo hapa
  15. Down To Earth

    Ajabu sana: Dereva wa basi ahatarisha maisha ya watu 60 kwa kuikwepa bajaj yenye watu watano

    #HABARI Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma kwa kutumia basi la Kampuni ya Shabiby namba T 341 EEU, wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuanguka katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kujeruhi abiria kadhaa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema...
  16. MfanyakaziHewa

    Bajaj used inahitajika. Budget ni million 4.5 hadi 5

    Bajaj used inahitajika. Budget ni million 4.5 hadi 5 Niko Sumbawanga Rukwa
  17. Ndagullachrles

    LATRA K'njaro yawezesha SACCOS kwa Bajaj na Bodaboda

    Mamlaka ya udhibiti usafiri ardhini mkoani wa Kilimanjaro(LATRA)imekamilisha mchakato wa uanzishwaji wa Chama cha ushirika wa Akiba na mikopo(SACCOS)kwa ajili ya chama cha Madereva wa Bajaj na Bodaboda Katika mkoa wa kilimanjaro. Mpango huo inatajwa kama moja ya mwarobaini wa kutafua changamoto...
  18. Jidu La Mabambasi

    Serikali imeshindwa kutatua kero na matatizo yatokanayo na bodaboda na Bajaj nchini!

    Huduma za bodaboda na bajaj nchini zimechukuliwa kuwa za kisiasa zaidi kuliko kuwa huduma inayo hitaji udhibiti kimamilifu kwama vyombo vingine vya moto. Kinachosikitisha zaidi ni hata vyombo vya udhibiti kisheria kama Polisi, ni kama wako paralysed kutatua matatizo ya vyombo hivi. Wanasiasa...
  19. aka2030

    Tulizuia vipanya tumeruhusu Bajaj

    Kwa kweli moja ya sababu ya kuzuia vipanya(hiace) kuingia katikati ya Jiji ilikuwa ni kupunguza msongamano, namakosa yabkibarabani mengi waliyokuwa wanafanya madereva vipanya Hii kero sasa inaletwa na hizi Bajaj Kwanza zimekuwa nyingi kupita hata mahitaji. Huko mjini unaweza usigongwe na gari...
  20. crome20

    Bajaji za Ferry-Kariakoo zifutwe

    Kama ni kukosa ubunifu basi ni kuendelea kuwa na bajaji za Ferry- K/Koo. Kwanza tuna usafiri wa uhakika wa Mabasi yaendayo kasi DART yanayofika sehemu zote za K/Koo. Kuna haja gani ya kuwa na utitiri wa bajaji zinazoongeza msongamano, vurugu, kelele katika barabara ya Samora na Uhuru? Hizo...
Back
Top Bottom