Bajaj Finserv Limited, a part of Bajaj Holdings & Investments Limited, is an Indian financial services company focused on lending, asset management, wealth management and insurance.The company employs over 20,154 employees at 1,409 locations, and is engaged in consumer finance businesses, life insurance, and general insurance. Apart from financial services, Bajaj Finserv is also active in wind–energy generation with an installed capacity of 65.2 MW.Bajaj Finserv was ranked among The Economic Times 500 as #119 in 2014.Bajaj Finance Limited (BFL), participates in the financial business and is a company listed on The Stock Exchange, Mumbai (BSE) and the National Stock Exchange (NSE)
Tension inazidi kuwa kubwa kati ya bajaj na daladala. Na mara nyingi hii huwa inaleta vurugu na mahasi baina ya wahusika wa bajaj na daladala, ila pia migomo ambayo inapelekea tabu kwa wasafiri.
Currently, huko Arusha kuna mgomo wa daladala. Jamaa wa daladala wanalalamika bajaj wanawaharibia...
Habari zenu wadau na wapenda bike, aisee niende moja kwa moja kwenye mada.
Kampuni ya Bajaj wamekuja na toleo jipya la pikipiki aina ya Boxer 125hd isiyokuwa na paper oil filter.
Tuone kama muendelezo wa uboreshaji huu utaweza kuboresha engine za boxer maana toleo hili jipya jamaa wameondoa...
“Kama mnavyojua awali waliokuwa wanatoa leseni za usafirishaji ni halmashauri ya Jiji la Arusha, lakini tangu mwaka jana tulikaa na tukaamua tufunge usajili baada ya kuonekana zimekuwa nyingi, lakini nashagaa pamoja na kufunga, bado kuna baadhi ya wafanyabiashara wameendelea kuzinunua na...
NDUGU naitwa Athumani ngoma ni mkazi wa morogoro mjini nina uhitaji wa BAJAJ MPYA ya mkataba nina uwezo wa kurejesha elfu 20 kila siku kwa kwa miezi 24.
Yeyote mwenye uwezo naomba msaada wa jambo hlo please
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam bwana Chalamila ameanza kazi kwa kasi ya ajabu huku akitumia usafiri wa Bajaj kuwafikia Wananchi ili kusikiliza kero zao.
Mapema leo jioni bwana Chalamila ameonekana maeneo ya Mwenge akizungumza na wafanyabiashara ndogo ndogo kutaka kufahamu changamoto zao.
Akiwa...
Nilikopa bajaj TVS KING TUKTUK mpya kwa kampuni flani ila nilitanguliza Tsh 1m kama dhamana, imetembea km 300 tu na ina bima ndogo, ina fire extinguisher, Latra na triangle zake ikiipata ni road tu.
Rejesho ni 139,400 kwa wiki nimesharejesha mwezi kama na kitu. Kwa anaehitaji hii bajaj na deni...
Madereva Bajaj wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa wameandama hadi kwenye ofisi za Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA aitwaye Cedrick Malila almaarufu IKUWO WAKIDAI MALIPO YAO waliyoahidiwa wakati wamekodishwa kwenda kumpokea Mwenyekiti cha CHADEMA Freeman Mbowe huko Katumba...
Habari!
Nauza Bajaj TVS KING ya 2022 MC 965 DSA imetembea km 1500.
Nimenunua 8,100,000
-Ina bima kubwa mnaita comprehesive ya mwaka 1, itaexpire 07/02/2024. Kwa 600,000
-ina latra ya 32000 expire 07/02/2024
-fire extinguisher 15000.
-triangle 8000.
-sticker 2000.
Ikiichukua ni barabarani tu...
Kwenye hii miji miwili ya MBEYA na DAR ES SALAAM kuna mambo yanachekesha sana. Unajiuliza wafanya maamuzi walikuwa wanatafakari kweli? Mbona walifanya maamuzi ambayo yako Illogical!
Mwaka 2008 Dar es Salaam jiji walipiga marufuku mabasi madogo almaarufu vipanya "Hiace".
Sababu ilikuwa ni...
Ikiwa Ni mwaka mmoja na mwezi mmoja Toka namba D ya vyombo hivo vianze kwa Sasa wanasajili no MC**** DR*
Ambapo kwenye magari walitumia muda mrefu sana kufika usajili huo, Ni wazi Hadi mapema mwaka ujao watakuwa wamemaliza no D yao na kuanza fukuzana na no D ya magari na kuwaacha forever...
Kwanza tuelewane. Kifaa hiki kinamzuia mtu asiweze kuwasha Chombo chako cha moto na kuondoka nacho unless akipakie au akikokote.
Chombo chako cha moto ikinafungwa switch secretly na wewe unakuwa na remote control ya hiyo switch.
Nipigie simu/Whatsapp 0621 221 606 au 0688 758 625.
Kwa lugha...
Bajaj zikipita traffic light bila ruhusa haina shida, wewe mwenye gari ukiunga ukidhani mmeruhusiwa imekula kwako.
Bajaj ikijaza watu, igeuze main road, ichukue abiria nje ya kituo, na dereva aendeshe kwa kuning'inia hakuna mtu atambugudhi. Daladala ifanye kosa mojawapo hapo utaumia.
Kama...
Bajaj ya ABIRIA inauzwa.
kampuni Piaggio
IGOMA-MWANZA
Uhakika elfu 20 kila siku
Haina shida yoyote, njoo na fundi wako mkague inapiga kazi mpaka sasa
njoo na 4mil uendelee na kazi
Tuwasiliane 0767733555
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana.
Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther
=====
Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo.
=================
TAARIFA HII IMEKANUSHWA
DAR: BODABODA WAPEWA VITUO 9 MJINI
Baada ya kudaiwa bodaboda na Bajaji za biashara...
Wasalaam wakuu humu ndani,
Mwezi ujao natarajia kuingia dukani kuchukua chombo cha usafiri pikipiki.
Kuna hivi vyuma Boxer na tvs kwa haraka haraka unaweza ukadhani ni vyuma sawa.
Lakini wataalamu na wazoefu wanavijua vema kipi kinamzidi mwenzake.
Naomba ushauri wenu ipi ni nzuri hasa...
Njoo uchukue bajaj hii inafanya kazi ya kubeba abiria hapa hapa igoma jijini Mwanza
engine nzima, seat nzima, 0713096076
kwa siku unaweza ingiza 15,000+ faida tupu
Tunaanzia 2,500,000 it means punguzo kidogo lipo.
NUNUA BAJAJ UPEWE NA DEREVA WAKE BURE... Mwanza 0713096076
Nauza bajaj za kila aina!!
Bei nzuri tu
kuanzia mil 3 mpaka milioni 5 mwisho.
zote ziko vijiweni zinafanya kazi
MTEJA SERIOUS PIGA SIMU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.